goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Habari za muda,
Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani
Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.
Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.
The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?
Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.
TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.
Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.