DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

DOKEZO TRA fanyeni kazi zenu ipasavyo, Wahindi na Wachina wanalichezea taifa hili

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu? Karibu nikupatie audiobook ya kitabu chochote unachohitaji.

+255625536510 WhatsApp

Ukihitaji audiobook ya kitabu chochote, nicheck WhatsApp
Sante. Mkuu ila hapa siyo pahala pake mkuu
 
Hapo anaetakiwa kulipa kodi ni mwananchi. Yan mtumiaji wa hiyo bidhaaa.kwa mfano muhindi akikuuzia kwa 230.000 hiyo 50000 inaenda kama tax ambayo unatoa ww...ila serikali kweli imeshindwa kushinikiza kila duka kuwa na mashine kwa ajili ya kulipa kodi....ila watanzania tumezoea ujanja ujanja..

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
Uneandiak kwa mihemko tulia uandike
 
Wazo zuri sema sasa kina mwigulu hawapo taayari kukubali kuwa serekali au wizara imemshinda
Haijamshinda ila wanahofia kwamba wakifanya Hizo mechanical measures eti itamuudhi mama na kufukuza wawekezaji..

Sasa unajiuliza wawekezaji wa Nini kama hawalipi Kodi? .

Mimi nataka serikali Itumie Hizo mbinu Ili kila mtu awe na hofu kwamba nikikamatwa ni kutaifisha mali na kupigwa mnada hakuna haja kupelekana Mahakamani..

Hii mbinu itafanya Kazi Kwa sababu polisi wako barabani na kwenye doria kila siku.Pia kuna watu wa madini Wana inspection chamber zao sasa TRA wanashindwa Nini?

Haitadhibiti kwa 100% ila na hakika itazidi 80% kwa sababu changamoto kubwa kabisa ipo pia kwa raia kutoona umuhimu wa kudai risiti na hii ni kwa sababu hakuna hatua zinazochukiliwa.
 
Wewe kazi gani unaweza kama umeona Hilo Jambo umekimbilia huku ..huku ndo TRA?
Wew mpumabafu na nusu yaani kwa hyo hili jukwaa limewekwa ili kuleta uzi wa kula kimasiara acha ujinga ukitaka ikaklalmike wapi na wtz wanzangu wangejuaje kuwa hili jambo siyo sawa
 
Huenda uko sahihi. Laiti angejua ''huko juu'' wanavyozipiga hizo fedha angeenda kwa hao wahindi awe anawasaidia kabisa kuweka doria ili wasikamatwe na TRA, tena bila malipo. Na mbaya zaidi hata hao wahindi na wachina wakilipa kodi itakiwavyo ''huko juu'' bado hazitapona.
Naunga mkono hoja 100%....walioko juu tena hzo nafasi wanazitafuta kwa udi na uvumba wakijua watafaid fedha za walipakod sis tena kwa unyonyaj uliokithiri.....Yaan tena we mleta uzi utakuwa kizaz cha nyerere....
 
Kwa hyo mkuu unasemaje niungane na wahindi kulididimiza Zaid
Kula kwa urefu wa kamba yako ndugu...viongoz wenyewe hawana mapenz wala huruma na wananchi weng wao walio masikin
 
HII SIO TAARIFA NGENI KWAO,
TENA VITABU VYAO VYA MAHESABU YA MWAKA HAVINA MAKOSA KABISA
WATUMISHI WA MAMLAKA NDIO WAKO MSTALI WA MBELE KUTOA TAARIFA ZA UPIGAJI.
KWENYE ZAMA HIZI ZA MSWAHILI MADARAKANI. "UPIGAJI NI UZALENDO''

UKIWEZA NA UKIWA NA NAFASI NAWE FANYA UPIGAJI.
Sas watoto hawatapata uduma
 
Nimekukewa san mkuu concept ya vat na jins ukwepaji kodi inafanyikaa
Pia akitoa risiti kila mara inaonyesha kwamba kumbe ana mzunguko mkubwa wa biashara hivyo huko mbeleni hatoweza tena kukwepa..

Yaani wako radhi ionekane biashara haikui kwa kutoa toa risiti ilhali inakua..

Japo Wana geinuine reason kwamba VAT inapigwa kwenye mauzo ghafi na sio faida but hili sio kosa la serikali bali ni wao kwa kutokuwa na wahasibu wa kutunza vitabu vya hesabu za biashara.
 
Haijamshinda ila wanahofia kwamba wakifanya Hizo mechanical measures eti itamuudhi mama na kufukuza wawekezaji..

Sasa unajiuliza wawekezaji wa Nini kama hawalipi Kodi? .

Mimi nataka serikali Itumie Hizo mbinu Ili kila mtu awe na hofu kwamba nikikamatwa ni kutaifisha mali na kupigwa mnada hakuna haja kupelekana Mahakamani..

Hii mbinu itafanya Kazi Kwa sababu polisi wako barabani na kwenye doria kila siku.Pia kuna watu wa madini Wana inspection chamber zao sasa TRA wanashindwa Nini?

Haitadhibiti kwa 100% ila na hakika itazidi 80% kwa sababu changamoto kubwa kabisa ipo pia kwa raia kutoona umuhimu wa kudai risiti na hii ni kwa sababu hakuna hatua zinazochukiliwa.
Kabisa kaka. Katika vitu kama hivi uchama tunaweka pembeni, tunasimama kama Watanzania kutetea Taifa letu. Hongera kaka, japo wewe ni CDM ila umeweka itikadi za vyama pembeni. Kongole!
 
SAWA, WENZIO WANA FANYA UPIGAJI.

WEWE ENDELEA KULALAMIKA 🤣
Sio kila mtu ana nafasi ya kupiga,tunawajibika kama raia na kuwasaidia wengi ambao hawana fursa za kupiga na huduma wanahitaji..

Wale ambao wanafariki kwenye hospital za umma,wamesonhana,hawana maji nk.
 
Haijamshinda ila wanahofia kwamba wakifanya Hizo mechanical measures eti itamuudhi mama na kufukuza wawekezaji..

Sasa unajiuliza wawekezaji wa Nini kama hawalipi Kodi? .

Mimi nataka serikali Itumie Hizo mbinu Ili kila mtu awe na hofu kwamba nikikamatwa ni kutaifisha mali na kupigwa mnada hakuna haja kupelekana Mahakamani..

Hii mbinu itafanya Kazi Kwa sababu polisi wako barabani na kwenye doria kila siku.Pia kuna watu wa madini Wana inspection chamber zao sasa TRA wanashindwa Nini?

Haitadhibiti kwa 100% ila na hakika itazidi 80% kwa sababu changamoto kubwa kabisa ipo pia kwa raia kutoona umuhimu wa kudai risiti na hii ni kwa sababu hakuna hatua zinazochukiliwa.
Tumepigwa sana mkuu
 
Pia akitoa risiti kila mara inaonyesha kwamba kumbe ana mzunguko mkubwa wa biashara hivyo huko mbeleni hatoweza tena kukwepa..

Yaani wako radhi ionekane biashara haikui kwa kutoa toa risiti ilhali inakua..

Japo Wana geinuine reason kwamba VAT inapigwa kwenye mauzo ghafi na sio faida but hili sio kosa la serikali bali ni wao kwa kutokuwa na wahasibu wa kutunza vitabu vya hesabu za biashara.
Mkuu inaelekea wwe umemaster sana somo la taxation and public finace mnk unajuwa sana had unakeraa umenikumbusha mbali mno na mwalimu wangu mwalimu elia alikuwa vizra sna katk taxation and public finance
 
Kidogo mkuu,Nimesomea Economics ila Nina jamaa zangu wengi ni wafanyabiashara sasa huwa tuna debate na napata hints hizo ila mimi ni mtumishi..

Kiufupi hata hiyo VAT wanayosema eti ni kubwa sidhani kwa sababu hata wakishusha kwa mfano bado kama hawatunzi hesabu lazima watasema tena inawakata kwamba inakatwa kwenye mauzo wakati wao hawawezi kueleza kiuhalisia kwamba ana mtaji kiasi gani na faida kiasi gani vyote wanachanganya..

Ndio maana hata TRA huwa wanamuuliza muuzaji kwamba tukukate kiasi gani cha Kodi kwa wale wasio na mashine lengo wanamsikiliza ili asije kuleta longo longo baadae..

But jambo la msingi la Serikali kufanya ni kupunguza utitiri wa mataasisi yanayokusanya tozo na Kodi mbalimbali maana ukakuta kuna taasisi zaidi ya 10 kwenye biashara moja,this cumbersome and nonsense na inaongeza gharama kwa biashara..Pia mianya ya wapigaji wanakuwa wengi na Ndio Hawa wanawasumbua investors.Ilitakiwa zikusanywe zote Kwa pamoja zilipwe at once..

To be honest kuna baadhi ya biashara zina watozaji wa tozo ukiacha Kodi ya TRA wengi Sana na kama utaamua kufuatisha mifumo lazima ife,huu ni ukweli nakueleza..

Kwenye biashara Ili upate nafuu lazima ufikie viwango vya mtaji wa juu ila kama ndio una mtaji mdogo au wa Kati lazima ukwepe Kodi Ili u survive,huu ni ukweli nakuambia ndio maana biashara nyingi hazikui shida sio Kodi ya TRA bali kuna lundo la Kodi za kitaasisi tena viliwekwa na sheria.

Back
Top Bottom