DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ukiona hivyo ujue hakuna usawa katika ulipaji wa kodi, maana kama mtu angechajiwa kiasi ambacho anakihimili basi hakuna sababu ya kukwepa kodi, hili linatokea kwa sababu TRA wamekua wakibandika Wafanyabiashara kesi mahakamani na kuwakadiria Kodi zisizolipika.
Wewe acha porojo za kitoto,hakuna Mfanyabiashara anapenda kulipa Kodi,by the way yeye sio mlipa Kodi bali mnunuzi ndio mlipaji ila anataka akupige wewe mnunuzi na Kodi ya serikali asipeleke.
 
Hapo anaetakiwa kulipa kodi ni mwananchi. Yan mtumiaji wa hiyo bidhaaa.kwa mfano muhindi akikuuzia kwa 230.000 hiyo 50000 inaenda kama tax ambayo unatoa ww...ila serikali kweli imeshindwa kushinikiza kila duka kuwa na mashine kwa ajili ya kulipa kodi....ila watanzania tumezoea ujanja ujanja..

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kazi gani unaweza kama umeona Hilo Jambo umekimbilia huku ..huku ndo TRA?
Habari za muda,

Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani

Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.

Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.

The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?

Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.

TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.

Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
 
Kulipa kodi ni lazima na ni wajibu wa kila mtu
Hao wanaopiga kelele hivyo utakutwa wanalindwa na mtu juu Ndio maana anaongea kwa kujiamini
Muhindi muoga sana sasa kwa kauli hizo anajiamini kwa nguvu nyuma yake

Kamata Paka hao
 
Hakuna cha mtu wa kulinda kwenye kukiuka sheria,ni uzembe tuu wa serikali.
 
HII SIO TAARIFA NGENI KWAO,
TENA VITABU VYAO VYA MAHESABU YA MWAKA HAVINA MAKOSA KABISA
WATUMISHI WA MAMLAKA NDIO WAKO MSTALI WA MBELE KUTOA TAARIFA ZA UPIGAJI.
KWENYE ZAMA HIZI ZA MSWAHILI MADARAKANI. "UPIGAJI NI UZALENDO''

UKIWEZA NA UKIWA NA NAFASI NAWE FANYA UPIGAJI.
 
Mfumo wa kukusanya KODI Tanzania ni mbaya ni si muafaka kwa biashara za kisasa kuanzia uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi mpaka ufanyaji wa biashara husika.
Kuanzia biashara za jumla mpaka za rejareja na uchuuzaji.
Kwenye uzalishaji na hata utoaji wa huduma.
Kote huko mfumo wa kukusanya kodi si muafaka kabisa na unazo loopholes nyingi ambazo zinatoa manufaa kwa mlipakodi kukwepa au kulipa pungufu na zinatoa manufaa binafsi kwa Zakayo mkusanya kodi kutajirika zaidi.
Ndio maana hawakubali kufanya marekebisho au kuleta mfumo muafaka kwa kuwa kuna watu wanafaidika.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Mbona sasa hamji na mapendekezo ya mfumo rafiki na Bora?
 
Watakwambia kazikwe nae Chato 😀😀😀
Habari za muda,

Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona wanaongea billa kupepeza macho Wal kuongea kwa chini chini alisema kwa lafudhi ya kihindi " hey rfk hyo nitapatia wee kwa 180000 bila risiti na Kama unataka risiti nitakukatia ya elfu 50 sawaaa alisikika muhindi akiniambia maneno hayo bila kupepeza macho na pale kulikuepo na wateja wengi wamejazana dirishani

Wakt naongea na muhindi nikasika Tena dad ake na huyu muhind akimuambia mteja kifaha unachotaka nitakupa kwa laki tano bila risiti full mbaya Zaid wanaongea kwa saut kubwa sana.

Sas najiuliza mbona tunachezewa hivi na vyombo vipo na mamlaka zipo inamaana hawajuui kinachoendelea kariakoo kweli Kama mmeshindwa kazi kwanini msinipe hyo kazi niweze kuwa identify kila moja na tuwafikishe mahakamani kwa kosa la kuhujumu uchumi.

The same kwa wachina Ni wakwepa Kodi maarufu sna Hapa nnchini na mamlaka zipo na vyomb vipo tutaendelea kuchezewa hadi lini na Hawa wageni?

Imebakia kidg sna nimzabe makofi muhindi yule kwa hasira zangu huku mimi nikilimwa matozo mengi wkt Kuna wapuuzi kadhaa hawalipi Kodi na Wal hawafikishwi mahakamani.

TRA Kama mmeshindwa Kaz bas mtupishe tufanye mmepewa dhamana kusimamia na kukusanya Kodi ila mpo tu mnawaza maposho na Kaz hamafanyi.

Hili taifa ni majanga kwa kweli tunaliwa sna na watu wanaokuja kujifanya wawekezaji.
K
 
Ningekushauri uanzishe biashara ufanye alafu uone wewe ungefanyaje!

Lakini kitu usichokifanya huwezi kukielewa na kukitolea maelezo
Kulipa Kodi ni lazima,mimi muuza mitungi ya gas aliniambia mtungi wa kg 15 kubadilisha ni 55,000 nikasema mbona hiyo Bei haipo sokoni akasema nimpe 52,000 ila risiti aandike pungufu ya Bei hiyo na akaniuliza aandike kiasi gani? Nikamwambia 50,000..
 
Unajifanya unajali wakati walio juu hawaijali hatma ya Tanzania!!!

Jana tumeambiwa wanaleta vichwa mtumba vya treni ya kisasa huku wakisubiri vipya vitakavyo wasili 2023,, kuna haraka gan ya kununua hiyo mitumba kama vipya vitawasili 2023 ? Kama sio upigaji hapo ni nini? Walio juu hawajali ww unajali nn?

Kama waliojuu wamekubali kuwapa ardhi wageni kwa kisingizio cha uwekazaji na kuwafurusha wenye ardhi yao kisa pesa ww unajali nn?

Kuna mambo mengi sana ya kipuuzi yanafanywa na tuliowaamini watuongoze na hawajali, kwann sisi tujali?

Mwisho nisema fanya mambo yako acha umbea
Mkuu acha kashfa mm siyo mbeaa mkuu mm najitambua ila tupinge kwa vikali ukwepaji kodi unaofanywa na wageni hasa wachina na wahind ni watu wapumbagu sna
 
Wahindi wanini? ungana na viongozi wa taifa hili kutafuna nchi
Sas mm siwezi kuibia taifa mkuu wla kulidididmiza mam anakozea san ila ndio hvyo serekali yake yote iko mfukoni na remoti ipo siyo mbali na iliko ikuku
 
Ukiona hivyo ujue hakuna usawa katika ulipaji wa kodi, maana kama mtu angechajiwa kiasi ambacho anakihimili basi hakuna sababu ya kukwepa kodi, hili linatokea kwa sababu TRA wamekua wakibandika Wafanyabiashara kesi mahakamani na kuwakadiria Kodi zisizolipika.
Licha ya usawa, wewe unalipa kodi wenzio wanagawana hela za kodi kwa mabilioni halafu hawafanywi kitu zaidi ya kusikia porojo za ufisadi huku mamlaka zikijifanya zimeweka maskio pamba au noise cancelling headphones
 
TRA ndo wametoa hiyo ruhusa ndugu. Siyo kwamba hawajui!
Kweli mzee hili linahusika vip mkurugeniz wa mlipa kodi na elimu ni nani sashv

Inamamana kidao hajui yabayoendeleea
 
Hili taifa bado safari ni ndefu, juzi nimeenda kununua kifaa flani hardware Fulani mitaa ya morogoro basi kwa mbele yangu akawepo mtu mmoja naye alikuwa ameshahudumiwa lakini cha kunishangaza ni kumdai muhindi risiti kwa kumbembeleza anamwambia Nanukuu "Bossa naomba hata risiti ya kutembelea njiani bodaboda asiende kusumbuliwa" Mwisho wa kunukuu. Hao TRA kazi wanayo
Kwa hyo maafisa wa tra hajielewi na hawaelewi bei z abidha iko vip na kwanan wakubali kuoneshwa risit ya elf 50 wakt uhakisia wa mzigo ni laki 230000 siyo sawaa tutapamban sna hadi mwisho
 
Wee mjinga kweli ndio unaona Ni sawa kuibwa na wahindi eeh au wanakubandua nn mkuu acha kuwatetea majizi na wezi Kama una maslai nao Seema Ila wambie walipe Kodi saa wanakubackfire waambie walipe Kodi
Jibu hoja, acha matusi. Unapoteza sifa za kuendelea kujibiwa, unaonekana mwehu.
 
Mkuu acha kashfa mm siyo mbeaa mkuu mm najitambua ila tupinge kwa vikali ukwepaji kodi unaofanywa na wageni hasa wachina na wahind ni watu wapumbagu sna
Sio tuu wageni hata wewe hapo ukikwepa Kodi ushughulikiwe,hiyo Michezo Sio ya wageni pekee..

Tanzania hii inakosa udhibiti tuu ila pesa ni nyingi sana,tunaweza kupunguza madeni kwa nusu kwa kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato.
 
Sio Wahindi tuu wanaofanya hayo na jambo hilo sio la TRA bali wazalendo wote..

Nilishauri mara nyingi Sana humu ndani kwamba ni lazima TRA kwa kushirikiana na Serikali iunde kikosi Kazi cha oparesheni za Kodi tena manually kabisaa,hao wafanye Kazi Kwa kushirikiana na Polisi,migambo nk..

Kazi Yao iwe kufanya ukaguzi wa bidhaa zozote zilizonunuliwa kama zina risiti stahiki.Na ikibainika munuzi hajakata risiti mali zake zitaifishwe na kupigwa mnada kufidia Kodi aliyokwepa..

Pili Muuzaji ambae atabainika kuuza bila kutoa risiti au kutoa risiti Kwa bei ya Chini apigwe faini ya kuzidi..Hili likifangika kila mtu atadai risiti na muuzaji kutoa risiti.

Lakini kuwalaumi TRA kwa jambo ambalo wewe mnunuzi hujatimiza wajibu wako sio sawa na hakuna namna hapo TRA watafanya kuzuia haya majadiliano yenu binafsi.
Wazo zuri sema sasa kina mwigulu hawapo taayari kukubali kuwa serekali au wizara imemshinda
 
Back
Top Bottom