DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mama hataki kodi za dhuruma!..

Anataka watu walipe kwa hiari[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wee endelea na uzalendo wako ufe kiseeengeee kimasikini na familia yako... Watoto watakuja kusema dingi alikua ana fursa ya kupiga pesa ila kafa kiboya
 
Wew mpumabafu na nusu yaani kwa hyo hili jukwaa limewekwa ili kuleta uzi wa kula kimasiara acha ujinga ukitaka ikaklalmike wapi na wtz wanzangu wangejuaje kuwa hili jambo siyo sawa
Wewe nitakuja nikurambe rambe we binti wewe
 
Sio kila mtu ana nafasi ya kupiga,tunawajibika kama raia na kuwasaidia wengi ambao hawana fursa za kupiga na huduma wanahitaji..

Wale ambao wanafariki kwenye hospital za umma,wamesonhana,hawana maji nk.
UKO SAHIHI SANA,

ALIPOKUWAPO JPM, WAFANYAKAZI NA WAFANYABIASHARA WALIKUWA NA ADABU. (HILI HATA WEWE UNAJUA)
SASA HAYUPO (KINACHO ENDELEA HATA WEWE UNAJUA).

NINI KIFANYIKE?
 
Hili ni tatizo kubwa , pengine chanzo ni ngazi fulani
 
UKO SAHIHI SANA,

ALIPOKUWAPO JPM, WAFANYAKAZI NA WAFANYABIASHARA WALIKUWA NA ADABU. (HILI HATA WEWE UNAJUA)
SASA HAYUPO (KINACHO ENDELEA HATA WEWE UNAJUA).

NINI KIFANYIKE?
Adabu ile ndio inatakiwa kuendelea ila kubambikiana Kodi hapana,hata wachache waliosalia watakimbia.
 
Sas watoto hawatapata uduma
nilivyo andika sikumaanisha kwamba naunga mkono wizi/ dhuruma/na uporaji.

kwanini mmlaka isianzishe Dawati maalumu la kupokea raia walio uziwa bidhaa/huduma na kupewa risiti yenye thamani ya chini au walionyimwa risiti au walio uziwa bidhaa kwa bei ya juu?.
Mtoa uzi hana sehemu ya kupeleka malalamiko zaidi ya hapa!

sasa hivi unaweza kupeleka taarifa hizi kwao na ukajikuta uko matatizoni.! hivi ninyi ni wageni nchi hii?
 
Pengine TRA wagefikiria kutoza kodi yote ihitajikayo huko bidhaa zitokako (viwandani, bandarini nk) ili wajipunguzie kufukuzana na wafanyabiashara za rejareja.
 
Tatizo siyo muhindi wala mchina, tatizo ni mwenyewe nchi, wadau walishasema apo nyuma, tuanzishe baadhi ya program za Kodi kwenye mitahala ya shule za msingi kusudi watoto waanze kujua humuimu wa kulipa Kodi kwa nchi yako, na faida za Kodi....lkn tukiendelea kwa mtindo huu ni km kutwanga maji kwenye kinu.
 
Habari za muda,

Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani

Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.

Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.

The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?

Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.

TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.

Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
Swala la Uzalendo kwa Wananchi limekuwa dogo sana, na hii imechagizwa hasa na ukali wa Maisha magumu, kwa kiasi cha punguzo hilo mtu wa kawaida akiipata ni nafuu kwake zaidi.
Kingine swala la kutokidai risiti ni km mkazo wake umepungua sana, hill linatokana na tahasisi zinazoshughulika na ayo mambo kana kwamba wamelala zaidi...
Swala la kupunguziwa bei kusudi husilipe Kodi, ilo limekuwa la kawaida kwenye maeneo mengi hata uku mwanza uwo mchezo upo tena kwenye maduka ya wazawa...
Na watu wamekuwa wakiona ni sasa tu.
 
Mkuu wapo wenye tamaa wengi. Na rushwa haitaisha daima maana imekuwa kawaida tukubali

Sheria zinakanyagwa sana na wachache wanaumia
Haitaisha ndio ila itakuwepo kwa kiasi hasa Kwa mtu mwenye mzigo wa thamani kubwa ila kwa wanunuzi wa bidhaa za thamani ndogo hao ndio wengi.

Imagine ukwepe lisiti Ili ukatoe rushwa utakuwa ni taahira na hapo umenunua vitu vya elfu 50,000.
 
Huenda uko sahihi. Laiti angejua ''huko juu'' wanavyozipiga hizo fedha angeenda kwa hao wahindi awe anawasaidia kabisa kuweka doria ili wasikamatwe na TRA, tena bila malipo. Na mbaya zaidi hata hao wahindi na wachina wakilipa kodi itakiwavyo ''huko juu'' bado hazitapona.
Kinacho umiza tanzania pesa nyingi kabisa inapotea kuhudumia wanasiasa Tena wanazifuja kwelikweli wakati wao hawana kazi zaid ya porojo na MaLiPo wanayo lipwa nimakubwa mara dufu kulinganiSha na kazi wanazo fanya halafu wachapakazi wanao zalisha hizo pesa wanaambulia mabaki Tena kiduchu sana,

kwa style hii kwakweli ni afadhari kila mtu atafute kilicho na unaafuu kwake Mana vinginevyo unaweza kuta wewe una uchungu sana wenzio mbele yako wanakula bila kazi ,inaumiza na kuondoa uzalendo.
 
Hili li nchi lilishafeli eneo la utawala
Waliuze kila mtu apewe chake akajitafute kimpango wake
 
Habari za muda,

Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani

Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.

Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.

The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?

Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.

TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.

Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
Sheli ukiomba risiti unaambiwa mashine imeharibika ni majanga matupu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hate the game not players, muhindi alikuwa anakusaidia wewe usipasuke na hizo Vat ,
Vat inatakiwa ilipwe na mlaji wa mwisho (wewe) , yeye ni wakala tu wa kukusanya hiyo kodi ,na anatakiwa kisheria aipeleke Tra mwisho wa kila mwezi.
Uzalendo ni ilikuwa wewe kusema kwamba uandikiwe risiti kamili ili kodi yako iwasilishwe serikalini , hakuna namna anaweza asiipeleke huko kama wewe ulilipa kodi hiyo .
Kiufupi mtoa mada ndo ulizingua kwa kutokuwa na elimu sahihi ya kodi
 
Haitaisha ndio ila itakuwepo kwa kiasi hasa Kwa mtu mwenye mzigo wa thamani kubwa ila kwa wanunuzi wa bidhaa za thamani ndogo hao ndio wengi..

Imagine ukwepe lisiti Ili ukatoe rushwa utakuwa ni taahira na hapo umenunua vitu vya elfu 50,000.

Mkuu kuna watu wanaletewa makontena mpaka Kariakoo bila kukaguliwa
Hukumbuki Magu yale aliyakagua unakuta bidhaa ya Bei ndogo kumbe mzigo ni vifaa vya Umeme kodi kiduchu

Hao samaki wadogo achana nao we are talking about big fish hapa
 
Back
Top Bottom