TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

TRA should investigate all those who display money in the media and if they do ever pay any taxes. FIU should investigate how it was obtained.
 
Siyo umaskini it is a question of principle. Kwani wewe ulipi kodi?
 
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA".

Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama analipa kodi kadri ya mapato yake.

View attachment 2863227
Daaaaaah inaonyesha una roho ya hila na chuki mkuuuu........Sasa unawaelekeza TRA wakamfanyaje Sasa kama mtu ameamua kutumia hela yake kujenga ina maana amekosea nin jmn...........inauma Sana ukipata maendeleo afu mtu mmoja akatafuta namna ili ufilisiwe
 
Mleta mada unaonekana maisha yamekupiga kinoma,
Umasikini huzaa chuki na roho ya korosho,
Pambana ujitoe kwenye dhiki,hiki ulichokileta hapa hakiwezi kukupa unafuu kwenye maisha yako binafsi,
muda haumsubiri mtu,angalia usije ukawapa watu kazi ya kukulea uzeeni mwako.
 
Inaonyesha ana roho mbaya Sana aiseee..... mwijaku anajidhalilisha kwa makusudi ili mkono uende kinywani afu mjinga mmoja anaomba TRA wamkague.......this is shame ase
 
Sina wivu na mafanikio ya mtu yeyote. Jana Mwijaku kazindua nyumba anayodai imegharimu Tsh 1.3 Bilioni. Mwijaku ni msanii wa bongo movie ambaye hivi karibuni amegeuka kuwa "CHAWA".

Sheria ya Mamlaka ya Mapato (TRA) inaruhusu kukagua mapato ya mtu yeyote au kampuni yeyote kujiridhisha kama analipa kodi kadri ya mapato yake.

View attachment 2863227
Mwijaku anaonekana kama dishi limeyumba ila amini domo lake linamuingizia pesa nyingi tu.

Anaweza piga domo kwa dakika 10 tu na akaingiza zaidi ya 5M...na hapo ni sehemu moja,Bado nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimeanza kuamini, wabongo kupigwa changa la macho ni ize.
Mtu anafanya promo nyumba ya boss hukoo, watu wanasema yake.
Wahitaji mkapange hiyo nyumba, boss anataka maokotooo.
 
Back
Top Bottom