TRA kwanini Wamehamishia akaunti ya malipo KCB, siyo tena NMB? Ni ufisadi baada ya Magufuli?

Is it a big deal? Kwani zikiwa huko zinahama na kuwa mali ya hiyo bank? Wewe ni mburula
 
Serikali ina minority stake kwenye NMB,The largest shareholders ni waholanzi
Wewe kiazi serikali ilitoa asilimia 21 ya hisa zake kuwauzia wananchi, ukiweka na hizo 31.8% maana yake ni kwamba watanzania wanamiliki 52.8% ya NMB, hebu twambie huko KCB watanzania wana asilimia ngapi ya hisa ili twende sawa....
 
Mkuu control number inalipwa popote na kwenye bank yoyote ni kwenye uchaguzi ndo inaamua kwenda wapi
 
Nawe ni shithole! Kupitishia benki una maana gani? Kwani Benki kazi zake ni nini?
Kazi ya benki zote ni kupitishia pesa, siyo kutunza pesa na ktk kazi hiyo wanakula gharama zao na ndivyo wanavyoinuka. Unapoipa KCB upper hand ujue unaineemesha mabilioni ya TRA. Why not NMB, CRDB, or other homegrown banks? Shiiiit!
 
Hujaelewa nini?
Umeambiwa wana utaratibu wa kulipia kupitia bank karibu zote zinazo operate hapa nchini. Na Hii ni ili kurahisisha malipo
Huko ndo kuelewesha? Umelewesha nini sasa! Another useless contribution!
Urahisi ni kutumia control number, FINITO! UKishatumia control number ya serikali, sihitaji kuelekezwa kwenda KCB.
 
Mkuu control number inalipwa popote na kwenye bank yoyote ni kwenye uchaguzi ndo inaamua kwenda wapi
Musiwatetee TRA, ni wazembe tu wa maamuzi. Leo nimepewa control number ya kulipia gharama za bandari. Sijaona maelezo yoyote ya kunielekeza benki fulani, basi wameandika nenda benki yoyote au mtandao wowote kalipie kwa kutumia control number hiyo. Kwa nini TRA wan prescribe KCB?
 
Wewe kiazi serikali ilitoa asilimia 21 ya hisa zake kuwauzia wananchi, ukiweka na hizo 31.8% maana yake ni kwamba watanzania wanamiliki 52.8% ya NMB, hebu twambie huko KCB watanzania wana asilimia ngapi ya hisa ili twende sawa....
Mkuu ulienda shule kusoma au kula maandazi? Ignorance ni mbaya sana.
 
Kwa hiyo kusoma ni kuitia hasara nchi yako, hopeless kabisa....
Ndo maana nakuambia wewe ni kiazi ila hujitambui,kiufupi ni kwamba huduma ya bill payment za TRA zinapatikana karibia benki zote washirika Tanzania.Hapo serikali inapata hasara gani kwa kurahisisha collection ya revenues kwa kumpa taxpayer mazingira rahisi ya ulipaji? Argue kama msomi na siyo muuza maandazi otherwise unakuwa rubbish
 
Kwa mtandao wa benki za NMB na CRDB pamoja na huduma zao za kifedha zilizotapakaa hadi mitaani ni kwa namna gani mtu atashindwa kulipia bill zake kupitia hizo benki za kitanzania, jaribu kuficha uzwazwa......
 

 
CRDB ina matawi commoro, Burundi nadhani na DRC. Nimeishi kenya kama three years masharti ya kibiashara tunayowekewa watanzania huwezi tamani kufanya biashara huko. Tunawakumbatia bure sana hawa ndugu zetu wanafiki sana.
Kama mnakumbuka Rostam alivyofunguka kipindi cha ziara ya rais nchini kenya huo ndiyo uhalisia. Fuata hii link[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Utakua hunawaji lipa kodi wewe hiyo akaunti ipo kitambo sana
 
Wenye akaunti KCB ni TRA after all hizi bank ni njia ya kupitishia fedha/Paying Bank ambazo ni Kama wakala wa BOT,mlipaji anachotumia kule ni Control number tu.KCB account iko zaidi miaka 10 mtoa mada ameleta mada bila kuulizia kwanza na kueleweshwa.
 
Watu ambacho hamuelewi ni nini? Hata ukichagua KCB bado unaweza kulipia Exim au CRDB Bank. Kinchohitajika ni hiyo control number tu
 
Ndio CCM wanaiba huko kupata pesa za kampeni 2025. Yaani hii mijambazi inaimba uzalendo wakati yenyewe haina hata chembe ya huo uzalendo
 
Itakua kuna makubaliano wameingia... Wanataka kui busti KCB...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…