TRA inakumbusha kuwa unapoagiza bidhaa nchini kupitia uwanja wa ndege, mipakani, Bandarini au njia ya Posta, unapaswa kulipa kodi zifuatazo

TRA inakumbusha kuwa unapoagiza bidhaa nchini kupitia uwanja wa ndege, mipakani, Bandarini au njia ya Posta, unapaswa kulipa kodi zifuatazo

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
IMG-20230101-WA0040.jpg
 
Kodi 3 kwa wakati mmoja!! Mtatuua aisee.

Halafu mtandao wenu unasumbua huku niliko. Nimeenda kwenye ofisi yenu kwa aijili ya tax clearance; naambiwa hiyo huduma inasumbua. Na mbaya zaidi natakiwa niipate haraka iwezekanavyo
 
Kongole TRA, karibuni JF.

Hapo kwenye ushuru wa forodha.

Japan I.S.T ya USD 1500, inakuwaje ifike bandarini Kwa ml 15?

Yaani hamjawekeza kwenye biashara hiyo halafu mnaibia watu Karibia mara 10 ya thamani ya bidhaa!!!!
 
Chawa Analalama Baada Ya Maji Ya Moto Kumwagwa Kwenye Maficho Yao
Kheri yao hao chawa maji ya moto yamewafanya watoke kuliko wewe KUPE maana ungebaki hapo na kufia hapo.
 
TRA MATAPELI MNAFILISI WATU ACHENI UMA GUFULI WENU HAMNA RUHUSA KUTEKA ACCOUNT ZA WATU KAMA KUNA SHIDA WAITENI WAHUSIKA SIO HUU MTINDO WENU MLIUACHA ILA MMEANZA KUURUDIA TENA NASEMA TENA KWA SAUT KUBWA ACHENI WIZIII
 
Hakuna shida ila muwe mnaweka na sheria husika hii ni kutokana na finance act ya mwaka gani, ili kila mtu ajue uwezo wake wa kutumia huko kutokana na kodi za Tanzania, atunze receipts na adai kurudishiwa hizo kodi airport huko halipo kwa uelewa akija Tanzania atadaiwa.

Kwanini nauliza definition ya kuingiza ina mkanganyika. Vipi abiria wanaotoka kutembea nje ya nchi hawaruhusiwi ata kujinunulia ki begi kimoja cha nguo surely inatakiwa kuwe na amount ya vitu mtu ambavyo anaruhusiwa kuingia navyo for personal use, vikizidi ndio utata.

Siamini kama sheria inaweza kuwa general kiasi hiki busara ni kuweka hiyo finance act wote tuone, lazima kuwe na amount fulani inaruhusiwa especially kwenye bidhaa za bei ndogo and for personal use. Ipo hivyo duniani kote kuna leeway ukizidisha kile wanachodhani for personal use ndio kodi na sidhani kama Tanzania itakuwa kuna tofauti.

Ukiingia na mikufu mikubwa ume nunua sijui dola elfu ngapi huko hapo sawa kodi ata kwa mkufu mmoja.

But then na huyo mtu anaingia na vitu vya thamani bila ya kudai kurudishiwa VAT airport huko alipotoka ni ujinga wake huku akijua akifika Tanzania atadaiwa.

Lakini kibegi cha nguo kukikagua airport kudai kodi mtu katoka holiday, dah huo sasa uonevu.

Likewise na TRA iwe tayari kuwarudishia watu VAT airport wanapotoka nje ya nchi kwa bidhaa walizonunua Tanzania kama sio wakazi wa moja kwa moja. Mambo kama hayo huwa yana pande mbili.
 
uwepo wenu hapa unaweza saidia kujibiwa kwa baadhi ya hoja na malalamiko ya walipa kodi ambayo kwa muda mrefu hayakuwahi kupatiwa majibu na ufumbuzi wa kuridhisha.
 
Back
Top Bottom