TRA inpoongozwa kwa style ya ''Harlem Shake''

George Smiley

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
471
Reaction score
266
Inawezekana vipi wao waseme wanakusanya kodi, DAHACO nao wadai wanakusanya kodi na hakuna mwenye kujua viwango vya kodi na ukitazama viwango wanavyotoza na vilivyowekwa kwenye website yao ni vitu 2 tofauti

Kitilya acha kuongoza hii idara kwa style ya Harlem shake. for once hebu kuwa serious na watu wako.
 
Hiyo ''Harlem Shake'' yenyewe anaijua au ni kumouongeze maumivu tu kichwani? Anza kumwambia cha kufanya kwanza kabla ya kumuunganishia hayo ya ''Harlem Shake'' vinginevyo utampotezea dira tu kichwani ukizingatia mtu mwenyewe ni yule wa kizazi kinachoogopa kushika au kuwasha computer mpaka wapewe computer courze namna ya kuwasha na kuzima... ukimchanganyia na youtube hapo sasa ndio umeua kabisa..

Anyway all in all hawa jamaaa waliokabidhiwa jukumu la kuongeza mapato ya serikali hawako makini sana na kazi zao.. sio wabunifu, hawana uchungu na walipa kodi wachache ili kuongeza wigo wa kodi na wala hawapendi kusikia mawazo mbadala.. wanataka tu spoon feeding.. ukiwauliza ni kwa nini hizo website zao haziko up to date utaambiwa webmaster anaifanyia kazi... ukiwauliza vipi mapata yenu ni kiasi gani utaambia software bado inakokotoa...
sijiu nchi hii itaamuka lini na kuwa na watu makini na kazi zao...
 
Yours are lies of the highest degree. Humjui Kitillya, huijui TRA wala hujui mfumo wa kodi Tanzania. Humu jamvini kuna thread inayohabarisha kuwa TRA wanakusanya 1 trillion tsh. kwa mwezi. Sometimes its better kuuliza kuliko kujifanya unajua saaana.
 
Yours are lies of the highest degree: Ni wapi nimedanganya...? Nilikuwa nazungumzia tu mambo ya ''Harlem Shake'' .. sasa hebu tuhabarishe huyo Kitillya kayajulia wapi hayo? kwa maana nyingine.. mambo ya ''Harlem Shake'' yana-uhusiano wa moja kwa moja na ukusanyi wa kodi.. hebu wewe mtetezi wa kitilya tuambie TRA wanakusanya kodi Tsh Ngapi toka kwenye milio ya simu (Ring tones) za muziki wa kizazi kipya pekee?

Humjui Kitillya, huijui TRA wala hujui mfumo wa kodi Tanzania: Una uhakika na hilo la mimi kutomjua Kitillya, TRA au mfumo wa kodi wa Tanzania au wewe ndio muongo? Ni mambo ya ku-copy na ku-paste tu ndo maana unazumguzia mfumo wa kodi.. tuambie basi huo mfumo ume-kopiwa wapi maana haurekebishwi wala kunyambulihswa ili kukuza tax base kuliko kuwaumiza walewale walipa kodi wa kila siku Tanzania....Na kutomjua Kitillya au la labda unataka nikupe personal profile yake hapa jamvini au una maanisha nini kutomjua? kwa kuwa wewe unamjua vizuri najua utatupa habari zaidi maana umesema simjui... kuhusu TRA ... wewe demulikuy hebu acha bwana mambo mengine si vema kuyasema kama huna uhakika nayo...malumbano ya nini? sote hapa jamvini tunataka kuona fedha ya kutosha inakusanywa na TRA na nchi inasonga mbele bila ya kuwa ombaomba au Matonya.. au unafikiri omba omba na kuhemea ulaya, uarabuni na amerika ni jambo la maana sana? hiyo Tsh 1 Trillion ndio umeona ni ndefu sana wakati akina General shimbo ililipotiwa humu jamvini kwamba wana zaidi ya 3 Trillion ... na sijui hao TRA wanazii-invest wapi hizo pesa .. sijui wao ni kukusanya tu bila kufikiria investment.. inabidi wajifunze toka NSSF ili tupate fedha zaidi kuliko kuwakamua tu walipa kodi bila huruma...

Humu jamvini kuna thread inayohabarisha kuwa TRA wanakusanya 1 trillion tsh. kwa mwezi: Yaani hayo ndio makusanyo ya maana au ni kwa walipa kodi walewale na vyanzo vile vile...? ni bora wachuke ushauri wa ule uzi ulioanzishwa humu kuhusu namna ya ku-raise finance kwenye masuala ya elimu basi... isitoshe sijapinga kwamba hayo ndio makusanyo ya mwezi maana sina uhakika nayo ...nilichokuwa najaribu kujadili ni website zao ambazo haziko up to date na uhalisia wa mambo...

Sometimes its better kuuliza kuliko kujifanya unajua saaana: Vipi mwanajamvi.. comments zangu zinaonesha zime-kutaachi sana au vipi... jifunze kuchangia bila jazba... humu hapa jamvini hoja hujibiwa kwa hoja na si vinginevyo... hebu nioneshe ni wapi niliposema kwamba najua sana na sitaki kuuliza.. come down dear...
 
we kilaza kweli! unajua kazi ya TRA ni nini? acha kuongea siasa za m4c kwenye mambo ya utendaji eti unafananisha NSSF na TRA! act iliyoanzisha TRA inaeleza kazi kubwa ya mamlaka ni kukusanya mapato ya serikali kuu! sio kuwekeza uilikupata faida
kuhusu utendaji wa TRA sina shaka nalo maana ni taasisi pekee TANZANIA tena ya serikali kupata bereau veritas certification ya ubora duniani! UKAS quality management system!GEMBA KAIZEN SYSTEM! tena imekuwa mfano mkubwa katika nchi za kiafrika kwenye makusanyo amlost 1 billion US $
Kuhusu mtendaji mkuu wa hiyo taasisi mimi namkubali asilimia zote kwa ni wazalendo wachache san wali weza kufikia utendaji kama huu!
swala ambalo mimi naweza kukubaliana nalo ni vipaumbele tulivyo navyo baada ya kupata hayo makusanyo ,pamoja na matumizi yake ambayo yanafanya na serikali kuu!
 
Mbona unakimbilia matusi Vampire vegetarian...? Au ni hurka kwamba akina vampires wakishindwa kujieleza na kueleweka wanakimbilia kuita watu vilaza? Ni nini ukilaza wangu haswa? Kwani kutojua mambo ndio ukilaza... hapa siongelei mtu naongelea Taasisi... kama kuna sheria unayoisema maana yake sheria imetungwa na wabunge au mahakama... na pia yaweza kubadilishwa... nilichokuwa nataka kusema ni kwamba kama Taasisi.. TRA inafaa ipanue wigo wa kodi.. nikatoa mfano ni kiasi gani hao TRA Wanakusanya kodi kwenye milio ya simu.. ring tones.. may be ni zero... may be ni trillion... hujajibu... Ndo maana nasema acha kukimbilia matusi na kutangaza sura yako halisi ya matusi...

Siasa za m4c ndio zipi? Hebu nielimishe basi maana mimi kilaza... naona M4C imekukaa sana kwa kichwa.. mawazo ni mawazo tu.. kama yanatoka m4c, ccm au kwa akina Dovutwa ni mawazo tu.. kama ni mazuri yafanyiwe kazi na si kubezwa au vinginevyo... acha kunishambulia pasipo sababu.. mimi si mleta mada.. kama unataka kaliendeleza, kaliendeleze na mleta mada ... mi mchangiaji tu na uhuru wa mawazo unalindwa kikatiba na hakuna mtu alie na monopoly ya mawazo...

Jifunze kukubali bila kutokubaliana na heshimu mawazo ya wenzako bila kuwaita vilaza...heshima yako na ya wengine huwezi kuinunua dukani...humu ni mada tu zinatolewa na kujadiliwa kama huzitaki au huzipendi comment za watu kaa kimya...you dont loose anything staying silent...kama mawazo ya watu yanaku-touch sana toa yako mbadala ili nayo yajadiliwe...

hizo system ya TRA hata kama zina ubora ni ubora wa kata maana bado TRA hawakusanyi mapato ya kuifanya serikali na mzee fast jest waache kuwa matonya... kama system ni nzuri yes yaweza kuwa nzuri kwa mazingira yetu lakini haikidhi viwango...kumbuka mgema akisifiwa.. tembo... sawa wewe enendelea kubweteka kwamba system ni nzuri.. ina viwango, inasifiwa na mengine yote...

hakuna kilichio bora bila kasoro au kisicho hitaji mabadiliko yanayoendana na wakati... sasa ni wakati wa ''Harlem Shake'' TRA kaeni mkao wa kula sio kupewa visifa uchwara...kusanyanyeni mapata yatakayokidhi mahitaji ya nchi.. tafuteni vyanyo mbadala na ikiwezekana ombeni jamii ya Tanzania iwape mawazo mbadala maana siku hizi ni mtindo wa polisi shirikishi.. na sio mbaya kama tukifanya kodi shirikishi na sio kukwepa kulipa...
 
Yours are lies of the highest degree. Humjui Kitillya, huijui TRA wala hujui mfumo wa kodi Tanzania. Humu jamvini kuna thread inayohabarisha kuwa TRA wanakusanya 1 trillion tsh. kwa mwezi. Sometimes its better kuuliza kuliko kujifanya unajua saaana.

How do they collect that amount? Inachekesha sana kuogopa challenges...ukweli ni kuwa hatuna creativity kwenye kupata vyanzo vipya vya kodi...ni vile vile...ni kutengeneza mazingira magumu tena mara nyingine kwa kulazimisha ionekane kodi inakusanywa zaidi....a
Anayelala usimwamshe waswahili wanasema
 
Mbona unakimbilia matusi Vampire vegetarian...? Au ni hurka kwamba akina vampires wakishindwa kujieleza na kueleweka wanakimbilia kuita watu vilaza? Ni nini ukilaza wangu haswa? Kwani kutojua mambo ndio ukilaza... hapa siongelei mtu naongelea Taasisi... kama kuna sheria unayoisema maana yake sheria imetungwa na wabunge au mahakama... na pia yaweza kubadilishwa... nilichokuwa nataka kusema ni kwamba kama Taasisi.. TRA inafaa ipanue wigo wa kodi.. nikatoa mfano ni kiasi gani hao TRA Wanakusanya kodi kwenye milio ya simu.. ring tones.. may be ni zero... may be ni trillion... hujajibu... Ndo maana nasema acha kukimbilia matusi na kutangaza sura yako halisi ya matusi...

Siasa za m4c ndio zipi? Hebu nielimishe basi maana mimi kilaza... naona M4C imekukaa sana kwa kichwa.. mawazo ni mawazo tu.. kama yanatoka m4c, ccm au kwa akina Dovutwa ni mawazo tu.. kama ni mazuri yafanyiwe kazi na si kubezwa au vinginevyo... acha kunishambulia pasipo sababu.. mimi si mleta mada.. kama unataka kaliendeleza, kaliendeleze na mleta mada ... mi mchangiaji tu na uhuru wa mawazo unalindwa kikatiba na hakuna mtu alie na monopoly ya mawazo...

Jifunze kukubali bila kutokubaliana na heshimu mawazo ya wenzako bila kuwaita vilaza...heshima yako na ya wengine huwezi kuinunua dukani...humu ni mada tu zinatolewa na kujadiliwa kama huzitaki au huzipendi comment za watu kaa kimya...you dont loose anything staying silent...kama mawazo ya watu yanaku-touch sana toa yako mbadala ili nayo yajadiliwe...

hizo system ya TRA hata kama zina ubora ni ubora wa kata maana bado TRA hawakusanyi mapato ya kuifanya serikali na mzee fast jest waache kuwa matonya... kama system ni nzuri yes yaweza kuwa nzuri kwa mazingira yetu lakini haikidhi viwango...kumbuka mgema akisifiwa.. tembo... sawa wewe enendelea kubweteka kwamba system ni nzuri.. ina viwango, inasifiwa na mengine yote...

hakuna kilichio bora bila kasoro au kisicho hitaji mabadiliko yanayoendana na wakati... sasa ni wakati wa ''Harlem Shake'' TRA kaeni mkao wa kula sio kupewa visifa uchwara...kusanyanyeni mapata yatakayokidhi mahitaji ya nchi.. tafuteni vyanyo mbadala na ikiwezekana ombeni jamii ya Tanzania iwape mawazo mbadala maana siku hizi ni mtindo wa polisi shirikishi.. na sio mbaya kama tukifanya kodi shirikishi na sio kukwepa kulipa...
nimekuelewa mkuu! wewe sio kilaza! ngoja ni kuite great sinker!
 
Yule anayedhani TRA inafanya maajabu kwa kukusanya Kodi ya ziada kwenye Malengo waliojiwekea nadhani haijui Tanzania na Raslimali zake.Fanya tafiti za kuangalia ni akina nani wanaolipa hizo kodi ambazo TRA inajivunia kuvuka Malengo na utaona nyingi zinalipwa na Maskini na wala si Matajiri kama inavyodhaniwa.Kodi kama za Ushuru wa bidhaa,Kodi ya uwagizaji bidhaa na Kodi ya Ongezeko la thamani zote hizi ni kodi zinazolipwa na walaji ambao wengi wao ni Masikini wa kipato na kwa Maana hiyo zinachangia kwa kiasi kikubwa katika ongezeko la Umaskini wakipato.TRA wangejivuna kama wana uwezo wa kukusanya Kodi kubwa ya Mapato ambayo ndiyo kodi pekee inayolipwa na mtu binafsi au Makampuni binafsi na Mashirika ya Umma lakini nako ikiangalia kwa upana utaona NI Watumishi walioajiriwa ndiyo pekee TRA anapokusanya kwa uhakika kwa sababu hawa hawana namna ya kukwepa kulipa kodi hii na badhi ya Makampuni yamekuwa yakipata sifa kutoka TRA na serikalini kwa kuwasilisha Mapato haya ya Watumishi ambayo ni mzigo kwa Wafanayakazi.
 
Hakuna sehemu ambayo ina uchafu na uozo kama TRA. Imejaa wezi, watu wenye roho mbaya, tamaa na uelewa mdogo sana.

TRA wametengeneza mazingira ya kutaka rushwa, wanatupa valuation ambazo ukweli haziko katika sayari hii labda huko Jupiter, Pluto na Mars.

Nimekuwa nikileta mizigo Tanzania mara kwa mara lakini mambo ninayokutana nayo hapo TRA ukweli natamani kuua mtu.
Mara ya mwisho nimeleta mashine na valuation niliyofanyiwa hapo TRA nilipata ugonjwa wa moyo. Mashine unainunua kwa $135 lakini TRA wanakupa valuation ya $1900 pamoja na kuwapa listi za manunuzi na Invoice. Kwenye bill of landing umejieleza vyema kabisa (umewapa model number,make na capacity) kwa maana nao wanaweza kuingia kwenye mitandao na kukuta ile bei lakini kwa makusudi kabisa wanakupa hiyo bei ili uwape rushwa.
Kila ukijaribu kulalamika hawasikilizi na kule bandarini storage charges zinakusubiri.

Niliamua kulipa kama walivyooandika (valuation) bila kuwapa rushwa, na sasa ninaandika barua ya malalamiko ambayo nitamtumia mkuu wao, na copy kwa katibu mkuu wizara ya fedha. Kizuri zaidi nina majina ya maofisa wote walioshughulikia mizigo yangu mara ya mwisho. Kwani nimechoka kukutana na matatizo haya hapo TRA kila nikileta mzigo, na niko tayari kukutana uso kwa uso na mkuu wao ama katibu mkuu wizara ya fedha kufikisha malalamiko yangu.

Wapuuzi hawa wachache ndani ya TRA wanaipa sifa na picha mbaya TRA pamoja na Serikali yetu.

Baadhi ya watu wameamua kupitisha mizigo Zanzibar na kuiingiza Tanzania Bara kwa njia za panya, siwalaumu hata kidogo.
 
Yours are lies of the highest degree. Humjui Kitillya, huijui TRA wala hujui mfumo wa kodi Tanzania. Humu jamvini kuna thread inayohabarisha kuwa TRA wanakusanya 1 trillion tsh. kwa mwezi. Sometimes its better kuuliza kuliko kujifanya unajua saaana.
na kwenye hiyo thread mleta mada anawakubali TRA then wakishakusanya pesa inaenda Hazina na huko ndiko mambo yakoharibikia.

Kiukweli kwa mfumo uliopo kama TRA inakusanya 1trillion, ukibuniwa mfumo rafiki wa walipa kodi basi tunaweza kuwa wafadhili wa nchi nyingi kwa muda mfupi na hata mkulu badala ya kwenda kuemea basi anaweza kujituliza tu msoga na utaona waemeaji wanakuja hapa (vise vesa)
 
Hiyo ''Harlem Shake'' yenyewe anaijua au ni kumouongeze maumivu tu kichwani? Anza kumwambia cha kufanya kwanza kabla ya kumuunganishia hayo ya ''Harlem Shake'' vinginevyo utampotezea dira tu kichwani ukizingatia mtu mwenyewe ni yule wa kizazi kinachoogopa kushika au kuwasha computer mpaka wapewe computer courze namna ya kuwasha na kuzima... ukimchanganyia na youtube hapo sasa ndio umeua kabisa..

Anyway all in all hawa jamaaa waliokabidhiwa jukumu la kuongeza mapato ya serikali hawako makini sana na kazi zao.. sio wabunifu, hawana uchungu na walipa kodi wachache ili kuongeza wigo wa kodi na wala hawapendi kusikia mawazo mbadala.. wanataka tu spoon feeding.. ukiwauliza ni kwa nini hizo website zao haziko up to date utaambiwa webmaster anaifanyia kazi... ukiwauliza vipi mapata yenu ni kiasi gani utaambia software bado inakokotoa...
sijiu nchi hii itaamuka lini na kuwa na watu makini na kazi zao...

S.M.P2503 Unajichanganya sana! Soma TRA Act ya 1996 ujue majukumu ya TRA ni yapi. TRA ilianza kukusanya 25b wakati wa Marehemu Sanare na mpaka sasa hivi inakusanya 1trl, hiyo ni hatua na sisemi kuwa inatosha isipokuwa iko kwenye right track. Issue ya kodi kwa mining companies na Mobile phone companies ni swala la sera za serikali. Mjukukumu ya TRA in assess, collect, account and ADVISE THE GOVERNMENT ON FISCAL POLICY.
Kuhusu Kitillya kuwa ni wa kizazi kisichojuwa computer, I can vouch 100% he is techno savvy very and computer literate halafu anajua kodi labda una zumgumzia Kitillya mwingine. Kuhusu Afande Shimbo ni rumours tu ambazo sidhani ni vema tukaziendeleza humu jamvini na kuzipa uzito usiostahili.
Nilikushauri uulize kitu kabla ya kucomment, nadhani nilikuwa sahihi kwa kuwa contribution yako ya pili imedhihirisha kwamba una uelewa mdogo kuhusu haya Mashirika. Hivi unaweza kushauri kwamba TRA wafanye investments kama NSSF?
 
well said mkuu!umeongea facts za ukweli 100% S.M.P2503 vitu anavyoongea ni kama vya wale waswahili wakishashiba ugali wanaanza kulalama! hajaweza kutetea hoja zake !
 
Last edited by a moderator:

S.M.P2503 Unajichanganya sana! Soma TRA Act ya 1996 ujue majukumu ya TRA:
Kwani majukumu yao yakitajwa kwenye act of parliament ndio mwisho wake, hao TRA hawawezi kujiongezea majukumu mengine? Mbona kila siku tunasikia tumevuka malengo... mbona katika hiyo act uliyoisema hakuna sehemu inayowapa majukumu ya kuvuka malengo?
Nachotaka kusema ni kwamba ni kweli wanakusanya, lakini hazitoshi kusukuma gurudumu la maendelo...wao ni wakusanyaji wa serikali.. wanaweza pia kuwa wabinifu wa kukusanya katika vyanzo vingine ili kodi isiendelee kuwaumiza walipaji walewale kila siku..
Issue ya kodi kwa mining companies na Mobile phone companies ni swala la sera za serikali: Hata TRA pia ni shemu ya serikali hiyo hiyo...kwani hao wanaofanya kazi humo hawaathiliki na kudumaa kwa maendeleo ya Tanzania? Ni kwa nini watetewe kwamba eti hizi ni policies za serikali.. rejea namna government policy inavyotengenezwa maana huwashirikisha wadau muhimu wakiwemo TRA...
Mjukukumu ya TRA in assess, collect, account and ADVISE THE GOVERNMENT ON FISCAL POLICY: Sawa umenena vema na hapa pia wewe unajichanganya.. sasa hiyo assess ni ipi waifanyayo? Advise governemnt on fiscal policies, si ni pamoja na vyanzo mbadala au?
Kuhusu Kitillya kuwa ni wa kizazi kisichojuwa computer: sikuwa na maana hajui, nilikuwa na-support alichosema mdau George Smiley katika post yake aliyoanzisha ‘TRA inpoongozwa kwa style ya ''Harlem Shake'' ... nili..support hasa katika kipengele hiki... ‘ukitazama viwango wanavyotoza na vilivyowekwa kwenye website yao ni vitu 2 tofauti’
una uelewa mdogo kuhusu haya Mashirika: HAKUNA ukweli katika hilo...Kuna ubaya gani mtu akishauri kwamba hiyo act ya bunge ibadilishwe na iwape uwezo TRA kuanzisha kitengo cha diversification of tax base including where possible grand scale infrastructure investment? Chukua mfano wa UK ambapo serikali kupitia act of parliament waliruhusu HMRC wawape fedha Royal bank of scotland na bank nyingine zote kama stimulus loan na sasa kila mlipa kodi wa UK yuko mbioni kupewa divedent ya si chini ya £400 toka Royal Bank? Source : George Osborne
mawazo kama haya yakifanyiwa kazi.. hata wewe mlipa kodi .. kodi yako itapunguzwa maana utakuwa na incentive za kulipa ukijua kwamba inatumia vizuri...
Mtoa mada mwenyewe kambia.. hebu aje atete bandiko late hapa kuliko wengine kushambuliwa kwamba hatuwezi kutetea hoja wakati tunapewa matusi tu... watu wanajadili watu badala ya issues...

well said mkuu!umeongea facts za ukweli 100% S.M.P2503 vitu anavyoongea ni kama vya wale waswahili wakishashiba ugali wanaanza kulalama! hajaweza kutetea hoja zake !

Specifically.. hoja gani unazoongelea mkuu.. mimi si muanzisha mada... acha kujadili watu .. jadili issues...
 
Back
Top Bottom