Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
TRA inabidi waende Mbagala Rangi3 katika maduka ya Jumla ya chakula na bidhaa ndogondogo ni wababe hawatoi risiti. Ukiwadai tu mnagombanaKwangu kituo karibu, rahisi na kwa sasa kinachoaminika ni BP PUMA Tangi Bovu.
Nimeenda kuweka mafuta juzi, wakasema mashine ya risiti imegoma. Leo nimeenda tena hapo, bado hawana risiti!
Majuzi nimeona magazetini TRA wakimshitaki masikini mama mmoja hapa DSM kwa kutodai risiti. Sasa kwa hapa BP PUMA, TRA hamjajificha mahali kweli kuashika wateja wasiopewa risiti?
Watu msije sema huu ni unoko, ni mtonyo, maana hata kwetu risiti inasaidia kuelezea expenditure ya mahesabu ya mwaka.
Hii nchi masikini ndiyo wanalipa kodi ila wenye ukwasi na viongozi walaa.Sawa tunakwenda
Kama wewe ni mtu wa kulipwa kama kibarua daily, na si mfanyi biashara shida sana kuelewa.naona vijana maspy enzi za sekondari mmeanza kukumbushia enzi zenu. Jf expert member , tutakuweka kwenye list ya jf zawadi kwa upande wa wanbea humu👌
Sawa mfanyabiashara. Mimi ni kibarua. Ila nimeshavote uwekwe kwenye kinyan’ganyiro kule bwana mfanyabiashara.Kama wewe ni mtu wa kulipwa kama kibarua daily, na si mfanyi biashara shida sana kuelewa.
Usitetee umbea na fitina pamoja na uchawi.Kama tungekuwa wote tuna utamaduni WA kufanya hivi na wahusika wakawa serious kufuatilia naamini tungefanikiwa sana
We nae🤨naona vijana maspy enzi za sekondari mmeanza kukumbushia enzi zenu. Jf expert member , tutakuweka kwenye list ya jf zawadi kwa upande wa wanbea humu👌
Halafu wakati huo huo mnataka inchi iendelee,na nyie ndio wa kwanza kusema serikali haitoi huduma za jamii.Usitetee umbea na fitina pamoja na uchawi.
Kwa wasiojuwa mahesabu, mahesabu ya kampuni ni uchawi tosha.Uchawi sio lazima upae
Acha umbea na tabia za kichawi wewee. Ukiishi na kujali mambo yako utapungukiwa nini?Halafu wakati huo huo mnataka inchi iendelee,na nyie ndio wa kwanza kusema serikali haitoi huduma za jamii.
Kwa stahili hii tutafika wapi?
Acha umbea na tabia za kichawi wewee. Ukiishi na kujali mambo yako utapungukiwa nini?
Jali na ishi maisha yako utakuwa na amani. Kufuatilifuatilia wanaume wengine wanavoishi unafaidika nini? Kila mtanzania ni mwizi na janjajanja katika nafas yake. Mind your own business to get peace of mind and heart.Hayo ni maoni yako na unaonyesha ni kiasi haupo vzr upstairs
Ningekufuatilia wewe au mtu binafsi ungekuwa na haki ya kusema hivyo.Jali na ishi maisha yako utakuwa na amani. Kufuatilifuatilia wanaume wengine wanavoishi unafaidika nini? Kila mtanzania ni mwizi na janjajanja katika nafas yake. Mind your own business to get peace of mind and heart.
Kusema kweli imekua umbea, fitina na uchawi..? We kweli mwendawazimuUsitetee umbea na fitina pamoja na uchawi.