S.M.P2503 Unajichanganya sana! Soma TRA Act ya 1996 ujue majukumu ya TRA ni yapi. TRA ilianza kukusanya 25b wakati wa Marehemu Sanare na mpaka sasa hivi inakusanya 1trl, hiyo ni hatua na sisemi kuwa inatosha isipokuwa iko kwenye right track. Issue ya kodi kwa mining companies na Mobile phone companies ni swala la sera za serikali. Mjukukumu ya TRA in assess, collect, account and ADVISE THE GOVERNMENT ON FISCAL POLICY.
Kuhusu Kitillya kuwa ni wa kizazi kisichojuwa computer, I can vouch 100% he is techno savvy very and computer literate halafu anajua kodi labda una zumgumzia Kitillya mwingine. Kuhusu Afande Shimbo ni rumours tu ambazo sidhani ni vema tukaziendeleza humu jamvini na kuzipa uzito usiostahili.
Nilikushauri uulize kitu kabla ya kucomment, nadhani nilikuwa sahihi kwa kuwa contribution yako ya pili imedhihirisha kwamba una uelewa mdogo kuhusu haya Mashirika. Hivi unaweza kushauri kwamba TRA wafanye investments kama NSSF?