TRA lazima iwajibike na imekurupuka, uwezo wa NBAA ni mdogo sana kwenye tansia ya teknolojia na engineering

kilio

Senior Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
100
Reaction score
127
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
 
Kubali kushindwa mkuu
Endelea na mapambano mengine
Bado nafasi zinaendelea kutangazwa sio TRA pekee
 
Shida ni kwamba kwenye hizo kada ulizo taja wanahitaji watu wachache tu. Hamna mbinu nyingne ya kuwapunguzza tofauti na hiyo.
Na. Angepita asngeanzisha uzi wa kulaumu,mapingufu huwa yanaonekana baada ya kukatwa
Haya ni mashindano hakunaformula
Unaweza kushinda au ukashindwa kichwani lazima uelewe hilo
 
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
Hapo wapo sawa mkuu kwenye kuchagua huwa wanaangalia uwiano wa watahiniwa waliofanya usaili wa kada husika zidi ya nafasi zilizo kuwepo:

Makosa ya kibinadamu yamefanyika hapa kwenye kuchanganya matokeo ya kada zote za Engineering kwenye nafasi moja kisha kuchagua walio faulu zaidi:
Soma hapa: Thread 'Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti' Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti
 
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
Inaonekana matokeo yamechanganywa kwa kada zote za Engineering. Na hili kosa lilifanyika wakati wa kukusanya mitihani. Ile mitihani ilichanganywa kwa kada zote za Engineering kwa hiyo wakati wa kusahihisha yawezekana wamechanganya matokeo ya kada zote.
 
Unataka kusema mitihani ya Geology imechanganywa na Civil na kusahihishwa pamoja?
Je wasahihishaji hawakugundua?
 
Si unaona huo mpangilio wa matokeo. Ilitakiwa kila kada iwe na matokeo yake.

Engineer II (Mechanical)
Engineer II (Textile)
Engineer II (Geology)
Engineer II (Oil and Gas)
Engineer II (Mining)
Engineer II (Chemical and Process)
 
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.

Ukitaka kuishi maisha ya furaha na amani siku zote daima wekeza maisha yako kwenye KAZI badala ya kuwekeza maisha yako kwenye AJIRA!
 
Back
Top Bottom