TRA inakumbusha kuwa unapoagiza bidhaa nchini kupitia uwanja wa ndege, mipakani, Bandarini au njia ya Posta, unapaswa kulipa kodi zifuatazo

TRA inakumbusha kuwa unapoagiza bidhaa nchini kupitia uwanja wa ndege, mipakani, Bandarini au njia ya Posta, unapaswa kulipa kodi zifuatazo

Gari miiioni mbili nje ya nchi Kodi milioni nne mnataka tusiwr na magari? TRA Tanzania
TRA Wana vuna wasichopanda.

Wanahusika Kwa kiasi kikubwa na Umaskini wa ndugu zangu Watanzania .

Tunaenda kuifumua TRA Ili ilete TIJA na ufanisi Kwa Uchumi kupitia KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA.

Aamen
 
Kiwandani kodi Tena VAT 18%>>> supply naye VAT 18%>>>Muuzaji naye VAT 18% hizi zote zinamkuta mnunuaji yani 18x 3=54%.

hapa hata mfanyabiashara wa mwisho na mteja watakwepa kodi angalieni ili.

Pili kodi zenu zipo kisifa sana kama kufurahisha watawala.

Dunia imebadilika muangalie na TAX ya kitu chenyewe .yani na nunua mashine ya kusaidia kuongeza chakula unanipa maushuru utazani nimenunua gari.
 
Sababu Ni sehemu ya kutoa taatifa na elimu nafkiri mngetolea maelezo hzo Kodi 3 na mifano yake ili kupunguza sintofahamu zisizo za lazima au kufanya watu kuuliza Mara mbili mbili.

Nasema haya sababu Kuna wimbi Kubwa la watanzania na watu waishio Tanzania kutaka kununua bidhaa nje na kuziingiza hapa.
 
Hakuna shida ila muwe mnaweka na sheria husika hii ni kutokana na finance act ya mwaka gani, ili kila mtu ajue uwezo wake wa kutumia huko kutokana na kodi za Tanzania, atunze receipts na adai kurudishiwa hizo kodi airport huko halipo kwa uelewa akija Tanzania atadaiwa.

Kwanini nauliza definition ya kuingiza ina mkanganyika. Vipi abiria wanaotoka kutembea nje ya nchi hawaruhusiwi ata kujinunulia ki begi kimoja cha nguo surely inatakiwa kuwe na amount ya vitu mtu ambavyo anaruhusiwa kuingia navyo for personal use, vikizidi ndio utata.

Siamini kama sheria inaweza kuwa general kiasi hiki busara ni kuweka hiyo finance act wote tuone, lazima kuwe na amount fulani inaruhusiwa especially kwenye bidhaa za bei ndogo and for personal use. Ipo hivyo duniani kote kuna leeway ukizidisha kile wanachodhani for personal use ndio kodi na sidhani kama Tanzania itakuwa kuna tofauti.

Ukiingia na mikufu mikubwa ume nunua sijui dola elfu ngapi huko hapo sawa kodi ata kwa mkufu mmoja.

But then na huyo mtu anaingia na vitu vya thamani bila ya kudai kurudishiwa VAT airport huko alipotoka ni ujinga wake huku akijua akifika Tanzania atadaiwa.

Lakini kibegi cha nguo kukikagua airport kudai kodi mtu katoka holiday, dah huo sasa uonevu.

Likewise na TRA iwe tayari kuwarudishia watu VAT airport wanapotoka nje ya nchi kwa bidhaa walizonunua Tanzania; mambo kama hayo huwa yana pande mbili.
Kibaya ni kutoza kodi progressively
1. thamani ya bidhaa x kiwango cha import duty= A
2. A X sijui kodi gani= B
3. B X 18 VAT= C

c analipishwa mteja + gharama za bandarini sijui wapi huko
Ndiyo maana kodi inakuwa 200 ya thamani ya bidhaa
nadhani bunge lijalo tupiganie iwe hivi

1. Thamani ya bidhaa x import tudy= A
2. Thamani ya bidhaa x hiyo kodi nyingine=B
3. Thamani ya bidhaa x 18 VAT= C
Muagiza bidhaa alipe A+B+ C PLUS GHARAMA ZA BADARI NK
 
[emoji23] nimesha wachunguza sana yani mna kasoro moja.
mpo lazi kutugonga kodi kubwa DHL sijui ni kampuni binafsi ila shirika la posta unachajiwa 2500 alafu kitu ni hiko hiko
Hiko hiko ndio mdudu gani?
 
Kongole TRA, karibuni JF.

Hapo kwenye ushuru wa forodha.

Japan I.S.T ya USD 1500, inakuwaje ifike bandarini Kwa ml 15?

Yaani hamjawekeza kwenye biashara hiyo halafu mnaibia watu Karibia mara 10 ya thamani ya bidhaa!!!!
Wakikujibu nishtue mkuu
 
Kibaya ni kutoza kodi progressively
1. thamani ya bidhaa x kiwango cha import duty= A
2. A X sijui kodi gani= B
3. B X 18 VAT= C

c analipishwa mteja + gharama za bandarini sijui wapi huko
Ndiyo maana kodi inakuwa 200 ya thamani ya bidhaa
nadhani bunge lijalo tupiganie iwe hivi

1. Thamani ya bidhaa x import tudy= A
2. Thamani ya bidhaa x hiyo kodi nyingine=B
3. Thamani ya bidhaa x 18 VAT= C
Muagiza bidhaa alipe A+B+ C PLUS GHARAMA ZA BADARI NK
Ndio maana nimetaka kujua hizo kodi ni kwa mujibu wa finance act ya mwaka gani.

Maana kuna bidhaa kama taulo za kike nadhani zilitolewa VAT kabisa kuna wakati.

Sasa haya maelezo yao huwa ya jumla jumla na sio wote tuna pay attention waziri anaposoma budget au ata kuisoma wenyewe baadae.

So kwa mazingira hayo hizi sheria hawa watu wanazitumia vibaya wakati mwingine na budget yenyewe inabadilika kila mwaka ni vigumu kwa raia wakawaida kuwa updated na mambo yanayomgusa moja moja kwenye kila budget.

Matokeo yake inakuwa sio rahisi kujua hayo anayosema yanatokana na finance act ya mwaka gani; ili tujue ni product zipi zina kodi zote tatu anazo sema.

Maana pana wakati kuna finance bill ilikuwa taulo za kike hazina VAT ina maana ataukiiingiza mabegi kumi labda utalipia import duty lakini sio VAT. So nina uhakika sheria aiwezi kuwa inataka mpaka kibegi kimoja cha nguo mtu alichonunua holiday alipie kodi.

Ignorance of the law inawafanya watu wanakuwa vulnerable kusumbuliwa airport at the mercy of few corrupted TRA officials sometimes.
 
TRA ni mungu watu ukijifanya unahoji utajua ushuzi unatoka kwanza kabla ya kujisaidia.
 
Ndio maana nimetoka kujua hizo kodi ni kwa mujibu wa finance bill gani.

Maana kuna bidhaa kama taulo za kike nadhani zilitolewa VAT kabisa kuna wakati.

Sasa haya maelezo yao huwa ya jumla jumla na sio wote tuna pay attention waziri anaposoma budget au ata kuisoma wenyewe.

So kwa mazingira hayo hizi sheria hawa watu wanazitumia vibaya wakati mwingine na budget yenyewe unabadilika kila mwaka ni vigumu kwa raia wakawaida kuwa updated na mambo yanayomgusa moja moja kwenye kila budget.

Sasa inakuwa rahisi kujua hayo anayosema yanatokana na finance bill ya mwaka gani; ili tujue ni product zipi zina kodi zote. Maana pana wakati kuna finance bill ilikuwa taulo za kike hazina VAT ina maana ataukiiingiza mabegi kumi labda import duty lakini sio VAT. So nina uhakika sheria aiwezi kuwa inataka mpaka kibegi kimoja cha nguo mtu alichonunua holiday alipie kodi.

Ignorance of the law inawafanya vulnerable kusumbuliwa airport at the mercy of corrupted TRA officials sometime.
1.Mkuu naunga mkono hoja yako.
2. Sina hakika kwa kizazi kilegeza suruali kilichoko TRA sasa hivi kama kinauelewa na weledi wa kodi na jinsi ya kumueleza mtu aelewe
3. Majibu ya jumla kama waliyotoa ni kielelezo tosha cha kiburi na ujinga
 
HUU NI WIZI

How is VAT and duty calculated on imports?


To calculate the VAT on your shipment, add up the goods value, freight costs, insurance, import duty and any additional costs. Then multiply the total by the destination country's applicable VAT rate. The result is the amount of VAT you'll need to pay customs for your shipment.
 
Back
Top Bottom