Hoja Ni software ya ku pre determine corporate Tax, Hakuna hiyo soft ware wala haitokuja kupatikana labda Kama hujui maana ya corporate tax inavyopatikana
Hesabu za (If function) base yake Ni Makadirio wakati corporate tax base yake Ni uhalisia
Labda tunapishana kwenye kuelewa hoja ya mleta mada na uhalisia wa kodi inavyopatikana, kazi ya taxman (TRA) na namna gani utakadiriwa kodi.
TRA watakavyodai kodi (Corporate tax)
Hakuna kitu special hapo kila mtu anajua corporate tax utozwa baada ya kuangalia faida na hakuna anaebisha ulipwa at the end of accounting period na uwezi kufanya estimate kwa sababu ni evidence based, unalipa kutokana na % zilizowekwa kwa mujibu wa sheria, and obviously kujua kiasi gani biashara mara nyingi zitaoenyesha income statement yao ya kipindi husika cha kodi. If the taxman is happy that is the end of you.
Tatizo linakuja taxman sio mjinga anajua average income ya kila biashara kutokana na nature of the industry and size of the business na ndio umuhimu wa kuweka risiti zako unapokuja (faida yako ikiwa chini sana kushinda industry average) jamaa watataka sasa kupekua rikodi zako zote za manunuzi, mauzo na gharama za kuendesha biashara kwa kipindi husika cha kodi pamoja na bank account yako ya biashara (wafanye bank reconciliation).
Vitu kama avi balance, risiti zingine hazipo au an accounted for hapo sasa ndio utafanyiwa estimate za kodi za ajabu na huna wakumluamu zaidi yako mwenyewe (god knows what formula they will use).
Estimate za kodi za biashara
Kwenye biashara mara nyingi watu ununua na kuuza kwa credit dunia ya leo kupitia Microsoft excel unachofanya ni kutengeza data page ndani ya work book kuitumia kama chanzo cha hesabu zako na unaweza kutengeneza sales account, purchases accounts, expenses account.
Iwapo ume set set formula zako sahihi mpaka za income adjustment kwenye default payment ndani ya kipindi kimoja unachofanya ni kufuta details za kipindi kichopita lakini formula zinabaki ndani ya workbook. Utakapoanza upya as the business trades kila unapoweka information excel inakupigia hesabu kiasi gani cha kodi unadaiwa au unadai kama ni VAT (at each day), mpaka siku unfaunga hesabu za kipindi.
Hayo ndio makadirio niliyokuwa na maanisha and obviously if an accountant reads such information thats how he would make sense of the point.