TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

Internship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!

Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri

Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full

Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector

Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau

Zingine za hovyo kabisa
 
Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi.

Kwa bahati mbaya sana alinijulisha kuwa wamesitishiwa mikataba yao, mbaya zaidi ni kwamba wameambiwa mwisho ni IJUMAA yaani jana na ifikapo J3 hawaruhusiwi kuingia kazini.

Sikuona tatizo kwa vijana wale kumaliza mkataba ila njia iliyotumia kuwapa ujumbe haikuwa sawa, na hasa ukizingatia wangeweza kupewa Barua inayaonesha kuwa kuwa Tar fulani itakuwa mwisho wao.

Inafahamika wazi wale vijana haikuwa ajira lakini kwanini msikae nao na kuwaeleza kwa usahihi? Kwanini muwape stress za ghafla kiasi hiko.

Mamlaka ya Mapato ni taasisi kubwa mno, hivyo utoaji wa taarifa lazima uzingatie pia haki za hao watu.

Mwisho naomba mkae nao muwape hata darasa la namna ya kuishi bila zile kazi, maana nimeona hapa kijana ameshindwa hadi kula chakula.

Nawasilisha.
Kwani alikuwa ameajiriwa?kama intern,lazima ujue siku moja,internship huisha,na unachukua hamsini zako,
Kama muajiliwa tu,siku zote unaishi ukitegemea siku moja isiyo na jina,ajira huisha ghafla!sembuse interns!!!!
Pole sana kwa hao vijana,kitaa pa hovyo sana kama huna kitu Cha kuingiza kipato.
 
Internship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!

Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri

Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full

Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector

Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau

Zingine za hovyo kabisa
Field bila konekshen private hupati
 
Halafu wametangaza ajira sasa wakuendelea kuwepo na wakipata ajira mtaibuka na maneno kuwa wale wale tunao waona ndio wameajiriwa/wana connection.
 
Wewe kwenye Kaz zako piga umemaliza miaka mingap? Afu zidisha na kipato chako baada ya hapo onyesha unabeigan cash? Usifanane ka mtoto wa mama anayeish kwao Ina maana hata boxer hanunui au nguo em usituhaibishe inavyoonekana Bado unalelewa wewe
Mumewe anamhudumia mkuu, ndio maana hajui hizo gharama nyingine za Maisha.
 
Zamani nilikuwa naona hiyo hela kubwa ila jamani ombeeni waliokuwa wanawalea wawe na nguvu mpk uwe vizuri financially ila vinginevyo huwez kuona ina tosha mana sio wewe tu unaye nufaika bali watu wako pia walio tia baraka zao na wewe kupata hapo.
 
Hii nchi ina ule mfumo wa" kamlete"....mwambie huyo kijana aliempeleka hapo amtafutie sehemu nyingine......kamlete system haiwezi kuisha nchi hii mpaka mimi na wewe tutakapoingia msituni
 
Internship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!

Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri

Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full

Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector

Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau

Zingine za hovyo kabisa

Umesema sahihi sana mkuu
Shida ni kwamba private companies nyingi ni ngumu sana kukubali vijana wa field au intern
 
Field bila konekshen private hupati
Sio kweli usipeleke tu kibarua Cha chuo Cha kuomba field au internship attach hata barua ya proposal kwa Nini unataka kufanya internship au field kwao sio kwingine na waweza itwa Hadi interview ukatwangwa maswali barabara Sasa una kibarua tu Cha chuo mko mia tatu nafasi moja ohh tunataka kufanya field au internship hapa hopeless kabisa.Field na Internship unatakiwa u defend Kama unavyoomba scholarship na uwe tayari interview

Lakini una libarua tu la chuo mkononi .Halafu unalia ohh hawatupi sababu hatuna connection kichwa chako ndicho hakina connection

Kifupi huko vyuoni watoto hawapikwi vizuri wanadhani libarua la chuo ndio lenyewe
 
Mkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti.

Vijana walipewa mkataba wa miaka miwili na kila mwezi walilipwa laki nne na nusu (450,000) per month. Kwa miaka miwili hiyo ni sawa na milioni kumi na laki nane. 10,800,000.

Muulize kijana pesa zote hizo kapeleka wapi? Ilipaswa wakimbizwe kabisa. Tatizo la wabongo hawana shukrani.
Mataptap!!!Mia nne hamsini mtu anaweka akiba kiasi gani kwa kila mwezi adi utake awe ana akiba
 
Sio kweli usipeleke tu kibarua Cha chuo Cha kuomba field au internship attach hata barua ya proposal kwa Nini unataka kufanya internship au field kwao sio kwingine na waweza itwa Hadi interview ukatwangwa maswali barabara Sasa una kibarua tu Cha chuo mko.mia tatu ohh tunataka kufanya field au internship hapa hopeless kabisa.Field na Internship unatakiwa u defend Kama unavyoomba scholarship na uwe tayari interview

Lakini una libarua tu la chuo mkononi .Halafu unalia ohh hawatupi sababu hatuna connection kichwa chako ndicho hakina connection

Kifupi huko vyuoni watoto hawapikwi vizuri wanadhani libarua la chuo ndio lenyewe
Ni kweli lakin watu wa mungu wako tunaangamia kwa kukosa maarifa ,[emoji3064][emoji27]
 
Halafu wametangaza ajira sasa wakuendelea kuwepo na wakipata ajira mtaibuka na maneno kuwa wale wale tunao waona ndio wameajiriwa/wana connection.
mkuu hizo ajira unazani hawafanyi interviews kisa walikuwa interns? au unazani watapachikwa tu kazini kiholela kisa walikuwa interns? labda mama yako awe Samiah Suluhu.
 
Tra intern zao kikipita kipindi cha kudai kodi mlango kwa mlango wanafukuza vijana wengi. Mwambie mwakani tutamrejesha tukikaribia kumaliza budget
Zamani walikua wanapitia hapo hapo intern through recommendations kupata ajira saa hii hadi utupie utumishi psrs huko haiangalii wewe ni wa TRA intern ama ni wakitaa. Yaani mbaya zaidi haiangalii kama umesoma sijui commerce highway yenyewe na una uzoefu wa internship pale yenyewe kama inataka degree ya accountant inakuchotelea mbaliiii huko haikutambui.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi.

Kwa bahati mbaya sana alinijulisha kuwa wamesitishiwa mikataba yao, mbaya zaidi ni kwamba wameambiwa mwisho ni IJUMAA yaani jana na ifikapo J3 hawaruhusiwi kuingia kazini.

Sikuona tatizo kwa vijana wale kumaliza mkataba ila njia iliyotumia kuwapa ujumbe haikuwa sawa, na hasa ukizingatia wangeweza kupewa Barua inayaonesha kuwa kuwa Tar fulani itakuwa mwisho wao.

Inafahamika wazi wale vijana haikuwa ajira lakini kwanini msikae nao na kuwaeleza kwa usahihi? Kwanini muwape stress za ghafla kiasi hiko.

Mamlaka ya Mapato ni taasisi kubwa mno, hivyo utoaji wa taarifa lazima uzingatie pia haki za hao watu.

Mwisho naomba mkae nao muwape hata darasa la namna ya kuishi bila zile kazi, maana nimeona hapa kijana ameshindwa hadi kula chakula.

Nawasilisha.
Nasubiri feedback za waalimu wale walojitolea nakala zao zikaenda kwa mama Ummi kwa ajili ya ajira za waalimu 2021😅😅
 
Internship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!

Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri

Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full

Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector

Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau

Zingine za hovyo kabisa
Kweli kabisa usemayo bro
 
Mkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti.

Vijana walipewa mkataba wa miaka miwili na kila mwezi walilipwa laki nne na nusu (450,000) per month. Kwa miaka miwili hiyo ni sawa na milioni kumi na laki nane. 10,800,000.

Muulize kijana pesa zote hizo kapeleka wapi? Ilipaswa wakimbizwe kabisa. Tatizo la wabongo hawana shukrani.
kiwepesi wepesi unaweza ona watakuwa na iyo hela ndani,lakini ukija kwenye maisha halisi ya hali zetu bado iyo hela ilikuwa ndogo,ukute kijana anatoka familia ya hali ya chini,baba mama na wadogo zako pia wanakutegemea,so tuchukulie upo nyumbani na wazazi wako unaacha elfu 5 mama anajaribu kuibana bana hela almradi ifike usiku,kwa mwezi ni laki na nusu jumla,unabakiwa na laki 3 mfukoni,nawe kufika kazini asubuhi unaweza ukapiga ndefu mchana umefika umeagiza chakula cha 1500/=,hapo bajeti ya maji unaitoa tuchukulie ofisi kama iyo wanaweza maji ya kunywa, unabakiwa na laki 270,nauli mia 400 kutwa jumla ni 800/= jumla ni elfu 16,haya tuchukulie kuna mazingira ya ofisi lazima uweke vocha kwa kuwasiliana na staff wenzako,rafiki na ndugu labda bajeti yake kwa mwezi ni elfu 10 mpaka hapo,kununua mavazi,kiwi, purfume,mafuta na sabuni, jumla labda ni elfu 50/=,haya bado wadogo zako nao asubuhi wakienda shule ama chuo......yaani hapo nimezungumzia unaishi na wazazi wako unakuwa na mlolongo huo je utawezaje kumeki hela bank hapo,Usichukulie poa huyo kijana anawaza je kipinid nachukua mshahara huo wa laki na nusu ilikuwa taiti je ninavyorudi mtaani hali itakuwaje,
 
Back
Top Bottom