TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

Wewe bado kuanzia fikra mpaka maisha

Unawafundisha tra kazi au sio
au kiroho mbaya tu kinakusumbua
Huyo mwijaku ana connection kubwa sana nchi hii hawezi kusumbuliwa kwa chochote awe analipa hizo kodi au halipi
Hapo kwenye connection ndiyo penye ufa wenyewe
 
Tafuta pesa mkuu achana na kuchokonoa yasiyokuhusu, kapata gap ya kutengeneza pesa ,akapiga pesa nawe tafuta ya kwako!,nani ni mmiliki wa UDA,Nyati crossborder transporters?,mtoa mada tumia muda wako kupigania ya kwako achana na yasiyokuhusu
No, kama kuna ukweli basi ni vyema uhalali wa vyanzo vya pesa vya mtu huyu vinafaa kuchunguzwa.
Chini ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TAKUKURU ya Mwaka 2007, Ni kosa kwa mtu kuwa ma kipato au mali zinazozidi kipato chako halali kinachojulikana.
 
Sawa mkuu tuanzie nani mmliki wa UDA, Nyati cross-border transporters, usiwe nawe una uonezi wa kufuatilia vidagaa huku unaogopa mapapa, unajua chanzo cha utajiri wa assas?
 
WAANZE NA WABUNGE ZILE MIL 58 KILA MWEZI
Mwijaku ana nia njema kwa vijana wa nchi hii kwa kuwahamasisha waboreshe maisha yao!
Nyumba ya Mwijaku kwa valuation anayosema ni overvalued! Lakini nia ya kuipa nyumba yake gharama kubwa ni kutaka hao wengine watakaofuata wawe na lengo kubwa kuliko yeye hivyo kujenga nyumba bora zaidi.
TRA waende kuzuia kodi wanazotuibia wazungu kwenye migodi toka Magufuli kutoweka! Waachane na hawa wabangaizaji wakina Mwijaku.
 
Point ni zilezile UKITOBOA utaambiwa UNALIWA yani mmejaa wivu kum*m*ke na Bado mtaumia sana...Mbaya zaidi wengi ni wanaume ndo wanaongoza kuonea wivu wanaume wenzio..Yani kama umepata muda wa kujadili Kipato cha mwanaume mwenzio na kukisimanga basi unatabia za KE au Bado unaumri mdogo sana
100%
 
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA".

Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama analipa kodi kadri ya mapato yake.
Mkuu nimekuona fala sana.
Badala kuishauri TRA wawachunguze waliotajwa kwenye ripoti ya CAG waliohusika na upotevu mabilioni ya kodi ambayo imeshakusanywa, eti wamchunguze mpambanaji anaejidhalilisha kuitafuta hela?

Pia itakuwa huelewi kuwa sio kila hela inalipiwa kodi, kuna watu wana basic salary ya 300,000 lakini wana posho inazidi 1M ambayo kisheria hailipiwi PAYE. Siku ukikutana na hawa pia utalalamika wanaiibia serikali
 
Yaan bongo kulivo na vikwazo mtu kutoboa kijana kajitahidi kukimbia unamsagia .aseee uzuri yuko poa na mama hata tra wakisogea imeisha
Yule kweli bongo movie,ila mi naona anapata sana ubalozi wa makampuni mbalimbali Kwa ajili ya like kiherehere chake,Sasa katoboa watu tunaanza maumivu sio poa,,,wasipojenga tunawadiss na kuwacheka,wakijenga tunawaitia TRA duhhh kuzaliwa TZ ni kisanga
 
Yaan huyu mbwa nimemshangaa ssna mm hata xmas kazindua dada mmoja bonge ya nyumba kuna jinga likamsemelkea tra kwa jamaa mshkaj nkatatua kirahisi bila kumuomba mia .wivu mbaya
 
Mkuu nimekuona fala sana.
Badala kuishauri TRA wawachunguze waliotajwa kwenye ripoti ya CAG waliohusika na upotevu mabilioni ya kodi ambayo imeshakusanywa, eti wamchunguze mpambanaji anaejidhalilisha kuitafuta hela?

Pia itakuwa huelewi kuwa sio kila hela inalipiwa kodi, kuna watu wana basic salary ya 300,000 lakini wana posho inazidi 1M ambayo kisheria hailipiwi PAYE. Siku ukikutana na hawa pia utalalamika wanaiibia serikali
Wewe ndiye MPUMBAVU kwa capital leters. Unajuwa kuwa kuna watu wametajwa na CAG kuhusu upotevu wa mabilioni ya fedha, halafu uko kimya unakuja kuponda juhudi yangu hapa ya kutafuta kodi kwa mapato ya Mwijaku!!
 
Yaan huyu mbwa nimemshangaa ssna mm hata xmas kazindua dada mmoja bonge ya nyumba kuna jinga likamsemelkea tra kwa jamaa mshkaj nkatatua kirahisi bila kumuomba mia .wivu mbaya
Inabidi unichie number yako wakija kunisemelea unitatulie na Mimi bila mia!(jokes 😜

Ila all in all snitch sio mwana!
 
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA".

Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama analipa kodi kadri ya mapato yake.

View attachment 2863227
Hiyo nyumba haiwezi kuwa na thamani hiyo hata mils 400 haifiki... Ni mbwembwe tu za influencers .
Ila nampa pongezi kajenga nyumba ya ndoto yake. TRA hawana sababu ya kumchunguza maana jamaa anafanya kazi nyingi tu so anaweza kuafford alichofanya.
 
Fact.
 
Back
Top Bottom