JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Kwa kifupi tu, sisi Ngozi nyeusi ni mashetani ambayo tunaishi Duniani waziwazi. Kama alivyowahi kuandika ROBERT HERIEL
Imagine kitu chochote kinachohusiana na kuvuka mipaka ya nchi yetu kinakuwa regarded kama anasa.
Ukaombe passport figisu kibao,
Ukiagiza baadhi ya bidhaa nje utitiri wa kodi.
Nauli za ndege mlima. Maana kupanda au kusafirisha parcel kwa ndege ni Anasa.
Ukiagiza gari ndio kama hivyo kwa sababu kumiliki gari ni anasa.
Tukubali tu kuwa sisi ni mashetani na tuna roho mbaya. Na ni ngumu sana kama nchi kuendelea kwa mentality kama hizi.
Mnaoleta hoja ya kwamba nchi yetu isiwe damping area mtuambie kinashindikana nini kuweka sheria nzuri ya damping kwa kutumia Umri wa gari au mileage yake?
Nchi kama China unanunua mzigo kwa Supplier ila mpaka ukaufikishe kwa Agent wako hata kama yupo 1500Km nauli ni ndogo sana.