Mfumo wa kukusanya KODI Tanzania ni mbaya ni si muafaka kwa biashara za kisasa kuanzia uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi mpaka ufanyaji wa biashara husika.
Kuanzia biashara za jumla mpaka za rejareja na uchuuzaji.
Kwenye uzalishaji na hata utoaji wa huduma.
Kote huko mfumo wa kukusanya kodi si muafaka kabisa na unazo loopholes nyingi ambazo zinatoa manufaa kwa mlipakodi kukwepa au kulipa pungufu na zinatoa manufaa binafsi kwa Zakayo mkusanya kodi kutajirika zaidi.
Ndio maana hawakubali kufanya marekebisho au kuleta mfumo muafaka kwa kuwa kuna watu wanafaidika.
Sent from my SM-J610F using
JamiiForums mobile app