TRA Jiridhisheni na kipato cha Mwijaku

Inabidi unichie number yako wakija kunisemelea unitatulie na Mimi bila mia!(jokes 😜

Ila all in all snitch sio mwana!
Haifai kabisa mijitu isiyo amini ndoto zao
 
TRA should investigate all those who display money in the media and if they do ever pay any taxes. FIU should investigate how it was obtained.
 
Siyo umaskini it is a question of principle. Kwani wewe ulipi kodi?
 
Daaaaaah inaonyesha una roho ya hila na chuki mkuuuu........Sasa unawaelekeza TRA wakamfanyaje Sasa kama mtu ameamua kutumia hela yake kujenga ina maana amekosea nin jmn...........inauma Sana ukipata maendeleo afu mtu mmoja akatafuta namna ili ufilisiwe
 
Mleta mada unaonekana maisha yamekupiga kinoma,
Umasikini huzaa chuki na roho ya korosho,
Pambana ujitoe kwenye dhiki,hiki ulichokileta hapa hakiwezi kukupa unafuu kwenye maisha yako binafsi,
muda haumsubiri mtu,angalia usije ukawapa watu kazi ya kukulea uzeeni mwako.
 
Inaonyesha ana roho mbaya Sana aiseee..... mwijaku anajidhalilisha kwa makusudi ili mkono uende kinywani afu mjinga mmoja anaomba TRA wamkague.......this is shame ase
 
Mwijaku anaonekana kama dishi limeyumba ila amini domo lake linamuingizia pesa nyingi tu.

Anaweza piga domo kwa dakika 10 tu na akaingiza zaidi ya 5M...na hapo ni sehemu moja,Bado nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimeanza kuamini, wabongo kupigwa changa la macho ni ize.
Mtu anafanya promo nyumba ya boss hukoo, watu wanasema yake.
Wahitaji mkapange hiyo nyumba, boss anataka maokotooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…