TRA na DC Muheza watatua changamoto za kikodi

TRA na DC Muheza watatua changamoto za kikodi

TRA Tanzania

Senior Member
Joined
Jul 16, 2022
Posts
128
Reaction score
370
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Muheza Mh. Zainab Abdallah wameendesha kliniki ya kodi katika viwanja vya Bombani Muheza mkoani Tanga. Kliniki hiyo imefanyika kwa kusikiliza na kutatua chamgamoto za kikodi kwa wafanyabiashara wa Muheza.

Aidha wafanyabiashara waliokuwa na changamoto za kikodi wameweza kutatuliwa changamoto zao.
 
2.jpg
3.jpg
5.jpg
 
Nasikia mkurugenzi wenu handeni anasumbua wafanya biashara kwa mikwara uzi upo hapa. Wanalalamika. Hebu fanyeni kudeal nae.
 
Nasikia mkurugenzi wenu handeni anasumbua wafanya biashara kwa mikwara uzi upo hapa. Wanalalamika. Hebu fanyeni kudeal nae.
Zemada tusipende kusikia bila kupata uhalisia. Mimi kwangu naona kuna hatua hapo tra na dc wamechukua kwa hili nampongeza dc na tra kwa kuchuua hatua hii. hii ndiyo tunahitaji kuona siyo sisi wananchi kupata shida. nawapongeza viongozi wilaya na tra picha inaonyesha kweli kuna jambo limefanyika.
 
Back
Top Bottom