TRA Kufungua duka Kariakoo

TRA Kufungua duka Kariakoo

Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha
Hilo duka litakuwa na uuzaji wa bidhaa gani sasa! Ili ku experience hicho wanachokisema, Labda kama yatakuwa mengi kama idadi za bidhaa zinazouzwa hapo K/KOO halafu na wao hayo mapato yao yatakuwa yanafanyia nini?

Hii ni style mpya ya upigaji hii yani waziwazi wameona haitoshi wanavyokula hela za mlalahoi kwa wizi na ufisadi kwenye miradi mbalimbali ya kiserikali sasa wanaenda kuchukua hadi hela za wahemeaji bidhaa hapo town...
 
Ni uthibitisho kua TANZANIA sio NCHI nikijisehemu tu cha SOMALIA kilichopo EAST AFRICA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imefikia hatua hiyo ili iweze ku experience kile ambacho wafanya biashara wengi wanakilalamikia ili kujiridhisha
Kama ni kweli, ni upuuzi uliotukuka;
1. Wenye gesti nao wakilalamika, watafungua gesti?
2. Wenye mabucha je?
3. Wenye bar?
4. Wenye taxi je?
5. Wenye maduka ya vyakula mitaano je?
etc
 
Yani sisi vita yetu ni kupiga hela na kujilimbikizia baada ya hapo unakufa after 5yrs
Hao TRA hawapigi hela! Niwanyonyaji, tuna mifumo mibovu ya kodi inayotoa mianya ya rushwa mpaka kwa wasio stahili!

Sasa unakuta askari yupo na pikipiki anakusimamisha anakuuliza risiti_ yeye ni nani kuniuliza risiti!!!? Na hata kama ninayo bado ana question bei, yeye ni tax_force ya tra au aliambiwa akakimbize vibaka kule jangwani!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nani atakua anaigiza kama muuza duka.. mimi na-suggest yule Luka..maana hii nchi ni kama Bongo movie sasa.
 
Magifuli alifanya biashara nyingi kuhamia store Kwa store, kwan kuwa na fremu ni kujitafutia matatizo.

Hatimaye viduka kwa nje vikawa vidogo na machinga soko Zima, huku wadosi wakiuza kutokea store
Bila kumtaja kiboko yenu mambo hayaendi!
 
Back
Top Bottom