TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

TRA fanyeni kazi kwa weledi sio kwa uonevu na kisiasa

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Kuna malalamiko mengi sana TRA wako mtaani kukamata kamata magari ambayo hayajalipiwa Kodi ya Makadirio na kuna mengine yamelipiwa kodi tayari lakini mnalazimisha liingie YARD halafu mtu akienda kulitoa baada ya kua mmejiridhisha limelipiwa YARD wanadai walipwe 25,000 kwa siku au masaa hayo gari au bajaji iliyokaa.

Sikilizieni kama mmepewa target na boss wenu huko juu mwambieni mnaongoza raia na raia ni watu sio manyani, acheni hizi mambo mnatengeneza hasira kubwa kwa watu na mnakuwa wasumbufu sanaa.
 
Back
Top Bottom