TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

TRA baada ya kusemwa hapa JF wameanza kutumia akili badala ya elimu

Vitu kama hivi vinahitaji wabunge wenye uwezo kiakili bungeni kama akina Zitto, Lissu, Heche etc kuweza kudadadavua jinsi isivyo halali...
Hawamo humo sasa kwa bahati nzuri
 
Kwa Nguo za 40 milion kama utachukua za kiwango sana ni nusu kontena hiyo ndio maana Wafanyabiashara wanachanganya lonya lonya nyingi kwa Suruali Jean hapo ni belo kadhaa tuu daah...ndio maana Uganda na Kenya nguo bei rahisi kuliko Tanzania TRA imefungia fursa kwa Watanzania..
na watu wanaenda kufunga mzigo uganda wanaketa tanzania,mzigo uliopita hapo hapo bandari ya dar.watu wanatoka njombe,mbeya songea wanaenda kufunga mzigo uganda, wanaicha dar ambayo ni karibu zaidi.
 
na watu wanaenda kufunga mzigo uganda wanaketa tanzania,mzigo uliopita hapo hapo bandari ya dar.watu wanatoka njombe,mbeya songea wanaenda kufunga mzigo uganda, wanaicha dar ambayo ni karibu zaidi.
Na watu tunaona na tunatazama tu wakati ustawi wa watu unadidimizwa na mfumo mbaya wa kukukotoa kodi
 
Sasa hapo kuna brain gani masta.

Mzigo wa mil 40.. tax 26 M
Bado akiwa dukani alipe VAT, Income tax, SDE, PAYEE etc...
Killing all possibility of making our economy a success
Haki ya shetani ccm ni mafii[emoji90][emoji90][emoji90]
 
na watu wanaenda kufunga mzigo uganda wanaketa tanzania,mzigo uliopita hapo hapo bandari ya dar.watu wanatoka njombe,mbeya songea wanaenda kufunga mzigo uganda, wanaicha dar ambayo ni karibu zaidi.
Nchi yetu ina viongozi wakatili sana hilo jambo limeanza miaka nenda rudi eti mashuka na vitu vingine wanafata Nairobi na Uganda wakati sisi tuna eneo la bahari kubwa kuliko Kenya na hao Uganda wanapitisha vitu kwetu...
 
90% ya mashuka,makoti,sweta nzito unazozio a mikoa ya njombe na mbeya wanatoa uganda
 
90% ya mashuka,makoti,sweta nzito unazozio a mikoa ya njombe na mbeya wanatoa uganda
Daah hatari sana wana kodi kero ambazo haziwafanyi wafanyabiashara kuleta mzigo mwingi Tanzania mimi nipo pia kwenye usafirishaji wa bidhaa kutoka SA yaani magari yanayopakia mizigo ya Zambia na Malawi ni mengi sana kuliko yanayoleta Tanzania,Nchi yetu ina vipengele ambavyo hujawahi kuona Duniani pana muda unaweza kulipia kodi mzigo Zambia maana kodi yao ni kidogo na ukiamua huo mzigo ukulele Tanzania na ulipe kodi tena unapata faida pia ila kodi ya Tanzania ni kubwa saana...na hii huwa inatokea kama unataka kuuza Zambia..kodi ingekua ya kawaida tungeleta sana maana yapo mengi sana hapo Dragon city Jhb...
 
Back
Top Bottom