Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 30% ya Bei.Kodi haiwezi zuia Dumping. Ushawahi Nunua Gari Jipya Ukaona Kodi yake TRA!?
Wanakushambulia bure, wana huna kosa. Tatizo ni kuwa watu wanalazimisha kununua magari wakati hawana uwezo. Gari binafsi siyo kitu cha lazima kwani kuna public transport. Kama ulivyosema, anayeona kodi ni kubwa basi ajuwe hana uwezo wa kumiliki gari na atumie ya public.Ushuru ndo unajenga barabara unayopita. Tuliza mshono.
Wabongo utawaweza? Wanapenda kufuata mkumbo bila kutafakari. Utakuta mtu anaenda bar za kishua akiuziwa bia ya eg safari kwa elfu kumi anaanza kulialia bila kujua zile ni kwa wateja wenye uwezo. Usafiri wa umma uko lakini unakuta mtu analazimisha kununua gari huku hata hana uwezo wa kulipia ushuru wake. Wakiambiwa ukweli wanamshambulia aliyewaambia. Hivi kweli mtu kama unashindwa kulipa ushuru wa gari wa sh milioni 5 kuna haja ya kumiliki hilo gari? Kwa nini usipande magari ya umma tu?Point ya Jamaa ni valid mkuu, gari pamoja na umuhimu ambao umeusema bado hajafikia kuwa essential item inayohitajika kwenye maisha;
Hivyo kwangu mimi kitu kama gari Kuwekwa kodi hiyo unayosema ni sawa kabisa; Mpaka umewaza hivyo inamaana bado haukuwa na uwezo thabiti kuwa na gari.
Mfano, ukiona unalalamika kwamba Mcdonald, KFC kwamba wanauza vyakula bei juu, its obvious bado hujafika uwezo wa kutumia vyakula vya hapo na sio dhambi usiwachukie wanaomudu hapo au kuwalaumu, vivyo hivyo kwenye gari ungekuwa na uwezo mkubwa kabisa hiyo kodi usingeiona kama kikwazo kabisa, ingekuwa kikwazo kwa watu wengine ila sio kwako.
SO mkuu nimeielewa point yako, ila kimsingi ni kwamba wakati mwingine uwezo wetu ndio unaleta mitazamo fulani inapokuja suala la matumiz ya pesa.
Labda hasara kwa kulipana mshahara isiyoeleweka kama zilivyo kodi zao.Halafu utasikia TRA inajiendesha kwa HASARA.[emoji276]
Mkuu Roadlicence kulikuwa na mianya ya ukwepaji maana kulikuwa na magari yanaswaga tu bila kulipa miaka na miaka so it was easy; Ila hivhi unachosema, gari ambazo zimeingizwa kinyemela sio nyingi kiivyo, Hivyo idea yako ni nzuri ila sio Rahisi sana kuwa implemented kwa sasa; Inawezekana Master plan wazuri wakaiweka katika namna nzuri ya Implementation.Mbona walifuta road license wakaiingiza kwenye mafuta na wanapata pesa nyingi
Naunga mkono hoja. Leo nimewaza jambo hili. GARI ya milioni 5 kama ist kodi ni asilimia mia ya bei . Gari inafika bandari ya Dar mil 4 ata ikitoka inakua milioni 10. Na hapo bado kuna utitiri wa kodi katika mafuta. Ifike wakati wabunge wa CCM walione hili. Gari sio anasa.Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa,
Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi.
Angalia kwa mfano unanunua gari dollar 2500 unalipa tozo na kodi zao dollar karibu tena 2000 , kwa ufupi ukinunua gari ya milioni kumi nje andaa kodi milioni 7 au 8 au 9.
Ukiangalia vyema calculator yao hawa TRA ni formular ya ujanja ujanja ya kuumiza wananchi na wabunge walikaa wakapitisha kodi hiyo ya mchongo ambayo haiendani na uhalisia wa maisha ya Mtanzania.
Ifike hatua nao wajistukie kanuni wanazotumia kama sio kupitwa na wakati basi TRA wao wenyewe wamepitwa na wakati.
Pamoja na kukusanya mapato lakini TRA ni moja ya taasisi zinazorudisha nyuma maendeleo ya nchi hii.
akili kisoda huyoMkuu ingekuwa ishu ni kuzua dumping (uingizaji wa gari zilizochoka) basi ushuru wa gari za miaka ya karibuni ungekuwa mdogo sana, ila sasa mambo ni kinyume kabisa. Gari za mwaka 2018 - kuja 2022 ushuru wake ni balaa, Land Cruiser Series 300 ya 2022 ushuru wake ni shilingi milioni 300 na Japan inauzwa shilingi milioni 350 hivi, lakini Land Cruiser ya 2008 ushuru wake upo chini ya huu wa ya 2022, sasa hapo TRA wanazuia dumping au wanavutia dumping?
Unakula kwa wazazi wako nakuoga kwa wazazi wako na mpenzi wako naeanakula kwa wazazi wake mnakutana nyumba za wageni tuuGari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Gari hata kama ni screpa hakuna kinachotupwa. Hao wanaosema TRA wanazuia screpa niambieni wapi zipo hizo screpa za bure nikachukueLakini pia viwanda vya nondo vingepata malighafi kibao kutoka nje ya nchi.
Unatokea ukoo wa mkoa gani wewe?.Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
We kumbe mngeseremaa...Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Hiyo katiba inaandikwa lini? Na nani?"Katiba mpya ndio sululisho ya yote haya"
Huna akiliGari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Kodi kubwa sababu unaleta takataka zenye umri uliozidi miaka kumi... hebu hamia kwenye gari mpya tuone kama utaleta kelele tenaHebu leo tuwaangalie hawa jamaa,
Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi.
Angalia kwa mfano unanunua gari dollar 2500 unalipa tozo na kodi zao dollar karibu tena 2000 , kwa ufupi ukinunua gari ya milioni kumi nje andaa kodi milioni 7 au 8 au 9.
Ukiangalia vyema calculator yao hawa TRA ni formular ya ujanja ujanja ya kuumiza wananchi na wabunge walikaa wakapitisha kodi hiyo ya mchongo ambayo haiendani na uhalisia wa maisha ya Mtanzania.
Ifike hatua nao wajistukie kanuni wanazotumia kama sio kupitwa na wakati basi TRA wao wenyewe wamepitwa na wakati.
Pamoja na kukusanya mapato lakini TRA ni moja ya taasisi zinazorudisha nyuma maendeleo ya nchi hii.
Umeshaambiwa gari mpya hazina unafuu wowote linapokuja swala la kodi za TRA, yaani watu waagize magari wayatumie zaidi ya miaka 10 wewe uite takataka? Nchi za ulaya kuna magari kibao yanauzwa yakiwa used na watu wanayanunua na hayachukuliwi kama takataka, wewe nchi ya kajamba nani uite gari aliyotengeneza majapani takataka wakati huwezi kuunda hata baiskeli, hivi hizi akili za hovyo huwa mnazitoa wapi?Kodi kubwa sababu unaleta takataka zenye umri uliozidi miaka kumi... hebu hamia kwenye gari mpya tuone kama utaleta kelele tena
Weyeee, Acha dharau na misifa...! Umewahi kukagua vizuri list na calculation za Import taxes kwenye system ya TRA?Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.