Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu.
Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti!
Majuzi nimeona magazetini TRA wakimshitaki masikini mama mmoja hapa DSM kwa kutodai risiti. Sasa kwa hapa BP PUMA, TRA hamjajificha mahali kweli kuashika wateja wasiopewa risiti?
Watu msije sema huu ni unoko, ni mtonyo, maana hata kwetu risiti inasaidia kuelezea expenditure ya mahesabu ya mwaka.