Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uneandiak kwa mihemko tulia uandikeHapo anaetakiwa kulipa kodi ni mwananchi. Yan mtumiaji wa hiyo bidhaaa.kwa mfano muhindi akikuuzia kwa 230.000 hiyo 50000 inaenda kama tax ambayo unatoa ww...ila serikali kweli imeshindwa kushinikiza kila duka kuwa na mashine kwa ajili ya kulipa kodi....ila watanzania tumezoea ujanja ujanja..
Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Haijamshinda ila wanahofia kwamba wakifanya Hizo mechanical measures eti itamuudhi mama na kufukuza wawekezaji..Wazo zuri sema sasa kina mwigulu hawapo taayari kukubali kuwa serekali au wizara imemshinda
Wew mpumabafu na nusu yaani kwa hyo hili jukwaa limewekwa ili kuleta uzi wa kula kimasiara acha ujinga ukitaka ikaklalmike wapi na wtz wanzangu wangejuaje kuwa hili jambo siyo sawaWewe kazi gani unaweza kama umeona Hilo Jambo umekimbilia huku ..huku ndo TRA?
Naunga mkono hoja 100%....walioko juu tena hzo nafasi wanazitafuta kwa udi na uvumba wakijua watafaid fedha za walipakod sis tena kwa unyonyaj uliokithiri.....Yaan tena we mleta uzi utakuwa kizaz cha nyerere....Huenda uko sahihi. Laiti angejua ''huko juu'' wanavyozipiga hizo fedha angeenda kwa hao wahindi awe anawasaidia kabisa kuweka doria ili wasikamatwe na TRA, tena bila malipo. Na mbaya zaidi hata hao wahindi na wachina wakilipa kodi itakiwavyo ''huko juu'' bado hazitapona.
SAWA, WENZIO WANA FANYA UPIGAJI.Umeandika pumba
Kula kwa urefu wa kamba yako ndugu...viongoz wenyewe hawana mapenz wala huruma na wananchi weng wao walio masikinKwa hyo mkuu unasemaje niungane na wahindi kulididimiza Zaid
Nimekukewa san mkuu concept ya vat na jins ukwepaji kodi inafanyikaaSwala ni kwamba hataki ile 230,000 kwa sababu ina VAT ya 18% ambayo ni kama 41,400 lakini akikuuzia 180,000 manake 50,000 mzima anakupiga na hata Kwa serikali haiendi.
Sas watoto hawatapata udumaHII SIO TAARIFA NGENI KWAO,
TENA VITABU VYAO VYA MAHESABU YA MWAKA HAVINA MAKOSA KABISA
WATUMISHI WA MAMLAKA NDIO WAKO MSTALI WA MBELE KUTOA TAARIFA ZA UPIGAJI.
KWENYE ZAMA HIZI ZA MSWAHILI MADARAKANI. "UPIGAJI NI UZALENDO''
UKIWEZA NA UKIWA NA NAFASI NAWE FANYA UPIGAJI.
Pia akitoa risiti kila mara inaonyesha kwamba kumbe ana mzunguko mkubwa wa biashara hivyo huko mbeleni hatoweza tena kukwepa..Nimekukewa san mkuu concept ya vat na jins ukwepaji kodi inafanyikaa
Kabisa kaka. Katika vitu kama hivi uchama tunaweka pembeni, tunasimama kama Watanzania kutetea Taifa letu. Hongera kaka, japo wewe ni CDM ila umeweka itikadi za vyama pembeni. Kongole!Haijamshinda ila wanahofia kwamba wakifanya Hizo mechanical measures eti itamuudhi mama na kufukuza wawekezaji..
Sasa unajiuliza wawekezaji wa Nini kama hawalipi Kodi? .
Mimi nataka serikali Itumie Hizo mbinu Ili kila mtu awe na hofu kwamba nikikamatwa ni kutaifisha mali na kupigwa mnada hakuna haja kupelekana Mahakamani..
Hii mbinu itafanya Kazi Kwa sababu polisi wako barabani na kwenye doria kila siku.Pia kuna watu wa madini Wana inspection chamber zao sasa TRA wanashindwa Nini?
Haitadhibiti kwa 100% ila na hakika itazidi 80% kwa sababu changamoto kubwa kabisa ipo pia kwa raia kutoona umuhimu wa kudai risiti na hii ni kwa sababu hakuna hatua zinazochukiliwa.
Sio kila mtu ana nafasi ya kupiga,tunawajibika kama raia na kuwasaidia wengi ambao hawana fursa za kupiga na huduma wanahitaji..SAWA, WENZIO WANA FANYA UPIGAJI.
WEWE ENDELEA KULALAMIKA 🤣
Tumepigwa sana mkuuHaijamshinda ila wanahofia kwamba wakifanya Hizo mechanical measures eti itamuudhi mama na kufukuza wawekezaji..
Sasa unajiuliza wawekezaji wa Nini kama hawalipi Kodi? .
Mimi nataka serikali Itumie Hizo mbinu Ili kila mtu awe na hofu kwamba nikikamatwa ni kutaifisha mali na kupigwa mnada hakuna haja kupelekana Mahakamani..
Hii mbinu itafanya Kazi Kwa sababu polisi wako barabani na kwenye doria kila siku.Pia kuna watu wa madini Wana inspection chamber zao sasa TRA wanashindwa Nini?
Haitadhibiti kwa 100% ila na hakika itazidi 80% kwa sababu changamoto kubwa kabisa ipo pia kwa raia kutoona umuhimu wa kudai risiti na hii ni kwa sababu hakuna hatua zinazochukiliwa.
Mkuu inaelekea wwe umemaster sana somo la taxation and public finace mnk unajuwa sana had unakeraa umenikumbusha mbali mno na mwalimu wangu mwalimu elia alikuwa vizra sna katk taxation and public financePia akitoa risiti kila mara inaonyesha kwamba kumbe ana mzunguko mkubwa wa biashara hivyo huko mbeleni hatoweza tena kukwepa..
Yaani wako radhi ionekane biashara haikui kwa kutoa toa risiti ilhali inakua..
Japo Wana geinuine reason kwamba VAT inapigwa kwenye mauzo ghafi na sio faida but hili sio kosa la serikali bali ni wao kwa kutokuwa na wahasibu wa kutunza vitabu vya hesabu za biashara.
Kidogo mkuu,Nimesomea Economics ila Nina jamaa zangu wengi ni wafanyabiashara sasa huwa tuna debate na napata hints hizo ila mimi ni mtumishi..Mkuu inaelekea wwe umemaster sana somo la taxation and public finace mnk unajuwa sana had unakeraa umenikumbusha mbali mno na mwalimu wangu mwalimu elia alikuwa vizra sna katk taxation and public finance
Mkuu inaelekea wwe umemaster sana somo la taxation and public finace mnk unajuwa sana had unakeraa umenikumbusha mbali mno na mwalimu wangu mwalimu elia alikuwa vizra sna katk taxation and public finance