mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,188
- 1,090
- Thread starter
- #21
Sitojibu hilo tafuta accountant.
Vinginevyo njoo specific na hoja yako ya malalamiko ya kodi husika nikujibu.
Nishabishana sana na wafanyabiashara wa kariakoo, hata ukiwaelewesha hawataki.
Kodi ingekuwa shida ugomvi ungeanzishwa na walipa kodi wakubwa.
Hao wakariako hawajui tu hesabu za biashara na jinsi serikali inavyofanya mambo.
Unadhani malalamiko ni wafanyabiashara wa Kkoo pekee?
Tuendelee kuisaidia nchi Kwa kutoa ushauri na mapendekezo yenye kujenga..
Maafisa kodi wengi wakifukuzwa ama kustaafu kisha kuanzisha biashara hawafiki miaka mitatu wanafunga na wengine kufa..
Tujitafakari na kujenga uchumi imara..Haya malalamiko yapo kila kona si Kwa Wahindi,Waarabu,Wazungu,Waswahili..Yamkinihawana Kwa kunena kero zao..
Hatupaswi kumlaumu Mh Rais Kwa haya..Turekebishe sheria,kanuni,mitazamo kisha kuwekeza kwenye Elimu Kwa kina ..