TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

TRA hamjawatendea haki INTERNS wenu

Intern sio kazi ya kudumu,anytime mwajiri ana haki ya kukuondoa
 
Mkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti.

Vijana walipewa mkataba wa miaka miwili na kila mwezi walilipwa laki nne na nusu (450,000) per month. Kwa miaka miwili hiyo ni sawa na milioni kumi na laki nane. 10,800,000.

Muulize kijana pesa zote hizo kapeleka wapi? Ilipaswa wakimbizwe kabisa. Tatizo la wabongo hawana shukrani.

Umeongea utoto we jamaa hivi 450k kwa mwezi we unaitumiaje mzee mpk uweke na akiba [emoji22]
 
Umeongea utoto we jamaa hivi 450k kwa mwezi we unaitumiaje mzee mpk uweke na akiba [emoji22]
Kma unajua kibarua sio cha kudumu unashindwaje kuweka akiba Mimi nilivyomaliza chuo nishafanya kibarua huko huko serikalini nilikuwa nnalipwa laki 3 na nilikuwa kila mwezi nnatumbukiza laki 1 kwenye account mpk mkataba unaisha mwaka miaka miwili nnarudi mtaani nimefungua genge duka maisha yakaenda
 
Una uhakika walikuwa wakilipwa kiasi hicho cha pesa?
Mkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti.

Vijana walipewa mkataba wa miaka miwili na kila mwezi walilipwa laki nne na nusu (450,000) per month. Kwa miaka miwili hiyo ni sawa na milioni kumi na laki nane. 10,800,000.

Muulize kijana pesa zote hizo kapeleka wapi? Ilipaswa wakimbizwe kabisa. Tatizo la wabongo hawana shukrani.
 
Wanalipwa 450!? Nendna taesa mzumbe, na ofisi nyengne wanakula 150 kavu, yani 150 per month *****
 
Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi.

Kwa bahati mbaya sana alinijulisha kuwa wamesitishiwa mikataba yao, mbaya zaidi ni kwamba wameambiwa mwisho ni IJUMAA yaani jana na ifikapo J3 hawaruhusiwi kuingia kazini.

Sikuona tatizo kwa vijana wale kumaliza mkataba ila njia iliyotumia kuwapa ujumbe haikuwa sawa, na hasa ukizingatia wangeweza kupewa Barua inayaonesha kuwa kuwa Tar fulani itakuwa mwisho wao.

Inafahamika wazi wale vijana haikuwa ajira lakini kwanini msikae nao na kuwaeleza kwa usahihi? Kwanini muwape stress za ghafla kiasi hiko.

Mamlaka ya Mapato ni taasisi kubwa mno, hivyo utoaji wa taarifa lazima uzingatie pia haki za hao watu.

Mwisho naomba mkae nao muwape hata darasa la namna ya kuishi bila zile kazi, maana nimeona hapa kijana ameshindwa hadi kula chakula.

Nawasilisha.
Kuna kazi zilitangazwa wambie waaply kinyume na hapo wataishia kulialia.... hiyo haikuwa ajira bali yalikuwa mafunzo tuu tena pengine ya upendeleo tuu kwani ni wengi walikuwa na hamu ya kupata hayo mafunzo wamekosa hivyo wajifunze kuishi bila ajira na kutafuta ajira.
Shida walijisahau wakidhani wamepata ajira TRA kumbe wakasahu ajira zinatolea kupitia utumishi wa Umma.
Wajifunze kushukuru walipewa nafasi ya kujifunza miaka miwili inatosha kuandika kabisa wanao uzoefu.
Aliyewapa mkataba hawahitaji tena na hana hela wala posho ya kuwalipa hivyo waanze kutafuta ajira sio internship tena na wajifunze kuishi kwa kushukuru sio kulalama tuu
 
Internship nyingi serikalini na Taasisi hupeana kwa kujuana kwa kuvizia kuwa labda mwanangu ajira zikitoka atapata!!!

Sehemu nzuri kufanya internship ni private sector hata field ila kichwa kiwe kizuri

Nakumbuka Kuna mwanachuo alikuwa akisoma degree ya makerting mwaka wa pili akaenda field kampuni ya mafuta field akawatafutia tenda ya mafuta confirmed ya mwaka mzima ya ku supply ya shilingi bilioni tatu kwa mwaka huo.Alikosa hela bodi ya mikopo wazazi wakawa wanaha gaika kusomesha tenda ilipotoka confirmed kampuni ima m refund pesa zote alizojilipia chuo na costs za chuo na kumwajiri moja kwa moja Kama marketing officer wakati hata chuo hajamaliza na kumlipia mwaka wa tatu na kumpa release letter kuwa ni mfanyakazi wao aliye masomoni akisoma Hulu wanamlipa mshahara full

Ushauri wangu wanavyuo wasiogope kwenda field au internship private sector kule wanahitahitaji vichwa hasa Kama una Cha ziada Cha ku add value field au internship waweza fanikiwa zaidi private sector kuliko public sector

Kule ukiwa mzuri report uliyoandika ya field au performance yako kwenye field au internship ikiwa kubwa owners na directors na management lazima wakae kuku discuss uwe part of their business.Ila hakutaki bla bla lazima u generate serious verifiable results Lakini chukulia umeenda ofisi ya serikali kazi kupokea barua na kugonga mhuri kuwa letter received !!! Utaambulia Nini hapo? Field na Internship nyingi serikalini za kibwege kibwege tu labda udakitari na engineering ndio kidogo mwanachuo aweza ona ohh angalau

Zingine za hovyo kabisa
sina cha kuongeza zaidi ya maneno hayaa zaidi Ubarikiwe na Mungu unayemwabudu
 
Kma unajua kibarua sio cha kudumu unashindwaje kuweka akiba Mimi nilivyomaliza chuo nishafanya kibarua huko huko serikalini nilikuwa nnalipwa laki 3 na nilikuwa kila mwezi nnatumbukiza laki 1 kwenye account mpk mkataba unaisha mwaka miaka miwili nnarudi mtaani nimefungua genge duka maisha yakaenda
Motivational speaker [emoji3]
 
Hivi huwa wanapewa hata cheti kuthibitisha kuwa walifanya internship?
 
Intern sio kazi ya kudumu,anytime mwajiri ana haki ya kukuondoa
Kuna kazi zilitangazwa wambie waaply kinyume na hapo wataishia kulialia.... hiyo haikuwa ajira bali yalikuwa mafunzo tuu tena pengine ya upendeleo tuu kwani ni wengi walikuwa na hamu ya kupata hayo mafunzo wamekosa hivyo wajifunze kuishi bila ajira na kutafuta ajira.
Shida walijisahau wakidhani wamepata ajira TRA kumbe wakasahu ajira zinatolea kupitia utumishi wa Umma.
Wajifunze kushukuru walipewa nafasi ya kujifunza miaka miwili inatosha kuandika kabisa wanao uzoefu.
Aliyewapa mkataba hawahitaji tena na hana hela wala posho ya kuwalipa hivyo waanze kutafuta ajira sio internship tena na wajifunze kuishi kwa kushukuru sio kulalama tuu
Wengi wao waliamini mkataba ukiisha wataajiriwa na utakuta baadhi walibweteka kabisaa ata ajira zilizotangazwa hawakuangaika kuziomba wakiamini kwamba wao hawastaili kuingia ktk ushindani kwa sababu mwajiri atawaidhinisha tu.!!! Kiukweli hali waliyokutana nayo inaumiza kibinadam kwa kuwa imekinzana na matarajio yao, alaf ukute kitaa ushawatangazia washikaji umelamba ajira TRA tena wanakuona kabisa na Dress code za TRA..full kunyonga Tai hahahahah!!!!! .
 
Pole sana kijana kwa kushindwa hata kula bora umeamua kujisemea mwenyewe! makazini utemi mwingi na kuoneana, utapata kazi nyingine
 
Motivational speaker [emoji3]
Sio motivation spika brother maisha magumu niliyopitia niliapa sitochezea hela na ww fikiria nilikuwa nnakaa keko machungwa na nnatembea mpk posta kwa mguu mfukoni nnahela ya kurudia tu nauli nilivyopata mishe na nilikuwa nnajua kibarua hakina muda mrefu kinakufa na nilikuwa nnajua msoto wa mtaani kabla sijapata hiko kibarua nilimaliza chuo nilikaa miaka 3 bila job nilikuwa nna amka asubuhi nnatoka home nnaenda kushinda gymkhana nyuma ya ikulu sina hata mia mfukoni na kukaa home kutwa nzima noma kwahyo nilivyopata hyo job,nikajua kabisa mkataba ukiisha ntaanza tena kushinda gymkhana maana kule ndio maeneo yetu tusiokuwa na kazi unaenda kupunga upepo beach jumatatu asubuhi mtaani wanajua umeenda kibaruani kurudi jioniii km unatoka job ukiwa na malengo hata laki mbili utaweza Ku save hila wakishua mnaona km haiwezekani hamuwezi kushindia mihongo na maji.
 
Sasaivi wasomi wapo wengi wanafika hata laki Saba huko wire wamemaliza degree ,,,na wote wanataka izo interns so hao waintern ilikuwa ni lazima wamalize ili waingie wengine nao wapate uzoefu kazi zenyewe zimekuwa chache sikuizi afu kila mta anaiangalia serikali imuajili Nyooo muwe na shukrani ,,,mmjue na kujiajiri mbona sisi tupo kitaa tunapambana izo intern tunazitaka Sana tu,,,Serikali imeweka utaratibu wa kupata kazi kuomba kupitia utumishi,,,so zikitokea tuzigombanie izo Mungu atabless tu..kwa kila mtu
 
Back
Top Bottom