polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Kuna vitu vinatia kunyaa Tanzania viongozi wapo maofisini hawana ubunifu na hawaendi na wakati wapo wapo tu
Likadi likubwa la A4 kama karatasi ya mtihani wakati siku hizi nchi nyingi wanatumia smart card 💳 tu na inabeba taarifa zote za gari
Au mnasubiri hadi mama aje awaambie ndio mshtuke? Uwepo wenu hapo ofisini una maana gani ? Au ndio kufanya kaz kwa mazoea hakuna ubunifu wowote mnao uleta kazini?