TRA kwenye kodi ya magari wanafanya "wizi" wa wazi kabisa

Kubwa jinga ovyoo hili shabiki la kijani linaturudisha nyuma
Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
 
TRA kwa hili militizame kwa jicho la ziada. Kwa ujumla mnawaumiza sana wateja hawa.

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Acha uzandiki mkuu alichozungumza Mwamba ndio malalamiko ya wananchi wengi sasa wewe ni nani uzungumze ki don hivyo?kuwa na adabu tafadhali katika kipindi hiki unachosubiri posting yako kwenda kidato cha tano Ahsante sana
 
Hata sielewi nchi hii sheria ya kodi sijui kama wanafuata hawa Tra bali wanachofanya ni kuumiza wananchi tu..
Kodi lazima iwe na uwiano wake na bidhaa husika...haiwezekani kwenye nyenzo muhimu zinazochagisha maendeleo ya mtu na uchumi wao wanakadiria kodi kama kukomoa tu!
Mbaya zaidi wabunge ambao ndio wangekua mstari wa mbele kutupigania wao wana msamaha!
Hapa tunaongelea zaidi kodi ya magari
Gari nimeagiza kwa Tsh milioni 5
Tra wanapaswa wanitoze laki 7 ama mioni 1...hiyo nichaji rafiki
Lakini naleta gari niliyonunua milioni 15utake ushuru wa milioni 13!...
Hii sio sawa hata kidogo,gari sio chombo cha anasa.
 
Akili yako ni yazamani sana. Dunia ya leo unashindwa kujua gari ni kitu cha kawaida. Dunia ya leo gari sio ufahari au maisha mazuri bali ni huduma kama huduma zingine.

Jioni Njoo golden fork upate dinner
 
Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.

1967 Unakua na mawazo finyu Hivi? Kweli wajinga hawato isha.
 
Sasa TRA wizi wao upo wapi hapo?! Ikiwa mwenyewe ume admit sheria zinatungwa na bunge na tax man kazi yake ni ku execute hizo sheria.
 
Siku nyingi nyuma nishawahi uliza swala hili kwa afisa TRA jibu alilonipa ni simpo tu akasema kodi kubwa kwenye uingizaji magari una regulate idadi ya magari yanayotumika hapa nchini. Yaani ni hivi miundombinu yetu inauwezo wa kuhudumia certain capacity ya magari hayo. Hapa tuzungumzie barabara.
Sasa ukiweka ushuru kidogo kila mtu akaaford kuimport gari miundombinu itaelemewa foleni zitakua za maximum tabata to kariakoo utachukua half day kufika.
Kwa hiyo kuna swala la msingi katika kufanya hizo regulations za idadi ya magari. Ila si mbaya na sisi wengine tukatumia public transport tukashonana mule lakini tunafika on time maisha yanaendelea.
Ni hayo tu.
 
Huku TRA, huku EWURA kule TARURA bado "WEWURA"
 
Aseee
 
Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Utakuta mtu kama huyu mwenye cells chini ya 2 za ubongo ni kiongozi na ndio aliyepiga hizo hesabu uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…