Mkuu, tatizo lingine kwa Sabaya ni jinsi ya kuithibitishia Mahakama kwamba aliagizwa na aliyekuwa rais wa nchi.Inavyoelekea kama maagizo yalikuwepo ni ya mdomo zaidi.Katiba na Sheria hazisemi kwamba unaweza kutumwa lolote lile na mkuu wa nchi ?
Rudi shule au mfufue mwendachatoTRA haikuwa mamlaka ya uteuzi ya Lengai Ole Sabaya
Mamlaka ya juu ilikuwa inajua na ilibariki operesheni hiyo
Waziri wa fedha wa wakati huo alikuwa anajua na kubariki zoezi zima
Gavana wa benki kuu alikuwa anafahamu na alitambua kazi nzuri kwa kumpongeza hadharani (In a televised record)
Kama hakutumwa na makusanyo alifanya na kukabidhi ama mamlaka iliyomtuma au hazina kwanini walizipokea?
Mashahidi wanatakiwa kuongezeka (waziri wa fedha na mipango wa wakati huo) ( gavana wa benki kuu), (katibu mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali), kiongozi wa wilaya au mkoa husika zoezi lilikofanyikia walikuwa na taarifa na hawakuzuia.
Hata mamlaka iliyopo sasa ilikuwa na taarifa lakini hakuna hata mmoja aliyetoa notisi ya kujiuzulu kwa kutoridhika na operesheni iliyokuwa inafanyika.
Huyo kijana Lengai Ole Sabaya aachiwe samba na Freeman Aikaeli Mbowe WAACHIWE wote maana kesi zao zimegubikwa na chuki za kisiasa
Umeshaambiwa mwenye mamlaka ya kuunda kikosi maalumu ni Kamishna Mkuu wa TRA! Sasa miongoni mwa hao uliowataja, Kamishna Mkuu wa TRA ni yupi?!TRA haikuwa mamlaka ya uteuzi ya Lengai Ole Sabaya

Kumbe huna hata uhakika makusanyo aliyapeleka wapi!! How come tena unahoji "kwanini walizipokea"? Una uhakika hizo pesa alizifikisha kwenye mamlaka husika ambako ni TRA?!Kama hakutumwa na makusanyo alifanya na kukabidhi ama mamlaka iliyomtuma au hazina kwanini walizipokea?
Mkuu, tatizo lingine kwa Sabaya ni jinsi ya kuithibitishia Mahakama kwamba aliagizwa na aliyekuwa rais wa nchi.Inavyoelekea kama maagizo yalikuwepo ni ya mdomo zaidi.
shahidi huyo amedai kuwa kwa mujibu wa sheria mwenye mamlaka ya kuunda kikosi kazi maalum ni kamishna mkuu wa TRA. Ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa mkuu wa wilaya hawezi kuwa na jukumu la kukusanya kodi.KAIMU Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Arusha, Kayobio Majogoro(41), ameieleza mahakama kwamba ofisi yake haikuwa na taarifa kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya, kuongoza kikosi kazi maalumu kwenda kukusanya kodi katika Jiji la Arusha.
Akiongozwa kutoa ushahidi wake na wakili wa Serikali mwandamizi, Ofmed Mtenga mbele ya hakimu mkazi, Patrisia Kisinda shahidi huyo amedai kuwa kwa mujibu wa sheria mwenye mamlaka ya kuunda kikosi kazi maalum ni kamishna mkuu wa TRA. Ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa mkuu wa wilaya hawezi kuwa na jukumu la kukusanya kodi.
Katika shauri hilo la uhujumu namba 27,2021, washtakiwa wengine ni Enock Mnkeni, Watson Mwahomange, John Aweyo, Sylvester Nyegu, Jackson Macha na Nathan Msuya.
Chanzo: Nipashe
Si anaachiwaNaisubiria kwa hamu sana hukumu ya hii kesi!
Ova
Hahaha we mzeeSi anaachiwa
Hizi kesi ambazo hazina mbele wala nyuma, ni sawa na ya Mbowe.Hahaha we mzee
Ngoja tuone
Ila watu watabakia hoiii
Ova
HahahaHizi kesi ambazo hazina mbele wala nyuma, ni sawa na ya Mbowe.
π€£π€£π€£π€£π€£Hahaha
Wadau humu wengi wanajua jamaa atanyolewa
πππ
Wakati picha mwishoni inajulikana
Ova
Kabisa, jamaa alikuwa anatekeleza amri+majukumuπ€£π€£π€£π€£π€£
Shida issue inawalenga wao wakubwa na kama watamhukumu watamuonea kwani alitumwa na mamlaka za uteuzi. Kaitiba inamruhusu Rais kukubadilishia majukumu mda wowote.
mashahidi walio hai wakutetea hoja yake,na hakuna akiye tayari kumtetea sabaya maana atakuwa against na rais samia,l abda polepole peke yake,sabaya anafungwa ,am sorry to say soRais Magufuli alisema hadharani na mawaziri walisema hadharani kwamba Rais anatupigia simu kutoa maelekezo usiku, msikitini, Jumapili, siku ya Iddi, muda wowote, kufanya lolote. Utamwambia nipe maandishi?
Foregn Minister Kabudi aliagizwa akashughulikie migogoro ya ardhi Ifakara, mnakumbuka ? Kabudi angemwambia JPM nipe maandishi?
Jaji wa Mahakama Kuu most likely ameshaagizwa kitu na Jaji Mkuu ambacho Jaji Mkuu amemwambia kwenye simu hiki kitu kinatoka kwa Rais. Jaji atasema nipe maandishi ?
Kwa hiyo Jaji anaelewa how the innards of the regime operates. Hawawezi kumfunga miaka 30 kwa kufanya kitu ambacho wao wenyewe wanafanya hata leo hii. Huo ndio mfumo. Watawala wetu huwa hawapindishi taratibu za mfumo hata siku moja, never!
Sabaya anapaswa kutoa a detailed and credible narrative ya maongezi yake na Rais, na kutaja majina ya liasons wa Rais ambao walikuwa kwenye mlolongo. His State House contacts and Inteligence handlers.
Sabaya anapaswa kuleta mahakamani high profile retirees, wazee waliofanya kazi na Ikulu, waseme mahakamani kwamba 90% ya maagizo ya Rais ni ya mdomo. Sabaya baba yake alikuwa presidential appointee pia ( RC ? ), hawezi kukosa hizo connections and support.
Sabaya anapaswa kumwambia wakili aombe secluded sidebar ( majadiliano ya siri mahakamani) ambapo atamtajia jaji makachero wa TISS ambao walikuwa wanampa Rais taarifa na wanampa yeye taarifa wapi pa kuvamia.
Anything less than such legal efforts is incompetent representation.
Haisemi bila kutoa tafsiri ya lolote.Katiba na Sheria hazisemi kwamba unaweza kutumwa lolote lile na mkuu wa nchi ?
Hapana mimi ninatofautiana kidogo na watu wengi humu ndaniHahaha
Wadau humu wengi wanajua jamaa atanyolewa
πππ
Wakati picha mwishoni inajulikana
Ova
Na ndiyo kosa alifanya hilo kutaka kupona kwa kuwataja wakubwa wa nchi!Yeye amesema alitumwa na mamlaka ya juu,hata Makamu wa Rais wa sasa anajua!Inabidi Dr Mpango naye aitwe kizimbani!
Kufanya, kutumwa, kukusanya, kukabidhi, kupongezwa hakuondoi ukweli kwamba mwenye mamlaka ya hayo ni TRA na kuna utaratibu maalumu ikiwa wataona Sabaya anafaa kufanya majukumu ya TRA basi angepewa kibali.TRA haikuwa mamlaka ya uteuzi ya Lengai Ole Sabaya
Mamlaka ya juu ilikuwa inajua na ilibariki operesheni hiyo
Waziri wa fedha wa wakati huo alikuwa anajua na kubariki zoezi zima
Gavana wa benki kuu alikuwa anafahamu na alitambua kazi nzuri kwa kumpongeza hadharani (In a televised record)
Kama hakutumwa na makusanyo alifanya na kukabidhi ama mamlaka iliyomtuma au hazina kwanini walizipokea?
Mashahidi wanatakiwa kuongezeka (waziri wa fedha na mipango wa wakati huo) ( gavana wa benki kuu), (katibu mkuu hazina na mlipaji mkuu wa serikali), kiongozi wa wilaya au mkoa husika zoezi lilikofanyikia walikuwa na taarifa na hawakuzuia.
Hata mamlaka iliyopo sasa ilikuwa na taarifa lakini hakuna hata mmoja aliyetoa notisi ya kujiuzulu kwa kutoridhika na operesheni iliyokuwa inafanyika.
Huyo kijana Lengai Ole Sabaya aachiwe samba na Freeman Aikaeli Mbowe WAACHIWE wote maana kesi zao zimegubikwa na chuki za kisiasa
Hakuna ushahidi wa kumhusisha marehemu labda ungekuwa wa maandishiπ€£π€£π€£π€£π€£
Shida issue inawalenga wao wakubwa na kama watamhukumu watamuonea kwani alitumwa na mamlaka za uteuzi. Kaitiba inamruhusu Rais kukubadilishia majukumu mda wowote.