TRA lazima iwajibike na imekurupuka, uwezo wa NBAA ni mdogo sana kwenye tansia ya teknolojia na engineering

TRA lazima iwajibike na imekurupuka, uwezo wa NBAA ni mdogo sana kwenye tansia ya teknolojia na engineering

The strength of data management post ipo kufanya kwa vitendo. Unamjuaje huyu mtu ana uwezo wa SQL or python au Spark au data visualization techniques or Machine learning bila kufanya kwa vitendo. TRA siyo tasis ya kwanza kutangaza kazi za data. Mabenki makubwa tanzania kila baada ya miezi kadhaa wanatangaza kazi za data. wanafanya kwa vitendo kujua uwezo wako katika python au R programming language
 
Back
Top Bottom