Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukulia Tshs 30,000 kwa mwaka, mara magari 1,000,000= Tshs 30,000,000,000 bila jasho zinaingia kila mwaka
DEC 2023 (hapa mtu hawezi endesha gari JAN 2024) anakutana na Trafiki anapigwa fine
Hakuna plate number bhana wewe wamekuelewa kwa kuwa wanakuheshimu tuu ni number plate hata mimi nimejifunza tuu si unajua viingereza vimekuja na Meli hivi na wala sikucheki nakusahihisha...ila ukikomaa endelea kutumia hicho kiswahili ueleweke vizuri...NAONGEZEA
PLATE NAMBA INAANDIKWA KABISA INAEXPIRE LINI
DEC 2023 (hapa mtu hawezi endesha gari JAN 2024) anakutana na Trafiki anapigwa fine
TUPENDE NCHI YETU, TUJENGE NCHI YETU
Kaka Nipo ambapo kingereza kwao ni chakuzaliwa, NA WANANIELEWA VIZURI SANA, sasa wewe usiponielewa SINA SHIDA KABISA
PENDA TANZANIA
Wapunguze kwanza kodi ya Magari maana HAIWEZEKANI ununue gari Tsh 10M halafu ulipe kodi 12M.Tukiwa katika majonzi ya kuuzwa kwa bandari na mimi naongeza majonzi
TRA wakati umefika sasa tuache kutoka "plate number" za magari "lifetime period" tutoe plate number kwa Mwaka mtu anarenew baada ya mwaka kwa kulipia kiwango fulani cha pesa
Faida; Mtapunguza sana wizi wa magari kwasababu hakuna mtu anaweza kusajili/kuilipia bila kua yake, maana wakati wa kulipia aweke
1. Namba ya NIDA
2. CONFIRMATION MESEJI KWAMBA FULANI BIN FULANI UMELIPIA PLATE NAMBA FULANI (sasa hapa kama mtu ameiba gari hawezi kubadili plate Number(KUSAJILI MARA MBILI)
3.MAPATO
Chukulia Tshs 30,000 kwa mwaka, mara magari 1,000,000= Tshs 30,000,000,000 bila jasho zinaingia kila mwaka
TUWE WAZALENDO HATA KAMA TUMEUZWA.
NAONGEZEA
PLATE NAMBA INAANDIKWA KABISA INAEXPIRE LINI
DEC 2023 (hapa mtu hawezi endesha gari JAN 2024) anakutana na Trafiki anapigwa fine
TUPENDE NCHI YETU, TUJENGE NCHI YETU
Huyu jamaa forcus yake ya kodi ipo kwa magari tu kuongezewa kodiUnakitu utfika mbali.
Pata picha ndio anakuwa rais wa nchi. Yaani anashindwa kuelewa nchi hii ina rasilimali nyingi ambazo zikitumiwa vizuri nchi inapiga hatua mpaka kushusha kodi za magari ili Watanzania wengi waendeshe magari mazuri.Huyu jamaa forcus yake ya kodi ipo kwa magari tu kuongezewa kodi
Nakumbuka kwenye moja ya posti zake ilikuwa magari yalipe shs 1000 kila mwezi iongezwe kwenye petrol
watu wengi wakachangia kuwa petrol tayari inakodi lukuki......nk hivyo ni bora atoke huko kwenye magari aje na ubunifu mpya!!!