TRA mnasubiri Rais Samia awaambie mbadilishe teknolojia ya kadi za vyombo vya moto kuwa 'smart card' ndio mstuke?

TRA mnasubiri Rais Samia awaambie mbadilishe teknolojia ya kadi za vyombo vya moto kuwa 'smart card' ndio mstuke?

mawazo yako sio mabaya ila watakaokwenda kubadilisha ya zamani kupewa mpya watasumbuliwa sana na pia kuna gharama bora nibaki nayo ya zamani
 
Binafsi magari yote yasajiliwe kimkoa na mapato yake yawe chini ya municipalities na hii ni pamoja na driving licenses,,,TRA wajikite kwenye ukusanyaji wa kodi kubwa tu
Utaratibu huo ulikuwepo zamani, sasa waliona una kasoro gani sijui.
 
Back
Top Bottom