Tetesi: TRA Kitengo cha makadirio ya kodi ndio mnyama mkali na katili

Hicho kitengo ni hovyo kabisakinakadiria kodi kutokana na mauzo ya jumla ikiwemo mtaji wa mtu, gharama za uendeshaji na mengineyo badala ya kukadiria kutokana na faida aipatayo mtu baada ya kutoa mtaji wake na gharama za uendeshaji kama umeme, kodi ya pango na wafanyakazi
 
Ujinga ulianza pale tulipokuwa kuwa tunasomewa mapato kila baada ya miezi kadhaa mkuu alipoona matirion alikuwa akifurah nakutuaminisha mambo n safi

Ukweli upo hivi kuna mtu wa kitengo kanipa info hizi mkuu anapokutana nao kwenye vikao huwa anawakazia wafanye chochote wanachoweza mapato yanongezeke na wao wamekuja kwa mtindo huu wa kukadiria juu ya kipato unachoingiza sasa mambo yakibackfire wahanga n wao maafisa wa Tra
Kifup mkuu akiwa mbele ya kamera anataka kuonyesha anatupenda Sana akiwa na hawa jamaa wa tra anawakolomea anataka mapato sasa wao wafanye nn zaidi ya kutukamua

Kuhusu mradi wa bagamoyo n unamapungufu yake lakn tunachotaka Watanzania watuwekee Watanzania tuusome asiishie tu kuukosoa ili tujiridhishe nasisi maana hata mradi wa stiggeler's gorge nao uwekwe wazi mkataba wake ili tujue ukweli hii yakuficha ficha mambo ndio inaleta kutoaminiana
 
Tatizo la watanzania wanataka kila kitu mpka wapewe na waletewe na pia awapendi kusoma kabisa yani kila kitu kiko wazi kuanzia madaraja ya kukadiriwa mpaka mpka tax table ambapo unaangalia income yako na kiasi cha kodi unachotakiwa kulipa pili.kama una mauzo yanayozidi milioni ishirini unatakiwa kujikadiria nasio ukadiriwe amabapo utatakiwa baada ya mwaka na ulete mahesabu yako ya biashara.Tatizo la wafanyabiashara awasomi sheria na sheria zipo hata kwenye mtandao wao kingine sis watanzia tunapenda kutupiana lawama ndo mana humu kwenye huu uzi kila mtu anasema kuna rafiki yangu sijui kuna mtu na sie yeye alienda sawa
 
Kuna jamaa mpuuzi mmoja anaitwa Makune pale Kahama kawalostisha wengi sana kwa kuwakomoa kwa kodi kubwa kubwa nashangaa kwa nini hawakumtaja[emoji26]
 
Hawa jamaa ni watu wanyama sana. Wanataka kunifungia biashara kwa makadirio ambayo biashara yangu kamwe haiwezi kulipa.
Wanadai rushwa. Hawa jamaa kusema kweli lazima sasa washughulikiwe. Lakini sio peke yao. Wanatumwa na hao senior managers
 
Wamejua kwamba tumejua ndiyo maana waziri wa fedha amkiri kwamba kuna haja ya kufanya mabadiriko yaani kumbe ujanja waliokuwa wanautumia mmeujua na hawana jinsi bali kucheza kwenye ngoma yenu ila siyo kulala na kuamka ''It will take time''
 
TumainiEl pamoja na bandiko hili tunakudai mwili wa Saanane.
 
Kuna jamaa mpuuzi mmoja anaitwa Makune pale Kahama kawalostisha wengi sana kwa kuwakomoa kwa kodi kubwa kubwa nashangaa kwa nini hawakumtaja[emoji26]

Labda RC wa huko alishirikiana na TRA ya huko kuchuja majina ya Wafanyabiashara wa kwenda Ikulu
 
Tatizo ni matajiri kufanywa chochote, tunasahau ukiwa unakamua punda usipigie mwanae.
 
Cha ajabu hao wakadiriaji ukiwaambia bado sina uzalishaji wowote kwa sasa ni ukusanyaji rasilimali hawataki hata kukuongoza kujaza "nill return". Wako radhi wakuelekeze kwa washauri wao mitaani ukajazie huko ili wagaiwe chochote kwa fedha utakayolipia huduma hiyo. Wakadiriaji Mungu Anawaona!
 
Tangu zama za kale mtoza ushuru ameandikwa kwenye maandiko matakatifu ni watu wahatari na wengi wao ni wadhulumaji
 
Awamu zilizopita TRA ilikuwepo ila haya hatukuwahi kuyasikia.sasa tatizo liko wap?
walikuwa wanakula kwa urahisi sasa alipo ingia mkubwa kaziba kila eneo inabidi wamuumize mteja why kuna watu walitoa rushwa ila same wakajikuta wanlipa same walichokitolea rushwa sasa wafanyabiashara walipo hamia kulipa kodi nakutotoa rushwa ndio machungu wanayapata
 
Kufungia biashara za watu kwa hila ni kosa la uhujumu uchumi. Kama biashara zikifungwa, kodi zinapatikanaje?
Tuende mbali kwenye kuhakikisha haki za wote zinalindwa. Kama kuna waliokuwa wanatumia nafasi zao za kuwa TRA kunyanyasa wafanyabiashara kwa kudai na kupokea rushwa, nao wawajibike. Kila mtu apimwe kama anachomiliki kinaendana na kipato chake. Vinginevyo hili tatizo halitaondoka
 

Namkubali sana JPM. Maana jamaa walijisahau sana. Walifikiri ni untouchables
Jumba bovu limewaangukia. Kila mtu atabeba furushi lake asepe fasta
 
Mfanyabiashara wa kati na wachini hana weekend wala sikukuu hila watoto wadogo wasio na uzoefu hata wakuuza pipi wanakadiria kwa kukomoa.
 
Kama kunamtu anadhani Rais au TRA watabadilisha namna ya kumkamua mfanyabiashara asahau,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…