Kubali kushindwa mkuuNimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
Na. Angepita asngeanzisha uzi wa kulaumu,mapingufu huwa yanaonekana baada ya kukatwaShida ni kwamba kwenye hizo kada ulizo taja wanahitaji watu wachache tu. Hamna mbinu nyingne ya kuwapunguzza tofauti na hiyo.
Hili ndio swala la msingi. Nimelieleza kwa kina hapa:Issue sio marks ni ratio ya candidates vs employment opportunities
Hapo wapo sawa mkuu kwenye kuchagua huwa wanaangalia uwiano wa watahiniwa waliofanya usaili wa kada husika zidi ya nafasi zilizo kuwepo:Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
Amekurupuka makosa ya kiufundi yapo hapa: Thread 'Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofauti' Matokeo ya Written Interview TRA Engineer II yanapaswa kupangwa kwa kada tano tofautiNa. Angepita asngeanzisha uzi wa kulaumu,mapingufu huwa yanaonekana baada ya kukatwa
Haya ni mashindano hakunaformula
Unaweza kushinda au ukashindwa kichwani lazima uelewe hilo
TRA wapo sawa ila mimi makosa yaliyo fanyika nimeyaona hapa:Watu mmefanya mtihani 115,000 kwa nafasi 1540 sasa ulitegemea kwamba sababu umepata alama 95 uchaguliwe?
Tujifunze kusonga mbele
Huyo bwana amekurupuka makosa yapo hapa kwa uelewa wangu na kosa hili lilifanyika wakati wa kukusanya mitihani iliyofanywa kwa namba kwa hiyo hata matokeo yamechanganywa kwa kada zote za engineering:Wenzio wamefaulu mbona ?
Inaonekana matokeo yamechanganywa kwa kada zote za Engineering. Na hili kosa lilifanyika wakati wa kukusanya mitihani. Ile mitihani ilichanganywa kwa kada zote za Engineering kwa hiyo wakati wa kusahihisha yawezekana wamechanganya matokeo ya kada zote.Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
Unataka kusema mitihani ya Geology imechanganywa na Civil na kusahihishwa pamoja?Inaonekana matokeo yamechanganywa kwa kada zote za Engineering. Na hili kosa lilifanyika wakati wa kukusanya mitihani. Ile mitihani ilichanganywa kwa kada zote za Engineering kwa hiyo wakati wa kusahihisha yawezekana wamechanganya matokeo ya kada zote.
Kubali kushindwa mkuu
Endelea na mapambano mengine
Bado nafasi zinaendelea kutangazwa sio TR
Shida ni kwamba kwenye hizo kada ulizo taja wanahitaji watu wachache tu. Hamna mbinu nyingne ya kuwapunguzza tofauti na hiyo.
Issue sio marks ni ratio ya candidates vs employment opportunities
Si unaona huo mpangilio wa matokeo. Ilitakiwa kila kada iwe na matokeo yake.Unataka kusema mitihani ya Geology imechanganywa na Civil na kusahihishwa pamoja?
Je wasahihishaji hawakugundua?
Nimefatilia matokeo yote ila haya ya Data Management, System operator, Engineer, na Geologist,yamenitia mashaka uwezo wa NBAA. Ni wazuri kwenye kada zilizoendana na kazi yao ya kila siku. Lakini kwenye kada hizo hapo juu nahisi waliingia google kutafuta maswali. Kwahiyo yanapaswa kwenda practical interview ndiyo uende oral au kurudiwa upya. Cha kwanza hawakuwa deep kama walivyofanya kwenye accounts,Tax na customs. Haiwezekani mark ya 60-95 haijachaguliwa kwenye kada ambazo zinahusihano wa masomo ya sayansi wakati 65-83 ya accounts, customs ni bora .
Utamwambia nini mtoto wa kitanzania ambaye kila siku anasikia raisi na viongozi wakilalamika wasome sayansi. Wanasikia mifumo ya fedha inapindishwa. Ukija kwenye interview anapata 70-85 anaambiwa haujachaguliwa. Lakini 63 ya account imechaguliwa.
Daah..Watu mmefanya mtihani 115,000 kwa nafasi 1540 sasa ulitegemea kwamba sababu umepata alama 95 uchaguliwe?
Tujifunze kusonga mbele