Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
15000 per day huwez meki hata ef 7!? Bodboda wanaacha hel y kula ef 6 kwake na Ana mtoto n mke. Vijana tuchenji mindsets zetu. Huu mtazamo wngu tu kakaUnaweza kuweka akiba ya shilingi ngapi kwa mwezi kwenye shilingi 450,000?
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
Mbona sio yeye lknpole mkuu kwa yalyokukuta
Kwani alikuwa ameajiriwa?kama intern,lazima ujue siku moja,internship huisha,na unachukua hamsini zako,Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi.
Kwa bahati mbaya sana alinijulisha kuwa wamesitishiwa mikataba yao, mbaya zaidi ni kwamba wameambiwa mwisho ni IJUMAA yaani jana na ifikapo J3 hawaruhusiwi kuingia kazini.
Sikuona tatizo kwa vijana wale kumaliza mkataba ila njia iliyotumia kuwapa ujumbe haikuwa sawa, na hasa ukizingatia wangeweza kupewa Barua inayaonesha kuwa kuwa Tar fulani itakuwa mwisho wao.
Inafahamika wazi wale vijana haikuwa ajira lakini kwanini msikae nao na kuwaeleza kwa usahihi? Kwanini muwape stress za ghafla kiasi hiko.
Mamlaka ya Mapato ni taasisi kubwa mno, hivyo utoaji wa taarifa lazima uzingatie pia haki za hao watu.
Mwisho naomba mkae nao muwape hata darasa la namna ya kuishi bila zile kazi, maana nimeona hapa kijana ameshindwa hadi kula chakula.
Nawasilisha.
Field bila konekshen private hupatiInternship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!
Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri
Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full
Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector
Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau
Zingine za hovyo kabisa
Mumewe anamhudumia mkuu, ndio maana hajui hizo gharama nyingine za Maisha.Wewe kwenye Kaz zako piga umemaliza miaka mingap? Afu zidisha na kipato chako baada ya hapo onyesha unabeigan cash? Usifanane ka mtoto wa mama anayeish kwao Ina maana hata boxer hanunui au nguo em usituhaibishe inavyoonekana Bado unalelewa wewe
Internship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!
Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri
Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full
Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector
Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau
Zingine za hovyo kabisa
Sio kweli usipeleke tu kibarua Cha chuo Cha kuomba field au internship attach hata barua ya proposal kwa Nini unataka kufanya internship au field kwao sio kwingine na waweza itwa Hadi interview ukatwangwa maswali barabara Sasa una kibarua tu Cha chuo mko mia tatu nafasi moja ohh tunataka kufanya field au internship hapa hopeless kabisa.Field na Internship unatakiwa u defend Kama unavyoomba scholarship na uwe tayari interviewField bila konekshen private hupati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa na mbuzi mzembe hunyongwa na kamba yake, hili ni soko la kibepari
Mataptap!!!Mia nne hamsini mtu anaweka akiba kiasi gani kwa kila mwezi adi utake awe ana akibaMkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti.
Vijana walipewa mkataba wa miaka miwili na kila mwezi walilipwa laki nne na nusu (450,000) per month. Kwa miaka miwili hiyo ni sawa na milioni kumi na laki nane. 10,800,000.
Muulize kijana pesa zote hizo kapeleka wapi? Ilipaswa wakimbizwe kabisa. Tatizo la wabongo hawana shukrani.
Ni kweli lakin watu wa mungu wako tunaangamia kwa kukosa maarifa ,[emoji3064][emoji27]Sio kweli usipeleke tu kibarua Cha chuo Cha kuomba field au internship attach hata barua ya proposal kwa Nini unataka kufanya internship au field kwao sio kwingine na waweza itwa Hadi interview ukatwangwa maswali barabara Sasa una kibarua tu Cha chuo mko.mia tatu ohh tunataka kufanya field au internship hapa hopeless kabisa.Field na Internship unatakiwa u defend Kama unavyoomba scholarship na uwe tayari interview
Lakini una libarua tu la chuo mkononi .Halafu unalia ohh hawatupi sababu hatuna connection kichwa chako ndicho hakina connection
Kifupi huko vyuoni watoto hawapikwi vizuri wanadhani libarua la chuo ndio lenyewe
mkuu hizo ajira unazani hawafanyi interviews kisa walikuwa interns? au unazani watapachikwa tu kazini kiholela kisa walikuwa interns? labda mama yako awe Samiah Suluhu.Halafu wametangaza ajira sasa wakuendelea kuwepo na wakipata ajira mtaibuka na maneno kuwa wale wale tunao waona ndio wameajiriwa/wana connection.
Zamani walikua wanapitia hapo hapo intern through recommendations kupata ajira saa hii hadi utupie utumishi psrs huko haiangalii wewe ni wa TRA intern ama ni wakitaa. Yaani mbaya zaidi haiangalii kama umesoma sijui commerce highway yenyewe na una uzoefu wa internship pale yenyewe kama inataka degree ya accountant inakuchotelea mbaliiii huko haikutambui.Tra intern zao kikipita kipindi cha kudai kodi mlango kwa mlango wanafukuza vijana wengi. Mwambie mwakani tutamrejesha tukikaribia kumaliza budget
boda boda wa wapi huyo?15000 per day huwez meki hata ef 7!? Bodboda wanaacha hel y kula ef 6 kwake na Ana mtoto n mke. Vijana tuchenji mindsets zetu. Huu mtazamo wngu tu kaka
Nasubiri feedback za waalimu wale walojitolea nakala zao zikaenda kwa mama Ummi kwa ajili ya ajira za waalimu 2021😅😅Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi.
Kwa bahati mbaya sana alinijulisha kuwa wamesitishiwa mikataba yao, mbaya zaidi ni kwamba wameambiwa mwisho ni IJUMAA yaani jana na ifikapo J3 hawaruhusiwi kuingia kazini.
Sikuona tatizo kwa vijana wale kumaliza mkataba ila njia iliyotumia kuwapa ujumbe haikuwa sawa, na hasa ukizingatia wangeweza kupewa Barua inayaonesha kuwa kuwa Tar fulani itakuwa mwisho wao.
Inafahamika wazi wale vijana haikuwa ajira lakini kwanini msikae nao na kuwaeleza kwa usahihi? Kwanini muwape stress za ghafla kiasi hiko.
Mamlaka ya Mapato ni taasisi kubwa mno, hivyo utoaji wa taarifa lazima uzingatie pia haki za hao watu.
Mwisho naomba mkae nao muwape hata darasa la namna ya kuishi bila zile kazi, maana nimeona hapa kijana ameshindwa hadi kula chakula.
Nawasilisha.
Kweli kabisa usemayo broInternship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!
Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri
Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full
Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector
Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau
Zingine za hovyo kabisa
kiwepesi wepesi unaweza ona watakuwa na iyo hela ndani,lakini ukija kwenye maisha halisi ya hali zetu bado iyo hela ilikuwa ndogo,ukute kijana anatoka familia ya hali ya chini,baba mama na wadogo zako pia wanakutegemea,so tuchukulie upo nyumbani na wazazi wako unaacha elfu 5 mama anajaribu kuibana bana hela almradi ifike usiku,kwa mwezi ni laki na nusu jumla,unabakiwa na laki 3 mfukoni,nawe kufika kazini asubuhi unaweza ukapiga ndefu mchana umefika umeagiza chakula cha 1500/=,hapo bajeti ya maji unaitoa tuchukulie ofisi kama iyo wanaweza maji ya kunywa, unabakiwa na laki 270,nauli mia 400 kutwa jumla ni 800/= jumla ni elfu 16,haya tuchukulie kuna mazingira ya ofisi lazima uweke vocha kwa kuwasiliana na staff wenzako,rafiki na ndugu labda bajeti yake kwa mwezi ni elfu 10 mpaka hapo,kununua mavazi,kiwi, purfume,mafuta na sabuni, jumla labda ni elfu 50/=,haya bado wadogo zako nao asubuhi wakienda shule ama chuo......yaani hapo nimezungumzia unaishi na wazazi wako unakuwa na mlolongo huo je utawezaje kumeki hela bank hapo,Usichukulie poa huyo kijana anawaza je kipinid nachukua mshahara huo wa laki na nusu ilikuwa taiti je ninavyorudi mtaani hali itakuwaje,Mkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti.