Kama hujaipata hii basi jiandae!!!!!! Tarehe 1 July 2011 TRA wanaplan kuintroduce system yao mpya kwa ajili ya valuation ya used motorvehicles... Mfumo mpya utakuwa kama ifuatavyo...Used vehicles zitakuwa valued on either ex-factory FOB au market value in local market... Nianze na ex factory FOB.. Kwenye mfumo hu, TRA wataestablish database itakayo kuwa na bei za magari kipindi yameingizwa sokoni kwa mara ya kwanza...labda nitoe mfano mana kidogo ina mahesabu Mfano: Mtu akiagiza gari aina ya Toyota Premio 2001 model..hapo ina maana hii gari imezidi miaka kumi tokea itengenezwe...kwa hilo bei pungufu itakayoruhusiwa ni asilimia 70% ya bei ilipoingia sokoni kwa mara ya kwanza..PREMIO bei yake ya awali sokoni ilikuwa USD 40,000 kwa huko Japan... Kwa maana hiyo FOB ex factory itakuwa USD 40,000 toa 28,000 (70% of USD 40,000) = USD 12,000 na hiyo ndo itakuwa Customs Value ambayo itakuwa subjected kwenye Import Duty, Excise Duty, VAT na uchakavu (kama upo).... Kwa namna hiyo kodi jumla itakuwa kama ifuatavyo Import duty (ID)=0.25*12,000Dumping Fees (DF) =0.2*(12,000+0.25*12,000)Excise (E) =0.1*(12,000+0.25*12,000)VAT= 0.18* (12,000+ID+DF+E) Hii ni tofauti na bei za sasa ambazo weza kuagiza premio ya mwaka 2001 kwa CIF ya USD 3,000 to USD 3,500...na kodi ingekuwa kama ifuatavyoukiweka na uchakavu Import Duty (ID)=0.25*,000Dumping Fees (DF) =0.2*(3,000+0.25*3,000)Excise (E) =0.1*(3,000+0.25*3,000)VAT= 0.18* (3,000+ID+DF+E) Market Valuation Method Kwa market value method watachukua bei za sokoni Tanzania na kutoa profit margin ya asilimia 25 na kutoa gharama za kodi zilizolipiwa ili waweze kupata CIF kipindi gari linaingia nchini...Mfumo huu utatumika pale tu ambapo bei halisi wakati gari linaingia sokoni kwa mara ya kwanza itakuwa ni vigumu kujulikana...My take:Je hii ndiyo njia ya kupunguza foleni za magari Dar? na je vipi kule ambapo bado kuna shida ya usafiri itakuwaje?