comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD.
Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa risiti, ukipungua wanamfuata mteja na kumchukulia hatua za kisheria.
Kwa maelezo haya TRA wanadhani biashara inaenda na kutembea kama mshale wa saa. Hizi ni akili za ajabu sana na mpango huu ni wizi kama wizi mwingine.
www.mwananchi.co.tz

TRA yaja na kibano kwa wanaokwepa kutoa risiti
Kwa muda mrefu Serikali imekuwa na kilio kwa wafanyabiashara wanaokwepa kodi kwa kuacha kutoa risiti za bidhaa au huduma wanazotoa na wengine hutoa risiti pungufu.