goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
- Thread starter
- #61
Kmmk yaan napata uchungu mno mkuu hao wako wapi mkuu nienda kucheki taeri ya kubwa hz illa safari hi nitawazingua kuwa naenda kuwashtaki kwa kunipa risit isiyo halali lzm nienda nikawazingue mnk nahitaji taeri kumi za scaniaa 114c -420Na kuna wachina pia wako mikocheni wanajiita Hiview international co ltd,hawa wanauza matairi ya magari ya kichina.na wenyewe ukienda pale kwao wanakuuliza live kabisa kama unataka bei ya risiti au isiyo na risiti.
Mpaka unajiuliza inakuwaje nchi yetu inachezewa na hawa wageni kiasi hiki?
Tunaibiwa HV HV na tunaona na vyombo vipo