Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Usijaze mafuta hapo tafuta wanaotoa receipt usije ukavuruga mahesabu yako baadae na TRA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua, wewe ndio hujui.. hata ulaya unapoona ni bora. Hizo fine si kila siku. Si hovyo hovyo hivo. Na tunachosimamia hapa. Hata hao unaowaita wakaipige fine hyo petrol station ni watu wa mchongo tu. Tunaonea huruma huyo ndugu yetu maana unamuweka matatizoni. Hata akipigwa fine. Hatuoni chchte cha maana, fine hizo kila siku watu wanapigwa, tunalipa kodi, wapo watu wanapoteza account za benki, biashara zao, vyombo vyao vya usafiri, kwa ushirikina kama huu ubaolrta, ila badooooooo. Watanzania tunalia.Naam, hao ndio watanzania hapo juu wakitoa maoni yao, kutokana na comments zao ni wazi nchi hii hatujui tunachotaka, hata mimi sijui
CCM oyeeeeee (makofi pwaa pwaa)
Watu hawataki kulipa kodi.Naam, ndugu mtazamaji hao ndio watanzania hapo juu wakitoa maoni yao, kutokana na comments zao ni wazi nchi hii hatujui tunachotaka, hata mimi sijui
CCM oyeeeeee (makofi pwaa pwaa)
Exactly, na ndivyo nilivyofanya.Usijaze mafuta hapo tafuta wanaotoa receipt usije ukavuruga mahesabu yako baadae na TRA
Mmeshafika kudai kodi?Sawa tunakwenda
Watanzania mpaka lini tutaishi na mwazo ya kijinga kijinga.Tunajua, wewe ndio hujui.. hata ulaya unapoona ni bora. Hizo fine si kila siku. Si hovyo hovyo hivo. Na tunachosimamia hapa. Hata hao unaowaita wakaipige fine hyo petrol station ni watu wa mchongo tu. Tunaonea huruma huyo ndugu yetu maana unamuweka matatizoni. Hata akipigwa fine. Hatuoni chchte cha maana, fine hizo kila siku watu wanapigwa, tunalipa kodi, wapo watu wanapoteza account za benki, biashara zao, vyombo vyao vya usafiri, kwa ushirikina kama huu ubaolrta, ila badooooooo. Watanzania tunalia.
Sasa usiseme hatujui tunapopataka. Hama nchi basi.
Halafu uantaka utibiwe bure hospitali.wanaokwenda kufaidika wengine wewe unamaliza bando.
sawa snitch ana kusnitch kwa polisi alafu polisi unalipa laki yeye anaambulia elfu tano
Umeelewa nilichoandika ? ,Msiwe mna comment tu ,baadhi ya comments zangu humu huwa hazisimami upande wowoteTunajua, wewe ndio hujui.. hata ulaya unapoona ni bora. Hizo fine si kila siku. Si hovyo hovyo hivo. Na tunachosimamia hapa. Hata hao unaowaita wakaipige fine hyo petrol station ni watu wa mchongo tu. Tunaonea huruma huyo ndugu yetu maana unamuweka matatizoni. Hata akipigwa fine. Hatuoni chchte cha maana, fine hizo kila siku watu wanapigwa, tunalipa kodi, wapo watu wanapoteza account za benki, biashara zao, vyombo vyao vya usafiri, kwa ushirikina kama huu ubaolrta, ila badooooooo. Watanzania tunalia.
Sasa usiseme hatujui tunapopataka. Hama nchi basi.
Watu tunaelewa father. Yeye atulie, anakuja kuita ita hapa ili iweje, kwamba akiita hayo maendeleo yatatoka leo. Watu wanatoa risiti na wanandika pungufu. Aseme elimu iendelee kutolewa.Watanzania mpaka lini tutaishi na mwazo ya kijinga kijinga.
Kutoa risiti ni SHERIA siyo utashi wa mfanyabiashra au mtu yeyote.
Watu bado mna mawazo ya kijima kuwa asiyetoa risiti au anakwepa kodi ni mjanja.
Mtakuwa na mawzo ya kijima mpaka lini?
Rais Trump huko Marekani TRA ya huko (IRIS), anaandamwa vikali kwa kukwepa kodi katika biashara zake za miaka ya nyuma.
Sasa watanzania hiki kizungumkuti cha kutoelewa kuwa kodi inawiana na maendeleo sijui kitaisha lini.
Hakuna makasiriko , here we say our minds.Umeelewa nilichoandika ? ,Msiwe mna comment tu ,baadhi ya comments zangu humu huwa hazisimami upande wowote
Mimi hapo nimeshangaa mabishano nikaweka na utani,punguza makasiliko