TRA hawana Formula au Software ya kukadiria kodi?

It is possible kukadiria kodi. Tuliwah kupeleka proposal mama hiii kwa mkuu wa wilaya(jinala mkoa kapuni) propasal ikapigwa chini japokuwa ma IT wa walikubali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Makadirio ya kodi yapo kisheria hivyo unaweza ku set software yako sambamba na sheria ya makadirio na ikawa sawa.

Makadirio ya kodi ni kwa wale wasio na kumbukumbu za mahesabu au reliable records.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya makadirio imewekwa kwa wafanyabiashara wasio na records ambazo zinaweza kutumika kupata kodi halisi. Kama una keep records huwezi kukadiriwa.

Ndio maana nikasema tatizo ni elimu kwa wafanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnalizimisha vibiashara vya milion 4 .. 5 awe na mhasibu wa kumfanyia mahesabu hamjui hata amefikaje hapo ukiangalia frem , na store mnakuja na makodi ya kufikirika
 
Mnalizimisha vibiashara vya milion 4 .. 5 awe na mhasibu wa kumfanyia mahesabu hamjui hata amefikaje hapo ukiangalia frem , na store mnakuja na makodi ya kufikirika
Hakuna kodi ya kufikirika. Ingia kwenye TRA website lipo jedwali la makadirio. Swala la kuwa na Mhasibu ni muhimu biashara inavyokuwa kubwa. Kasome uone mipaka ya makadirio ili ujue wakati gani utahitaji kuwa na kumbukumbu sahihi za mahesabu ambayo ndio huleta umuhimu wa Mhasibu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Huwezi ku set kujua Pohamba kesho atakuja kununua nini kwa kiasi gani zaid ya kuweka EFD Machine kwa ajili ya kutoa risiti pindi akija kununua

Huwezi kujua kesho Umeme utakatika itabidi ninunue diesel ya kuendesha Generator

Huwezi kujua Gharama Na Mapato ya Biashara kabla ya kufanya Biashara husika unaweza kupata budgeted expenditure Na Budgeted sales ambavyo vyote sio vitu sahihi vya kukokotolea kodi
 
Nimeeleza Hapo Kuwa Msingi wa kodi sio tu kukusanya Mapato Pia Ni tool ya ku incourage au ku discourage kitu

Mfano Wa Hilo ulilosema kodi Hapo inatozwa ku discourage Matumizi ya aina hiyo
Lakini hata ukinunu gari jipya bado ushuru wake unadiscourage sana, ndio kusema serikali yetu haitaki tumiliki magari mazuri?? Au tunatengeneza ya kwetu ili wajapani wasituharibie soko, ubavu huo tunao??
 
Wao TRA hawahesabu umepata faida au hasara kiasi gani, wao wanaangali mauzo yako kwa muda fulaji let say kwa mwezi au.kwa.mwaka. The wanakata chao.
 
Gari unalonunua kutoka nje unapata invoice kutoka kwa muuzaji ambaye unaweza ku collude nae na kuweka value ndogo ili ulipe kodi kidogo. Ndio maana nchi nyingi zimeweka standards ili kupunguza ukwepaji kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
TRA wana Motor vehicle valuaton calculator kwa kweli kila ninapoanza mchakato wa kununu chombo cha usafiri huwa nachoka kabisa. Lakini sina jinsi. Ule mkato unaumiza sana, mimi si mtaalam wa mambo ya Kodi naona kama nanyonywa.
 
Wao TRA hawahesabu umepata faida au hasara kiasi gani, wao wanaangali mauzo yako kwa muda fulaji let say kwa mwezi au.kwa.mwaka. The wanakata chao.
Makadirio huwa yanafanywa inapokuwa huna Mfumo Mzuri wa kuweka records zako na kuweza kupata Actual Profit

Hapo ndipo Wahindi wa mjini wanapowazidi Akili

Muhindi Kariakoo Hata auze Kachori anajitahidi awe Na EFD Receipts unadhan kwa sababu gani?

Anakuwa Ana maintain records zake vyema kuondoa Tatizo la kukadiriwa kodi kwa Kuwa ana Taarifa zote Lakin akija kwako Mswahili huna chochote ulicho maintain ambacho no reliable unategemea nini?
 
Asante mkuu, kwa elimu hii. kw hiyo nikiwa na mahesabu watakata kodi kutoka kwenye profit sio sales??
 
Asante mkuu, kwa elimu hii. kw hiyo nikiwa na mahesabu watakata kodi kutoka kwenye profit sio sales??

Huyu jamaa anaongea vitu gani huyu watu wamefunga biashara zao kwa makadirio ya hivyo hivyo , uwe na mwahasibu , usiwe naye kodi iko hivyo hivyo yaana kuna biashara flana mpaka wakaziweka flat rate flani kuwa hiyo biashara lazima mtu alipe kiasi flani
 
Kwa kutumia Microsoft excel 'if function' unaweza kadiria Kodi yako ya biashara kulingana na faida na kufanya accounting zingine zote za VAT

Sasa ukienda huko kwenye accounting software kama SAGE wala hakuna kutumia maarifa tena kila kitu inakufanyia.
 
Matatizo ninayo yaona mimi ni mawili wafanyabiashara awaweki risiti na rikodi zao za mauzo; hapo ndipo TRA inapokuja na makadirio yao otherwise mtu anawezaje kukukadiria kodi yako wakati hayo mambo percent zake ni za kisheria.

Kinachoitajika ni small accounting firms Tanzania sidhani kama zipo ambazo zinawalenga wafanyabiashara wadogo wasiotaka kuajiri full time accountant kuepuka gharama za mshahara. Ili kuwafanyia hesabu zao kila quarter na kuwasaidia kulipa kodi sahihi provided risiti zao za aina zote wanatunza na business bank statement zao wanatoa.
 
Shida inaanzia pale mfanyabiashara anapokua hataki kukutajia thamani halisi ya mzigo alionao invoice imechakachuliwa pia..hapo ndo tatizo lilipo
 


Hoja Ni software ya ku pre determine corporate Tax, Hakuna hiyo soft ware wala haitokuja kupatikana labda Kama hujui maana ya corporate tax inavyopatikana

Hesabu za (If function) base yake Ni Makadirio wakati corporate tax base yake Ni uhalisia
 

Hata mimi nashangaa. TRA wanabambikia watu kodi, uweke rekodi au usiweke.
 
If function ni ka kitu kadogo kwenye ulimwengu wa software. Kuna function heavy kuliko hizo. Kuna predective functions..kuna function zinafanya hesabu heavy..
It all about ku feed right data to computer then yenyewe intafanya mahesabu.
Hoja Ni software ya ku pre determine corporate Tax, Hakuna hiyo soft ware wala haitokuja kupatikana labda Kama hujui maana ya corporate tax inavyopatikana

Hesabu za (If function) base yake Ni Makadirio wakati corporate tax base yake Ni uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja Ni software ya ku pre determine corporate Tax, Hakuna hiyo soft ware wala haitokuja kupatikana labda Kama hujui maana ya corporate tax inavyopatikana

Hesabu za (If function) base yake Ni Makadirio wakati corporate tax base yake Ni uhalisia
Labda tunapishana kwenye kuelewa hoja ya mleta mada na uhalisia wa kodi inavyopatikana, kazi ya taxman (TRA) na namna gani utakadiriwa kodi.

TRA watakavyodai kodi (Corporate tax)
Hakuna kitu special hapo kila mtu anajua corporate tax utozwa baada ya kuangalia faida na hakuna anaebisha ulipwa at the end of accounting period na uwezi kufanya estimate kwa sababu ni evidence based, unalipa kutokana na % zilizowekwa kwa mujibu wa sheria, and obviously kujua kiasi gani biashara mara nyingi zitaoenyesha income statement yao ya kipindi husika cha kodi. If the taxman is happy that is the end of you.

Tatizo linakuja taxman sio mjinga anajua average income ya kila biashara kutokana na nature of the industry and size of the business na ndio umuhimu wa kuweka risiti zako unapokuja (faida yako ikiwa chini sana kushinda industry average) jamaa watataka sasa kupekua rikodi zako zote za manunuzi, mauzo na gharama za kuendesha biashara kwa kipindi husika cha kodi pamoja na bank account yako ya biashara (wafanye bank reconciliation).

Vitu kama avi balance, risiti zingine hazipo au an accounted for hapo sasa ndio utafanyiwa estimate za kodi za ajabu na huna wakumluamu zaidi yako mwenyewe (god knows what formula they will use).

Estimate za kodi za biashara
Kwenye biashara mara nyingi watu ununua na kuuza kwa credit dunia ya leo kupitia Microsoft excel unachofanya ni kutengeza data page ndani ya work book kuitumia kama chanzo cha hesabu zako na unaweza kutengeneza sales account, purchases accounts, expenses account.

Iwapo ume set set formula zako sahihi mpaka za income adjustment kwenye default payment ndani ya kipindi kimoja unachofanya ni kufuta details za kipindi kichopita lakini formula zinabaki ndani ya workbook. Utakapoanza upya as the business trades kila unapoweka information excel inakupigia hesabu kiasi gani cha kodi unadaiwa au unadai kama ni VAT (at each day), mpaka siku unfaunga hesabu za kipindi.

Hayo ndio makadirio niliyokuwa na maanisha and obviously if an accountant reads such information thats how he would make sense of the point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…