TRA Wana vuna wasichopanda.Gari miiioni mbili nje ya nchi Kodi milioni nne mnataka tusiwr na magari? TRA Tanzania
Kama bidhaa ikilipiwa VAT airport au bandarini inakuwaje ukiinunua kariakoo mteja analipia VAT tena?
Bidhaa mnamaanisha nini? Mimi nimenunua Iphone 1 ya kutumia binafsi nyie mnaiiita bidhaa?
Sababu Ni sehemu ya kutoa taatifa na elimu nafkiri mngetolea maelezo hzo Kodi 3 na mifano yake ili kupunguza sintofahamu zisizo za lazima au kufanya watu kuuliza Mara mbili mbili.
Tulia ww pimbi lipa KodiTRA MATAPELI MNAFILISI WATU ACHENI UMA GUFULI WENU HAMNA RUHUSA KUTEKA ACCOUNT ZA WATU KAMA KUNA SHIDA WAITENI WAHUSIKA SIO HUU MTINDO WENU MLIUACHA ILA MMEANZA KUURUDIA TENA NASEMA TENA KWA SAUT KUBWA ACHENI WIZIII
Kibaya ni kutoza kodi progressivelyHakuna shida ila muwe mnaweka na sheria husika hii ni kutokana na finance act ya mwaka gani, ili kila mtu ajue uwezo wake wa kutumia huko kutokana na kodi za Tanzania, atunze receipts na adai kurudishiwa hizo kodi airport huko halipo kwa uelewa akija Tanzania atadaiwa.
Kwanini nauliza definition ya kuingiza ina mkanganyika. Vipi abiria wanaotoka kutembea nje ya nchi hawaruhusiwi ata kujinunulia ki begi kimoja cha nguo surely inatakiwa kuwe na amount ya vitu mtu ambavyo anaruhusiwa kuingia navyo for personal use, vikizidi ndio utata.
Siamini kama sheria inaweza kuwa general kiasi hiki busara ni kuweka hiyo finance act wote tuone, lazima kuwe na amount fulani inaruhusiwa especially kwenye bidhaa za bei ndogo and for personal use. Ipo hivyo duniani kote kuna leeway ukizidisha kile wanachodhani for personal use ndio kodi na sidhani kama Tanzania itakuwa kuna tofauti.
Ukiingia na mikufu mikubwa ume nunua sijui dola elfu ngapi huko hapo sawa kodi ata kwa mkufu mmoja.
But then na huyo mtu anaingia na vitu vya thamani bila ya kudai kurudishiwa VAT airport huko alipotoka ni ujinga wake huku akijua akifika Tanzania atadaiwa.
Lakini kibegi cha nguo kukikagua airport kudai kodi mtu katoka holiday, dah huo sasa uonevu.
Likewise na TRA iwe tayari kuwarudishia watu VAT airport wanapotoka nje ya nchi kwa bidhaa walizonunua Tanzania; mambo kama hayo huwa yana pande mbili.
Hiko hiko ndio mdudu gani?[emoji23] nimesha wachunguza sana yani mna kasoro moja.
mpo lazi kutugonga kodi kubwa DHL sijui ni kampuni binafsi ila shirika la posta unachajiwa 2500 alafu kitu ni hiko hiko
Umejitokeza kama kachizi Fulani hivi sijakuelewa Bado niwapi nimeandika sitaki kulipa kondi wewe kigagulaLipa kodi wacha ngonjera. Kama huwezi kulipa Kodi njoo nikulipie. Umesikia toto zuri
Ana lilia ugali wake😀😀😀😀😀😀 ila kazi zingine za kingese sanaMaana naona mama levo sjui baba levo analialia naye kwa niaba ya boss wake
Ova
Wakikujibu nishtue mkuuKongole TRA, karibuni JF.
Hapo kwenye ushuru wa forodha.
Japan I.S.T ya USD 1500, inakuwaje ifike bandarini Kwa ml 15?
Yaani hamjawekeza kwenye biashara hiyo halafu mnaibia watu Karibia mara 10 ya thamani ya bidhaa!!!!
Ndio maana nimetaka kujua hizo kodi ni kwa mujibu wa finance act ya mwaka gani.Kibaya ni kutoza kodi progressively
1. thamani ya bidhaa x kiwango cha import duty= A
2. A X sijui kodi gani= B
3. B X 18 VAT= C
c analipishwa mteja + gharama za bandarini sijui wapi huko
Ndiyo maana kodi inakuwa 200 ya thamani ya bidhaa
nadhani bunge lijalo tupiganie iwe hivi
1. Thamani ya bidhaa x import tudy= A
2. Thamani ya bidhaa x hiyo kodi nyingine=B
3. Thamani ya bidhaa x 18 VAT= C
Muagiza bidhaa alipe A+B+ C PLUS GHARAMA ZA BADARI NK
Tukienda ofisi za TRA tunauliza na kujibiwa.Wakikujibu nishtue mkuu
1.Mkuu naunga mkono hoja yako.Ndio maana nimetoka kujua hizo kodi ni kwa mujibu wa finance bill gani.
Maana kuna bidhaa kama taulo za kike nadhani zilitolewa VAT kabisa kuna wakati.
Sasa haya maelezo yao huwa ya jumla jumla na sio wote tuna pay attention waziri anaposoma budget au ata kuisoma wenyewe.
So kwa mazingira hayo hizi sheria hawa watu wanazitumia vibaya wakati mwingine na budget yenyewe unabadilika kila mwaka ni vigumu kwa raia wakawaida kuwa updated na mambo yanayomgusa moja moja kwenye kila budget.
Sasa inakuwa rahisi kujua hayo anayosema yanatokana na finance bill ya mwaka gani; ili tujue ni product zipi zina kodi zote. Maana pana wakati kuna finance bill ilikuwa taulo za kike hazina VAT ina maana ataukiiingiza mabegi kumi labda import duty lakini sio VAT. So nina uhakika sheria aiwezi kuwa inataka mpaka kibegi kimoja cha nguo mtu alichonunua holiday alipie kodi.
Ignorance of the law inawafanya vulnerable kusumbuliwa airport at the mercy of corrupted TRA officials sometime.
HUU NI WIZI