TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

Intern sio kazi ya kudumu,anytime mwajiri ana haki ya kukuondoa
 

Umeongea utoto we jamaa hivi 450k kwa mwezi we unaitumiaje mzee mpk uweke na akiba [emoji22]
 
Umeongea utoto we jamaa hivi 450k kwa mwezi we unaitumiaje mzee mpk uweke na akiba [emoji22]
Kma unajua kibarua sio cha kudumu unashindwaje kuweka akiba Mimi nilivyomaliza chuo nishafanya kibarua huko huko serikalini nilikuwa nnalipwa laki 3 na nilikuwa kila mwezi nnatumbukiza laki 1 kwenye account mpk mkataba unaisha mwaka miaka miwili nnarudi mtaani nimefungua genge duka maisha yakaenda
 
Una uhakika walikuwa wakilipwa kiasi hicho cha pesa?
 
Wanalipwa 450!? Nendna taesa mzumbe, na ofisi nyengne wanakula 150 kavu, yani 150 per month *****
 
Kuna kazi zilitangazwa wambie waaply kinyume na hapo wataishia kulialia.... hiyo haikuwa ajira bali yalikuwa mafunzo tuu tena pengine ya upendeleo tuu kwani ni wengi walikuwa na hamu ya kupata hayo mafunzo wamekosa hivyo wajifunze kuishi bila ajira na kutafuta ajira.
Shida walijisahau wakidhani wamepata ajira TRA kumbe wakasahu ajira zinatolea kupitia utumishi wa Umma.
Wajifunze kushukuru walipewa nafasi ya kujifunza miaka miwili inatosha kuandika kabisa wanao uzoefu.
Aliyewapa mkataba hawahitaji tena na hana hela wala posho ya kuwalipa hivyo waanze kutafuta ajira sio internship tena na wajifunze kuishi kwa kushukuru sio kulalama tuu
 
sina cha kuongeza zaidi ya maneno hayaa zaidi Ubarikiwe na Mungu unayemwabudu
 
Motivational speaker [emoji3]
 
Hivi huwa wanapewa hata cheti kuthibitisha kuwa walifanya internship?
 
Intern sio kazi ya kudumu,anytime mwajiri ana haki ya kukuondoa
Wengi wao waliamini mkataba ukiisha wataajiriwa na utakuta baadhi walibweteka kabisaa ata ajira zilizotangazwa hawakuangaika kuziomba wakiamini kwamba wao hawastaili kuingia ktk ushindani kwa sababu mwajiri atawaidhinisha tu.!!! Kiukweli hali waliyokutana nayo inaumiza kibinadam kwa kuwa imekinzana na matarajio yao, alaf ukute kitaa ushawatangazia washikaji umelamba ajira TRA tena wanakuona kabisa na Dress code za TRA..full kunyonga Tai hahahahah!!!!! .
 
Pole sana kijana kwa kushindwa hata kula bora umeamua kujisemea mwenyewe! makazini utemi mwingi na kuoneana, utapata kazi nyingine
 
Motivational speaker [emoji3]
Sio motivation spika brother maisha magumu niliyopitia niliapa sitochezea hela na ww fikiria nilikuwa nnakaa keko machungwa na nnatembea mpk posta kwa mguu mfukoni nnahela ya kurudia tu nauli nilivyopata mishe na nilikuwa nnajua kibarua hakina muda mrefu kinakufa na nilikuwa nnajua msoto wa mtaani kabla sijapata hiko kibarua nilimaliza chuo nilikaa miaka 3 bila job nilikuwa nna amka asubuhi nnatoka home nnaenda kushinda gymkhana nyuma ya ikulu sina hata mia mfukoni na kukaa home kutwa nzima noma kwahyo nilivyopata hyo job,nikajua kabisa mkataba ukiisha ntaanza tena kushinda gymkhana maana kule ndio maeneo yetu tusiokuwa na kazi unaenda kupunga upepo beach jumatatu asubuhi mtaani wanajua umeenda kibaruani kurudi jioniii km unatoka job ukiwa na malengo hata laki mbili utaweza Ku save hila wakishua mnaona km haiwezekani hamuwezi kushindia mihongo na maji.
 
Sasaivi wasomi wapo wengi wanafika hata laki Saba huko wire wamemaliza degree ,,,na wote wanataka izo interns so hao waintern ilikuwa ni lazima wamalize ili waingie wengine nao wapate uzoefu kazi zenyewe zimekuwa chache sikuizi afu kila mta anaiangalia serikali imuajili Nyooo muwe na shukrani ,,,mmjue na kujiajiri mbona sisi tupo kitaa tunapambana izo intern tunazitaka Sana tu,,,Serikali imeweka utaratibu wa kupata kazi kuomba kupitia utumishi,,,so zikitokea tuzigombanie izo Mungu atabless tu..kwa kila mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…