Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Sina tatizo na kulipa kodi, tatizo ni kiwango cha kodi. Kodi kukatwa 80% ni sawa wewe kapuku?Maskini Ni wewe usiyetaka kulipa Kodi Ila unadai barabara na umeme kijijini kwenu Kwasemangube.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina tatizo na kulipa kodi, tatizo ni kiwango cha kodi. Kodi kukatwa 80% ni sawa wewe kapuku?Maskini Ni wewe usiyetaka kulipa Kodi Ila unadai barabara na umeme kijijini kwenu Kwasemangube.
Hebu leo tuwaangalie hawa jamaa,
Mifumo yetu ya kikodi ni mibovu mno yaani hakuna namna ambayo kodi itatoa ahueni kwa mwananchi wa kawaida hilo halipo. Angalia ukiagiza gari iliyotumika iwe japan, Dubai, Thailand au Afrika Kusini yaani kodi unayolipa tena isiyo na mantiki tena kodi ya kuudhi.
Angalia kwa mfano unanunua gari dollar 2500 unalipa tozo na kodi zao dollar karibu tena 2000 , kwa ufupi ukinunua gari ya milioni kumi nje andaa kodi milioni 7 au 8 au 9.
Ukiangalia vyema calculator yao hawa TRA ni formular ya ujanja ujanja ya kuumiza wananchi na wabunge walikaa wakapitisha kodi hiyo ya mchongo ambayo haiendani na uhalisia wa maisha ya Mtanzania.
Ifike hatua nao wajistukie kanuni wanazotumia kama sio kupitwa na wakati basi TRA wao wenyewe wamepitwa na wakati.
Pamoja na kukusanya mapato lakini TRA ni moja ya taasisi zinazorudisha nyuma maendeleo ya nchi hii.
Hata kama ajafikia levels still ndicho kilio cha watz kuhusu ile kodi ya wizi.Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Gari mpya au iliyo na umri chini ya miaka 8 kuna kodi haitozwiKwamba ukiagiza gari MPYA haina ushuru.!
Akili timamu huna.Gari sio kwa kila mtu kama unalalamikia Kodi ya 9m TZS (4000 USD) elewa hujafikia hadhi ya kumiliki gari hangaika na Guta, SANLG au FEKON ndo size yako. Asante.
Kodi haiwezi zuia Dumping. Ushawahi Nunua Gari Jipya Ukaona Kodi yake TRA!?Wanafanya hivyo kuzuia dumping, bila hizo kodi hii nchi ingekuwa jalala la hayo magari used mbaya zaodi miundo mbinu yetu haiwezi himili magari mengi.
Tafuta pesa
We Ni kichaa huoni Kodi zikipungua watu ndio watanunua magari latest.Wanafanya hivyo kuzuia dumping, bila hizo kodi hii nchi ingekuwa jalala la hayo magari used mbaya zaodi miundo mbinu yetu haiwezi himili magari mengi.
Tafuta pesa
Mkuu ingekuwa ishu ni kuzua dumping (uingizaji wa gari zilizochoka) basi ushuru wa gari za miaka ya karibuni ungekuwa mdogo sana, ila sasa mambo ni kinyume kabisa. Gari za mwaka 2018 - kuja 2022 ushuru wake ni balaa, Land Cruiser Series 300 ya 2022 ushuru wake ni shilingi milioni 300 na Japan inauzwa shilingi milioni 350 hivi, lakini Land Cruiser ya 2008 ushuru wake upo chini ya huu wa ya 2022, sasa hapo TRA wanazuia dumping au wanavutia dumping?Wanafanya hivyo kuzuia dumping, bila hizo kodi hii nchi ingekuwa jalala la hayo magari used mbaya zaodi miundo mbinu yetu haiwezi himili magari mengi.
Tafuta pesa
Yaani Mtu anauza gari (kitu kinachoshikika - mali) kwa shilingi milioni 4 halafu Serikali inatoza ushuru shilingi milioni 4 ikiwa imekaa tu, hakuna ilichofanya kujustify utozaji wa hiyo milioni 4 na hapo bado mtu unalipia gharama za kutumia bandari kupitisha gari lako na bado pia TRA unawalipa gharama za kuhandle utokaji wa gari lako (nje ya ile milioni 4 ya ushuru)...na wananchi bado tunaona mambo ni sawa tu!!Kodi ya magari ni wizi mtupu serikali inawaibia wananchi
Low IQ.Ushuru ndo unajenga barabara unayopita. Tuliza mshono.
Yaani Mtu anauza gari (kitu kinachoshikika - mali) kwa shilingi milioni 4 halafu Serikali inatoza ushuru shilingi milioni 4 ikiwa imekaa tu, hakuna ilichofanya kujustify utozaji wa hiyo milioni 4 na hapo bado mtu unalipia gharama za kutumia bandari kupitisha gari lako na bado pia TRA unawalipa gharama za kuhandle utokaji wa gari lako (nje ya ile milioni 4 ya ushuru)...na wananchi bado tunaona mambo ni sawa tu!!
Kama mtu anaanza kulalamika tu Kodi ya Kuimport, kuna uwezekanao mkubwa sana akalalamika kwamba kodi ya parking ni kubwa, Spare bei juu etc. Juzi tu utaratibu mpya wa parking ulianzishwa watu wakalalamika kwamba bei ni kubwa, sijui sio rafiki etc; Kila utakachofanya watu watalalamika tu;parking fee, spareparts, garage, mafuta, fine za traffic, nk hii itachochea wengi kuingiza magari so kupitia ile gharama za kuhudumia gari ndipo kodi ya serikali upatikana
Hakuna uhusiano na ukichoandika.Kama mtu anaanza kulalamika tu Kodi ya Kuimport, kuna uwezekanao mkubwa sana akalalamika kwamba kodi ya parking ni kubwa, Spare bei juu etc. Juzi tu utaratibu mpya wa parking ulianzishwa watu wakalalamika kwamba bei ni kubwa, sijui sio rafiki etc; Kila utakachofanya watu watalalamika tu;
Raha ya ngoma ni kuicheza.Kama mtu anaanza kulalamika tu Kodi ya Kuimport, kuna uwezekanao mkubwa sana akalalamika kwamba kodi ya parking ni kubwa, Spare bei juu etc. Juzi tu utaratibu mpya wa parking ulianzishwa watu wakalalamika kwamba bei ni kubwa, sijui sio rafiki etc; Kila utakachofanya watu watalalamika tu;
Lips Kodi. Acha janja janja. Hakuna maendeleo bila kodiLow IQ.
Lakini pia viwanda vya nondo vingepata malighafi kibao kutoka nje ya nchi.Wanafanya hivyo kuzuia dumping, bila hizo kodi hii nchi ingekuwa jalala la hayo magari used mbaya zaodi miundo mbinu yetu haiwezi himili magari mengi.
Tafuta pesa