gkileo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 1,096
- 487
Ni kichekesho kweli kwamba TRA sasa wanafunga maduka ya wasiokua na mashine za risiti. Ninajiuliza kua wale waliokua wanagoma kufungua maduka kupinga hizi mashine kumbe walikua wanatekeleza matakwa ya TRA bila kujua!
Kama hutumii mashine ya risiti funga Duka utakua huna kelele na TRA!
Kama hutumii mashine ya risiti funga Duka utakua huna kelele na TRA!