Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inawakarabisha wananchi wote kutembelea banda letu katika uzinduzi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2024 utakaofanyika katika viwanja vya Chuo kikuu cha Ushirika wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro tarehe 2/4/2024.
Aidha TRA itaendelea kutoa elimu ya kodi katika maeneo yote ambapo mwenge wa Uhuru utalala.
Napenda kufahamu kuhusu kodi ya capital gain ukinunua kiwanja toka kwa mtu mwingine ni wakati gani asilimia tatu ya thamani ya ongezeko inatumika na ni wakati gani asilimia kumi inatumika?,naomba kufahamishwa kwenye hili.