TRA Kufungua duka Kariakoo

TRA Kufungua duka Kariakoo

Magifuli alifanya biashara nyingi kuhamia store Kwa store, kwan kuwa na fremu ni kujitafutia matatizo.

Hatimaye viduka kwa nje vikawa vidogo na machinga soko Zima, huku wadosi wakiuza kutokea store
 
Wanalifungua kwa utaratibu gani! Waanzie brela kabisa, wasubiri wiki mbili kupata majibu[emoji1787] wapeleke mkataba wa pango na makorokoro yote yanayo takiwa, wapige mahesabu yale yale wanayotupigiaga, na walipe kodi stahiki

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeskia wanasema mpaka mwaka kesho kutwa jurai ndiyo litafunguliwa😂😂😂
 
Back
Top Bottom