TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

Jaman mie naposikia mambo ya kitaifa yanapelekwa kama mtu anavyoendesha familia yake naumia sanaa...TRA acheni kutumia matumbo kufikiria, kitu mnachokileta kitaleta tabaka ambalo mtajuta hapo badaeKwamtazamo wangu, kuwa na gari kwasasa sio anasa kama munavyofikilia nyie..gari ni hitaji muhimu ktk maisha yakawaida.
 
Wakuu,hii nchi CCM wameishindwa kabisa.Nape Nnauya anapiga kelele tu.TRA wana afya nzuri sana ukilinganisha na wafanyakazi wa idara nyingine za serikali.Watu wanafurahiya lakini madhara yake ni makubwa sana.Kwanza market value ya magari tanzania hakuna kwa sababu hatuzalishi magara.Pia 70% wameipata wapi?Huu ni ufisadi,Japani barabara ni nzuri na bei zao wanaziweka kuendana na market value ya soko la dunia,sasa TZ viongozi wameshafika mwisho wa kufikiria basi wanakuja na mambo ya ajabu.CHADEMA, mko wapi?Mambo kama haya yasipite.Nimeichukia sana SISIMU.Usafiri lazima uwe juu mara milioni moja.
 

Yaani ingekuwa inaruhusiwa kutukana ningekupa za uso zisizohesabika za fasta.

Kwanini unashindwa kukubali kwamba umaskini na matatizo Tz chanzo chake ni Magamba??? WHY?? kwanini unajitahidi kukwepa ukweli?

Kiranja wa kusimamia umaskini Tz ni Magamba, haya imba kiitikio.
 
Kama mkuu wa nchi anasema kuwa na magari ni maendeleo wewe unategemea kuna nini hapo? Hawa watu wamelewa madaraka, na kwasababu wanajua kwamba wana exemptions wakiagiza magari, na pia wananunua mashangingi ya mamilioni na baada ya miaka 3 wanakwambia depreciation yake ni zero value wanauziana kwa bei ya kutupa, saa ngapi watawafikiria nyie walala hoi? Haya ndio maisha bora kwa kila Mtanzania.
 
We kitilye sijui nani unataka ku-run mental? hebu kafikirieni tena? Tanzania sio Dar tu.
 

crap!
Ndio fair kwako? So rich?
 
wakuu, uchakavu sasa kwa magari yote? malori yalikuwa hayana uchakavu sasa sijui sasa ikoje?? naombeni msada
 
Ina maana ndoto za kununua gari ndo zimeyeyuka hivyo..Sasa hivi vijipesa vyangu nilivyokusanya kwa miaka 3, nikijinyima kula, kuvaa na hata ndugu kuniona bahili ili angalau nitembelee ka gari kangu..duh!

Wadau, kwani hatuwezi kuandamana mpaka IKULU..

Haiwezekani !! Haiwezekani....Wabunge, wawakilishi mko wapi kututea katika hili????
 
Ina maana ndoto za kununua gari ndo zimeyeyuka hivyo..Sasa hivi vijipesa vyangu nilivyokusanya kwa miaka 3, nikijinyima kula, kuvaa na hata ndugu kuniona bahili ili angalau nitembelee ka gari kangu..duh!

Wadau, kwani hatuwezi kuandamana mpaka IKULU..

Haiwezekani !! Haiwezekani....Wabunge, wawakilishi mko wapi kututea katika hili????
 
Suala hili sio kwamba watapunguza foleni ni ukosefu wa kubuni vyazo vipya, hivi madini mbona hawakusanyi huko?!!
 
E bwana hii kali, nilikuwa nataka niuze gari yangu ili niagize nyingine, sasa basi kwanza nitulie.
 
sizani kama kuna mchanganuo kama huo nchi nyingine duniani zaidi ya kwetu, mara nyingi mtu utozwa ushuru kutokana na bei uliyonunulia hicho kitu, sasa naona sisi tunakurupuka,ngoja madealer wa kijapani watakapoiburuza serikali mahakamani, sizani kama watauza.
hivi uchakavu hupo sasa hata kwenye malori??
 
Kama itakuwa kweli ni soo
 
E bwana hii kali, nilikuwa nataka niuze gari yangu ili niagize nyingine, sasa basi kwanza nitulie.
Wewe kaa mimi by the end of the year nlikua nimepanga. Sasa hiyo ela ngojea niipeleke baa, so that these i.diots TRA na mabwana zao Magamba they can go and fvck themselves.
 
Halafu hii sio tetesi tena, mchanganuo wa huu uizi upo kwene website ya TRA. BTW mods unganisheni na ile thread nyingine iliopo kwene uchumi na biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…