TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili pesa zetu mkazile vizuri au sio?
Ngugu yangu kodi zimetofautishwa ni sawa huwezi sema anayekula wali maharage alipe sawa na anayekula wali kuku. SDl nijuavyo ni kodi ambayo mtu mwenye wafanyakazi kumi na zaidi ndiye anayelipa sasa kama huna wafanyakazi au unao chini ya hapo huwezi lipa.Ila TRA Tanzania mngejitahidi kupunguza mlolongo wa kodi, kuna kodi nyingine ni kichekesho. Kila kitu kingekua covered na Kodi moja, sasa Unatoa Huduma moja unakutana na utitiri WA Kodi! Eti kuna kodi inaitwa SDL, WHT, VAT, sijui na nini tena......!
Huu nao ni uchawiNyie TRA mlikuja ofisini kwangu mkanidai withholding tax, nikawaambia baba mwenye fremu yule pale kamdaini mkanijibu bunge ndio limetunga sheria mnidai mimi kwahiyo nimwambie mbunge wangu akabadilishe sijui sheria au kanuni, mnatutesa wafanyabiashara
hawajielewiMwisho, zile meseji zenu za reminder, tafuteni MTU professional aweze kuwatengenezea Meseji Ambazo zitaenda kwa mteja, meseji zenu zimejaa vitisho na ubabe, kitu ambacho ni ujinga na kujenga mazingira ya rushwa! Asante