TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

Sjakuelewa, kwamba Kuna waagizaji wa mizigo nje ya Nchi na
Sio VAT registered?
Unadhani akishaingiza bongo atauza kwenye soko lake maalumu?.... hapo ndio biashara inapoanza kuwa mbaya Ndugu yangu....
 
Ukiona mtu kakomaa na magendo wala usimcheke maana TRA wao wenyewe huandaa mtu afikirie mazingira ya kukwepa kodi ili japo apate faida kidogo, warekebishe mambo yao maana bidhaa moja inapigwa kodi mara mbili na kutamka maneno ya kiingereza mawili tofauti
 
Sjakuelewa, kwamba Kuna waagizaji wa mizigo nje ya Nchi na
Sio VAT registered?
Waagizaji wote wanalipa VAT. Huku mtaani ndiyo kuna wafanya biashara hawajasajiliwa VAT. Kushindana nao hawa ni vigumu sana. Mfanya biashara ambaye haagizi lakini kasajiliwa VAT yuko kwenye hali mbaya hasa ukizingatia anauziwa jumla bila ya kupewa risiti kamili. Akitaka risiti kamili anarudishiwa pesa.
Suala hili linahitaji kuangaliwa kwa umakini na kutafuta ufumbuzi
 
Sasa kama TRA Tanzania wamo humu na inaanzishwa thread kuwahusu wao na hawajibu, kuna umuhimu gani wa wao kuwamo huku. Au wamefungua account kwa ajili ya ku post matangazo?
 
Swali la kipuuzi .....hivi haya Makato yote yanaenda wapi ........maana mi sijaelewa kabis?
 
Kwa Nguo za 40 milion kama utachukua za kiwango sana ni nusu kontena hiyo ndio maana Wafanyabiashara wanachanganya lonya lonya nyingi kwa Suruali Jean hapo ni belo kadhaa tuu daah...ndio maana Uganda na Kenya nguo bei rahisi kuliko Tanzania TRA imefungia fursa kwa Watanzania..
 
Waagizaji wote wanalipa VAT. Huku mtaani ndiyo kuna wafanya biashara hawajasajiliwa VAT. Kushindana nao hawa ni vigumu sana. Mfanya biashara ambaye haagizi lakini kasajiliwa VAT yuko kwenye hali mbaya hasa ukizingatia anauziwa jumla bila ya kupewa risiti kamili. Akitaka risiti kamili anarudishiwa pesa.
Suala hili linahitaji kuangaliwa kwa umakini na kutafuta ufumbuzi
Mfanyabiashara ambaye haagizi, lakini kasajiliwa VAT anauziwa jumla bila kupewa risiti.
Swali kwanini hapewi risiti?
Je hiyo tabia imekua kanuni kwa kwa wauzaji wote wa jumla?
 
Si wote ila ni wengi wao. Mara nyingi anapewa risiti pungufu. Sababu ni kwamba kwenye uagizaji thamani ya mzigo inapunguzwa. Sasa akitowa risiti kamili atapaswa kulipa VAT kubwa baada ya kutoa aliyolipa wakati wa kutoa mzigo bandarini.
Na kama muagizaji ataandika thamani halisi atashindwa kwenye bei kwa kuwa atalazimika kuuza juu kuliko wenzake.
 
Kwa hiyo mkuu yapo mazingira ya kuhimiza kuepuka kulipa kodi
 
Yanapaswa ya shughulikiwe na wahusika na njia mojawapo ni kuwa na viwango rafiki vya kodi
Uko sahihi. Tunahitaji mfumo ambao utahakikisha kila mmoja analipa kodi inayofanana kwa bidhaa zinazofanana.
 
ushuru wa bidhaa kwanini waongezee na forodha yani kwanini iyo braket
yani ilifaa kwa mfano uliotolewa
Ushuru wa forodha....43,200,000 x 25%=10800000
Ushuru wa bidhaa.....43,200,000 x 10%=4320000
Vat........................................43,200,000 x 18%=7776000
Total....................................10800000+4320000+7776000=22,896,000
 
Wanataka kuongeza mapato. Ila ukokotoaji huu ni wa muda mrefu sana.
 
Nchi ngumu hii aisee yaani unaagiza gari la million 10 Japan halafu unalipa Kodi million 15
Tutafika tu ngoja tuendelee kukumbatia ujamaa maana gari ni anasa!

Welcome Bongo of wonders!
 
ushuru wa bidhaa kwanini waongezee na forodha yani kwanini iyo braket
yani ilifaa kwa mfano uliotolewa
Ushuru wa forodha....43,200,000 x 25%=10800000
Ushuru wa bidhaa.....43,200,000 x 10%=4320000
Vat........................................43,200,000 x 18%=7776000
Total....................................10800000+4320000+7776000=22,896,000
Hii na mie nadhani ingekuwa ndiyo njia sahihi- mengine ni wizi tu na karibu 10% inazidi
 
ushuru wa bidhaa kwanini waongezee na forodha yani kwanini iyo braket
yani ilifaa kwa mfano uliotolewa
Ushuru wa forodha....43,200,000 x 25%=10800000
Ushuru wa bidhaa.....43,200,000 x 10%=4320000
Vat........................................43,200,000 x 18%=7776000
Total....................................10800000+4320000+7776000=22,896,000
Yeah inatakiwa iwe hivyo ila TRA ni wapuuzi wanajua wengi hawajasoma
 
Nchi ya kijinga sana hiii yaani watu wapo bize na mambo ya haji manara kuliko vitu vya msingi kama hivi ngoja nitafute hela niende zangu Dubai nikaoshe vyombo kwa waarabu.
 
Naelewa- na mimi nadhani compounding ni wizi hivyo nikasema mtu atozwe 25 +10+18 = 53% kwenye thamani ya forodha.
La pili ni upi msingi wa kuongeza bima na ghrama za usafirishaji kwenye thamani ya forodha- kwa mfanya biashara kuna mantiki kwani lazima ghrama za kuagiza ziingizwe kwenye thamni ya bidhaa- ila mantiki hiyo siioni kwa TRA
Vitu kama hivi vinahitaji wabunge wenye uwezo kiakili bungeni kama akina Zitto, Lissu, Heche etc kuweza kudadadavua jinsi isivyo halali...
 
Back
Top Bottom